technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,637
- 58,329
Siku hizi hakuna kitu.
Waulize akina Jokakubwa ,Mag3 Fundi Mchundo zama hizo balozi wa nyumba kumi na majukumu na heshima yake
Kwa taarifa yako balozi wa nyumba kumi zama hizo alikuwa mjumbe bila kujali vyama
Bado kabisa na hujui nini ilikuwa Tanzania kiulinzi. Hakuna kitu siku hizi usijidanganye
Usitulishe matango pori,hebu lete hizo protocol za Marekani!!!!!It is a worldwide protocol !
Why won't the police tell journalists what is going on?Usitulishe matango pori,hebu lete hizo protocol za Marekani!!!!!
Absolutely! Ndiyo maana handling yake ilitakiwa iwe na welediPesa Nguruvi3!. Ndo kitu pekee ninachoweza kukifikiria.Mo asingekuwa bilionea sidhani kama wangemzungumzia.
But I could be wrong...
Ndio wengi ni CCM kama ilivyo kwa wabunge. But utendaji wao wa kazi umebaki kuskiliza kesi za baba chanja na mkewewengi ni CCM hata hivyo
upinzani ulitakiwa kupambana kuondoa hawa wawepo kama sehemu ya serikali na siyo ya chama chochote
kikubwa na tatizo ni walikuwepo siku zote before vyama vingi
Salama kabisa! Nipo ''tunakwaruzana'' na akina NN katika mitazamo ha ha ha, lakini katika hali nzuri ya kujenga fikra kwa kukubaliana au kukubaliana kutokubalianakaka upo! kimya sana
sioni wa kunipa changamoto umekuwa kimya sana,
mimi na wewe kesi yetu ambayo tume i carry over ni kuwa zito msaliti au sio msaliti??. Bado nabisha sio msaliti! sijui umebadili mawazo yako au una msimamo ule ule??
Absolutely! Ndiyo maana handling yake ilitakiwa iwe na weledi
Pesa na marafiki wenye pesa ni habari kubwa. Ukishaona BBC, FOX, CNN, Le Figaro, Al ahram, Le mundo, The Sun, The Herald, Gulf news, Aljazeera n.k. wanazungumzia, ujue ni habari ya mjini
Handling ya hili suala ni disaster, kuna vipande vingi ukiunganisha huwezi ku solve the puzzle
Kuanzia kwa ''Mambosiasa hadi GIP 0'' ni colossal failure na kuacha jibu moja tu...
Yaani unajipinda kuleta upuuzi huo!Sirro na Mambosasa walikuwa wanaitisha press za nini?
Hivi hao walinzi hawakuitaka ili bil 1 au hawakufahamu ni nani wanamwazima simu?Hapo kwenye red hiyo habari umeipata wapi mkuu?! Mo hakupewa simu na hao watekaji bali alipewa simu na walinzi waliokua eneo lile na kwa vile alikua na namba ya baba yake kichwani ndio akampigia.
Nenda ukawauize hao walinzi ndio wenye majibu ya swali lako.Hivi hao walinzi hawakuitaka ili bil 1 au hawakufahamu ni nani wanamwazima simu?
Umeona! Tunabahati wanaoandika habari za kichunguzi hawajapiga kambi Tz, hii ingekuwa aibu ya Kimataifa kama kituko cha Saudi ArabiaUko sahihi kabisa!
Handling ya hii issue haipishani sana na handling ya wa Saudia na mauaji ya Khashoggi...[silinganishi matukio...nalinganisha handling]Wasaudia wamegeuka kuwa kituko kabisa!!
Ila Sirro and Co hawako mbali....
Rasimu ya Warioba ililenga hilo, wakagundua na kupiga torpedowengi ni CCM hata hivyo
upinzani ulitakiwa kupambana kuondoa hawa wawepo kama sehemu ya serikali na siyo ya chama chochote. kikubwa na tatizo ni walikuwepo siku zote before vyama vingi
Rasimu ya Warioba ililenga hilo, wakagundua na kupiga torpedo
Nadhani wananchi kwa ujumla wanatakiwa wasimame kwa hili.
Wamefikia mahali hawana hata chembe ya soni wanasimama wakiwa na nembo ya Taifa, magwanda na virungu vinavyolipiwa kodi na Watz, halafu wanatamba 'Kidumu chama cha mapinduzi''. Polisi aliyetumwa kumwakilisha IGP anasema ''Kidumu chama cha Mpainduzi''
IGP anasikitishwa lakini hachukui hatua yoyote dhidi ya mhusika kwasababu anamuogopa Mwenyekiti wa CCM. Kwamba askari aliyesema alisifia chama cha mwenyekiti aliyemteua IGP
(c) Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano Jeshi la Polisi la Tanzaniasikujua kumbe rasimu ya warioba iligusa vitu vingi
Polisi alitia aibu mno
Polisi kushika hatamu kwa niaba ya chama ni tatizo la msingi
Na kutekeleza ilani ya chama 'Kidumu chama cha mapinduzi'' wadogo wanaimba 'abebwe abebwe!'Ndio wengi ni CCM kama ilivyo kwa wabunge. But utendaji wao wa kazi umebaki kuskiliza kesi za baba chanja na mkewe
Lakini upinzani uliona serekali tatu ni muhimu kuliko haya. Ukitafakari kwa utulivu bila ya kuongozwa na mapenzi ya vyama,utagundua kwamba,madaraka kwa wanasiasa ndio yalikuwa kipaumbele bila kujali jinsi ya kuyapata.Rasimu ya Warioba ililenga hilo, wakagundua na kupiga torpedo
Nadhani wananchi kwa ujumla wanatakiwa wasimame kwa hili.
