Mo11 tukutane pm tafadhali

pm nimeshafika ila ngoja nipunguze message
maana watoto wanamiminika huku
halafu zao ndio zimejaa

Hahahahaaa wana libido wamepitiliza sitaki kutumia lile neno la yule mhishimiwa chambo ashki majununi
 
Nimeshafika ila mambo ya picha iachie jamiiforums


bora umwambie kama ana dili tu ndio naruhusu maana huyo anamatumizi kuliko Bughati Veryon

Hahahahaaa hahahahaaa hahahahaaa
 
sosoliso wacha basi bana usimuite hapa ataanzisha valangati bure aise. Haya mambo hayana mipaka aise yaani hapa ukikutana na kitu kama hiki hata ukiwa na wife ukikiangalia wife hatalalamika maana iko mahali pake

Ha ha ha.. Ngoja Bujibuji a.k.a mzee wa mitaroni aje kumuona mrembo huyo.. Atapagawa..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hizi picha mkiziangalia ndio MIZUKA INAPANDA AU? Maana mnavyozishabikiaa utafikiri kuku kamwagiwa mchele !!!



Ashk ndio mahala pake hapa

hapa ni nzi kufia kwenye kidonda
 
Huyu utafiti muongo sana ametudanganya

Mr Rocky kumbuka nina miliki mguu wa kuku kinyume na sheria halafu kina kiwambo cha kuzuia sauti


Mkuu MO11 umeona eeeh utafiti hapa anatudanganya tuu ameona kila kitu MO11 mambo gani ya kutishiana sasa si umeambiw akizuri kula na nduguyo sasa au undugu wetu ni wa barabarani tuu aise na kwenye viti virefu ila ,a,np mazuri unautumia ule msemo wa chako changu na changu changu
 
Last edited by a moderator:

Ngumu mno kuijua kwa hakika jinsia ya Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Hizi picha mkiziangalia ndio MIZUKA INAPANDA AU? Maana mnavyozishabikiaa utafikiri kuku kamwagiwa mchele !!!
illuh ndo maana siku hizi version ya mchina ina soko kubwa
 
Last edited by a moderator:
Hizi picha mkiziangalia ndio MIZUKA INAPANDA AU? Maana mnavyozishabikiaa utafikiri kuku kamwagiwa mchele !!!

Wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika
 

Aaaaaaaa mambo ya shemeji zima taa huku sio mahala pake na sio kwamba nakutisha hapana ninayo kweli
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaaaa mambo ya shemeji zima taa huku sio mahala pake na sio kwamba nakutisha hapana ninayo kweli

Hahahaha MO11 sawa mkuu hapo tuachiane maumivu tuu aise hakuna ujanja bana ila najua udhaifu wako na sehem ya kukupata.
 
Last edited by a moderator:
Hivi leo ni siku ya ukimwi duniani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…