Mobile Jamming system car

Mobile Jamming system car

Inaruhusiwa mtu kuwa nayo au ni haramu Kama bange? IPO connected na satellite?

kama unahitaji pm me
$508.69

1543993849684.png
 
Now Days Mabomu mengi yanatumia Mobile phone detonating system (unatumia signal za simu kuyalipuwa) So kwenye gari kama hili kunakuwa na mobile signal jamming let say arround 1Km radius== katika umbali huo akuna any mobile phone controlled bombs litakalolipuka
Pia inaweza ikajam Drone signals Ina uwezo wa kufanya kazi kwenye masafa ya 20MHz to 6000 MHZ. Hivyo basi ina cover from VHF,UHF ,2G,3G,CDMA na ata 4G.
Mfano mzuri ni IED . Huwa zinatumia simu kuactivate...
 
lakini hivyo vifaa vyote visiposimamiwa vizuri vinawahi kupitwa na wakati na hackers wanagundua udhaifu wa kuvihack kwahiyo walinzi wa mzee wetu wajitahidi kujiongezea uzoefu ili wasije kupitwa na teknolojia
 
Now Days Mabomu mengi yanatumia Mobile phone detonating system (unatumia signal za simu kuyalipuwa) So kwenye gari kama hili kunakuwa na mobile signal jamming let say arround 1Km radius== katika umbali huo akuna any mobile phone controlled bombs litakalolipuka
Pia inaweza ikajam Drone signals Ina uwezo wa kufanya kazi kwenye masafa ya 20MHz to 6000 MHZ. Hivyo basi ina cover from VHF,UHF ,2G,3G,CDMA na ata 4G.
Kwahyo unataka niambia likwa kwenye msafaara wa raid mtu yeyote mwenye simu ndani ya radius ya 1km haifanyi kazi?
 
Huyu anajisumbua tu. Wakitaka kummaliza mbona rahisi tu. Tatizo muhovu sikuzoni huwa anajishtukia.
 
Sikuwahi kushihudia Rais mwenye ulinzi mkali kwa Tz kama JPM hata hilo Mobile jamming system car nimeliona kwenye hii regime na sina hakika kama lilikuwepo kabla so ndugu wanainji kazeni mkanda tu maana ulinzi wa Rais wetu sie tulio wanyonge ni muhimu kwa gharama ya jasho na Damu zenyu
Wivu, wivuu, wivuuu
 
Tatizo huyu mjamaa anaogopa baada ya kujianzishia maadui mwenyewe
 
Back
Top Bottom