MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

Mleta mada usisahau kuangalia ambao hawataenda kwenye msiba wa askari aliyekufa kwa ajali ya gari akielekea Moshi kwa mapumziko. Sisi sote ni ndugu.
 
Mkuu Ulitaka Wahusike Kivipi Hasa?

alitaka waje pale msibani kwenye maiki aulizwe swali :unamzungumziaje mengi; jibu : mengi ninavyomjua alikuwa rafiki yangu sana sana na kabla ya kifo chake tulikutana na tukapanga mambo mengi sana na ni mkarimu alichuma mali kwa ajili ya kuwahudumia wanyonge ni msiba mkubwa sana
 
mbowe alikuja msibani na lowassa nae alikuja kuaga mwili au na wao ni magabachori weusi
 
Mo wakati msiba unatokea hadi wanaaga K/Hall alikuwa nje ya nchi, ila pale K/Hall kulikuwa na mtu alitajwa somebody Dewji nadhani ni muwakilishi wa Mo Dewji.
 
Waislamu na mbwembwe za mazishi wapi na wapi. Siombei, ila ingekuwa ni mmoja wa hao ndio yamemfika, ni mkewe tu ndio angekuwa kwenye eda muda huu, angeshazikwa na watu wangekuwa wanaendelea na shughuli zao. Hakuna kitabu cha kusaini, hakuna kutoa neno.
 
Mmesahau mzee alikuwa na bifu sana na waponjolo? hasa mabilionea wenzake? mfano; Tanil Somaiya, Yusuph Manji, Rostam Aziz na wengineo,
Kwa kifupi Mzee alikuwa na kasoro zake tuache kuwalaumu wasioenda msibani!
kila mtu na mtuwe!
Alamsiki
 
Mo nadhani aliposti kwenye twitter yake kama sikosei...
Bakhresa kama pepo vile...yupo kama hayupo!
Manji sidhani kama yupo hata nchini maan akuna muda nilisikia alijiendea Canada baada ya Stone & mwanae mpendwa kumuandama sana
 
Wewe una uhakika gani kuwa hawajaonyesha ushirikiano? Au na wewe ni member wa familia ya Mengi? Au kuonyesha ushirikiano ni kuita press conference au kufika kwenye msiba personally?

Mbona vitu vingine ni vyakutumia common sense tu!

Nafikia mahali niseme tu akili zetu zinatofautiana. Namaanisha uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo kwa kutumia logic. Wengine mko nyuma sana. Sio makosa yenu ndio akili zenu zilipoishia. Poleni sana.
NINA WASWAS UNA DEGREE YA KITU FLAN, HONGERA SANA UNAONGEA UKWELI NA KWA POINT
 
Hakuna cha ajabu hapo,Dewj muhindi Baharesa mwarabu {siyo kwamba sijui kama ni mpemba hasha ila wapemba wengi wakipata cent nao hujikuta waarabu} so maybe wamembagua kwa ngozi yake.

Ni maoni yangu,yanaweza kuwa sahihi au yasiwe sahihi.
Nakataa hoja
 
Azam TV walishiriki kurusha live jana wakati mwili unaingia, na huwezi jua kama walikuwepo lakini hawakutaka kujionesha, ina maana uliona sura za waombolezaji wote?
MO Ali tweet kwa kutoa pole!
 
Acha ubishi wa kijinga wewe kwa kutetea ujinga
Hao mabwana sio watu wakuchangamana ungesema hivyo tungekuelewa acha kuropoka
Mwinyi na uzee wake kafika itakuwa hao?
Ila black colour tuna matatizo. Kwanza huyu Bharesa unamjua hata kwa sura weye?
 
Back
Top Bottom