Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Mmh haaya kaka ila mi simo
Sasa hauamini au unatengeneza mazingira yakunigombanisha kwa mdogo wangu?
Naniiii? Huyo miss neddy best wangu? Siwezi asilani
Sema hapa hapa tu wengi wao hapa ni vipofu
Honey Faith kuna kitu takwambia lakini si hapaSasa mbona unatengeneza hayo mazingira ya uwalakini?
Hahahahaha MO11 haya bana usije kuweka picha hapa kuna akina Honey Faith na miss neddy watapofuka macho bure
Hhahahaha wanaona maandishi ila picha hawaoni Honey Faith na wanajua kusoma btn the lines hao balaa
Mr Rocky kanikataza
Aibu naona mimi.Yani kukatazwa tu mhhhh?je ungepigwa ngumi???
Hahahahaha MO11 haya bana usije kuweka picha hapa kuna akina Honey Faith na miss neddy watapofuka macho bure
ile nikiamka asubuhi napigia push up huku miguu ipo juu
kwa kuwa kuna watoto siiweki
mama weeee kitu hicho