Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,349
- 28,509
Haya madude gereji za Gerezani wanayatengeneza.
Haya madude gereji za Gerezani wanayatengeneza.
Hapo siasa inaingiaje? Kujikinga kwa ile issue ilikuwa ni gharama ndogo sana, ukilinganisha na gharama ya ulinzi huo!Punguza ujinga japo hata kidogo tu,
Unaonekana ni Mtu mzima ila ushabiki wa kisiasa na chuki za kijinga ndio zimekutoa ufahamu.
kwani linaweza kulinda corona?Punguza ujinga japo hata kidogo tu,
Unaonekana ni Mtu mzima ila ushabiki wa kisiasa na chuki za kijinga ndio zimekutoa ufahamu.
Inaitwa 'mobile jammer'. Kazi yake ni kuzuia au kuintercept RF signals zinazotumika kudetonate radio controlled BOMBS. Kwa kiswahili rahisi kazi yake kuzuia milipuko ya mabomu yanotumia remote control. Yaan mtu anaset bomu labda barabaran au sehem yoyote utakapo pita msafara wa rais then analilipua kutoka mbali kwa kubonyeza kitufe au remote control inayotuma singals kwa GPS ya satellite kwenda kwenye receivers ndan ya hilo bomu ili ilo bomu lilipuke. Sasa hili gari lina vifaa vinavyo 'jamm' RF signals zote katika eneo la mzunguko wa radius ya km 6 mpaka 32km kulingana na muundo wa gari lenyewe na technologia husika. Kwa hiyo purpose ya hili gari na vifaa vyake ninkumprotect Rais na his presidential motorcade from 'any form of Radio controlled BOMBS'.
kwani linaweza kulinda corona?
Punguza ujinga japo hata kidogo tu,
Unaonekana ni Mtu mzima ila ushabiki wa kisiasa na chuki za kijinga ndio zimekutoa ufahamu.
Umeona wapi?
Unawashwa?Acha Kupangia Watu nini cha Kuandika.
Wewe kwa akili yako unaonaje?kwani linaweza kulinda corona?
Kwa akili yako wewe hilo gari ni against virus?Hapo siasa inaingiaje? Kujikinga kwa ile issue ilikuwa ni gharama ndogo sana, ukilinganisha na gharama ya ulinzi huo!