miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
Nitafute tafadhali....hujui sikukuu hii....?
Ngoja tumfanyie fitina huyu....! Kwanini kila siku yeye tuu...?????
Mkuu mshana jr hicho kimguu chake cha tatu tukifanyizie kisisimame milele
Honey Faith hii makitu inatesa bana maana gadhabu inakuwa juu mno Mr Rocky shughuli zote ofisini kasimamisha kwa muda full kiwewe dah ila ni katamu kwa kweli!Shem simu yangu haifunguki picha
Cc Kibo10
Honey Faith hii makitu inatesa bana maana gadhabu inakuwa juu mno Mr Rocky shughuli zote ofisini kasimamisha kwa muda full kiwewe dah ila ni katamu kwa kweli!
Wanaume tumeumbwa matesoo ooh matesooo kuhangaikaaa
Hapa ni zaidi ya mateso aise tunakufa na tai shingoni kabisa aise
Dah mkuu Kibo10 mniliona nateseka mwenyewe sasa kwa nini aise niteseke mwenyewe wakati upo na wewe tuteseke pamoja aise
nimevaa miwani ya mbao sasa hivi
Bora uvae mawani ya mbao usione maana kila kitu kizuri unataka wewe
Haya bana ngoja nimalize kimeo hapa ofisini nipite maeneo kwa matibabu zaidi mkuu 
Kuwa makini mkuu na unakumbuka leo ni siku ya uchakachuaji aise usije ukachakachuliwa aise
Hii ni nini tena?punguzeni gadhabu wakuu mapigo yangu ya moyo yanaenda speed huku..... Honey Faith naye mapozi yamezidi sasa sijuwi tutaelekea upande gani!
Honey Faith hii makitu inatesa bana maana gadhabu inakuwa juu mno Mr Rocky shughuli zote ofisini kasimamisha kwa muda full kiwewe dah ila ni katamu kwa kweli!
mama weeee kitu hicho
Hii ni nini tena?punguzeni gadhabu wakuu mapigo yangu ya moyo yanaenda speed huku..... Honey Faith naye mapozi yamezidi sasa sijuwi tutaelekea upande gani!
Hapa tunakaribia kufika upande ule wa kushoto kwa hiyo jitahidi kucontrol mapigo yako Kibo10