Moderators naomba kuanzia Sasa nitambulike kama "Mtanganyika" hapa jamii forums

Moderators naomba kuanzia Sasa nitambulike kama "Mtanganyika" hapa jamii forums

Hii inatosha
Ile ID nilijikuta natengeneza maadui wengi
Watu walinifata PM wakidai watanimaliza
Nataka nibadili content zangu, niachane na mamipira yenu niwe sana kwenye siasa
Kwa hiyo utaanza kuitwa mtanganyika kuanzia lini niwe nakutag pala yanga wanapochzea mkong'oto.
 
Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika"

Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia yake, utawala

Naona Sasa Watanganyika tumejisahau

Taifa letu la Tanganyika limekufa
Tunatawaliwa na wageni
Rasimali za Tanganyika zinapotea

Nitakuwa hapa kutoa elimu muhimu kuhusu Taifa letu la Tanganyika
100%
ila unaitaji pia kuwa na ela na uanzishe Fundraising haya mambo usipokuwa na ela ya ulinzi,usalama,usafiri.. utaishia katikati na kusahaulika mapema Sana
unapogusa nipamoto, Hii nchi inao wakubwa simba ashikwi mkia hovyoo unajipanga kujilinda na kuchomoka kama roho inadhamani
 
Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika"

Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia yake, utawala

Naona Sasa Watanganyika tumejisahau

Taifa letu la Tanganyika limekufa
Tunatawaliwa na wageni
Rasimali za Tanganyika zinapotea

Nitakuwa hapa kutoa elimu muhimu kuhusu Taifa letu la Tanganyika
Uko wapi we mnyambo ni niko hapa Passion Hotel nilipofikia.
 
Back
Top Bottom