Wamefikia mahali hawana hata chembe ya soni wanasimama wakiwa na nembo ya Taifa, magwanda na virungu vinavyolipiwa kodi na Watz, halafu wanatamba 'Kidumu chama cha mapinduzi''. Polisi aliyetumwa kumwakilisha IGP anasema ''Kidumu chama cha Mpainduzi''
IGP anasikitishwa lakini hachukui hatua yoyote dhidi ya mhusika kwasababu anamuogopa Mwenyekiti wa CCM. Kwamba askari aliyesema alisifia chama cha mwenyekiti aliyemteua IGP
Kwahio unamaanisha serikali yetu imehusika kama serikali ya Saudi?Uko sahihi kabisa!
Handling ya hii issue haipishani sana na handling ya wa Saudia na mauaji ya Khashoggi...[silinganishi matukio...nalinganisha handling]
Wasaudia wamegeuka kuwa kituko kabisa!!
Ila Sirro and Co hawako mbali....
Wakati mwingine fucha tu aibu yako ndugu,hivi kama kila kinachofanyika kinajulikana unamaanisha kwamba hata tukio la kutekwa kwa Mooo,hao mabalozi wa nyumba kumi walikuwa wanajua!?Mo mwenyewe Amesema walikuwa na wasi wasi sana.
Tanzania sio nchi ya kuchezea. Kuna wajumbe wa nyumba kumi kumi. Hawa ni part ya wanachama wa CCM na wanalipwa kwa kazi yao. Hawafanyi bure. Katika security hapo utachoka mwenyewe. Mwalim Nyerere aliona mbali sana.
Nawashangaa vijana wa leo katika Press Conferences wanauliza maswali ya kinjinga kuhusu utendaji wa jeshi la usalama na ulinzi Tanzania. Hawajui jinsi hii nchi kiulinzi ikoje? Hiyo ndiyo msingi ya ulinzi wa nchi yetu. Vinginevyo moja wetu ungesha vunjika.
Hii system Mwalim Nyerere kaitoa kwa wachina. Unachosema na kufanya mitaani tayari kimesha reportiwa kwa wahusika na wanajua nini kinatendeka. Nyie kaeni tu na utaalam wenu fake na kuuliza maswali yenu ambayo ni irrelevant.
Ngosha unamuangalia huyu mama mbaguzi namba moja akishirikiana na Tucker Carlson???? Hawa ni watendaji wa Trump siyoJumamosi usiku mishale ya saa tatu, nikiwa naangalia kipindi cha Justice With Judge Jeanine, ghafla naona habari kupatikana kwa Mo zikipita chini kwenye kioo cha tivii [news ticker ].
Interesting....
View attachment 905571View attachment 905572View attachment 905573View attachment 905574View attachment 905575View attachment 905576View attachment 905577
(c) Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano Jeshi la Polisi la Tanzania
227.-(1) Kutakuwa na Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano litakalokuwa na jukumu la ulinzi wa watu na mali zao chini ya masharti ya Katiba hii.
(2) Bunge litatunga sheria kuweka masharti ya utekelezaji wa kazi na majukumu ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano kwa kuzingatia haki za raia na sheria za kimataifa. Misingi ya utendaji wa Jeshi la Polisi 228. Katika utekelezaji wa majukumu yake, Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano litazingatia- (a) viwango vya juu vya kitaaluma na nidhamu miongoni mwa wafanyakazi wake;
(b) ulinzi na ukuzaji wa haki za binadamu; (c) kanuni za uwazi na uwajibikaji; (d) kuzuia rushwa na ufisadi; na (e) kukuza mahusiano na jamii. Uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi 229.
Kutakuwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano ambaye atateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Baraza la Ulinzi na Usalama wa Taifa.
Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi 231.-(1)
Kutakuwa na Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi itakayokuwa na jukumu la kusimamia masuala yote ya utumishi wa Jeshi la Polisi na idara zake. (2) Katika suala la uajiri wa maofisa na watumishi wengine wa Jeshi ‐ 91 ‐ la Polisi, Tume ya Utumishi waJeshi la Polisi itazingatia Kanuni na Misingi ya Utumishi iliyoainishwa katika Katiba hii. (3) Bunge litatunga sheria kuweka masharti ya muundo na utekelezaji wa kazi na majukumu ya Tume ya Utumishi waJeshi la Polisi.