Labda Manji na Bakhresa lakini Mo kila siku yuko mitandaoni na tweet zake za utata.Tusi judge..watu hao ulowataja sio wa Social media na ni watu ambao hata kuonekana kwao ni mpaka waamue wenyewe so Huwezi kujua..JAPO.................
Mkuu Ulitaka Wahusike Kivipi Hasa?
Umeongea ukweli, Mengi kipindi cha Mkapa alipeta ila kipindi cha Jakaya ni Mo na Manji ndiyo walitesa, Ila kipindi cha huyu jamaa wahindi dizaini kama wamebanwa sana, Niliwahi kuandika uzi humu kuwa uenda Mengi akawa tajiri No. 1 endapo JPM atamaliza awamu zake zote 2..! JPM alimpa nafasi Mengi.Ndio ujue Wahindi sio ndugu zenu wamekuja kutafuta hela tuu. Mengi alikuwa mpinzani wao mkubwa kubishara kwahiyo hawampendi. Awamu hii nafikiri Wahindi wanaisoma namba serikali zilizopita waliziweka mifukoni mwao. Walijua pesa itawalinda
Katika uislamu Mazishi ni sehemu ya Ibada na yana taratibu zake za kufuata kamaHapo mi nakukatalia kwenye misiba mikubwa watu wenye ushwishi ktk jamii ni muhimu watokee hata kusaini kitabu cha maombelezo
Hii ndio comment Bora ktk uzi huu.watu wanaishi kwa Code ... we tulia waachie mambo yao .. hao na wewe mnaishi dunia mbili tofauti ... na fasiri yako ya matukio kama haya ni tofauti sana na hao jamaa wanavyoya tafsiri
Una kichaaKama mimi ninazidiwa akili na nzi basi wewe akili zako ni mavi.
Iliandikwa wapi kuwa lazima kila mtu ahudhurie msiba wa mtu anemfahamu?
Unafahamu huyo Manji au Mo n.k wapo wapi? Wanafanya nini?
Unafahamu pamoja na Mengi kufa bado maisha ya wengine ibabidi yaende? Unafahamu hao wafanya biashara wana mambo mangapi ya kufuatilia ya muhimu zaidi?
Tatizo watu weusi mnapenda sifa za kipumbavu tu zisizokuwa na tija. Mtu ameshakufa mtu akitoa salamu za rambirambi hata kama sio public basi inatosha. Hata asipotoa haimhusu mtu maana sio lazima.
Maisha lazima yaendelee acheni unafki wa kipumbavu.
Akili mavi kabisa.
Uadui wa manji na mengi wa kibiashara tuMo alikua USA sijui kama amesharudi, Manji walikua maadui na Mengi, Bakhresa sijui nini kinaendelea.
Umesema ni "muhimu" lakini ujue kuwa sio "LAZIMA".
Kwahiyo jijue kuwa akili zako ni fupi sana na una mambo ya kiswahili sana.
Hata hivyo jua kuwa pamoja na umuhimu wa kujitokeza hao wenye ushawishi, hawawezi kujitokeza wote. Wachache watawawakilisha.
Tatizo hapa mnaongea tu lakini hamjui hata kama hao watu pamoja na kutotokea personally kama wametuma wawakilishi.
Msipende kukurupuka ku judge mambo msiyokuwa na uhakika nayo. Ni ulimbukeni wa kifikra.
Watanzania wengi watakufa na akili bikra zisizotumika Kwn wasipotoa salam za rambi rambi mait haitozikwa? Na kama wametoa privite, pamoja na yote ayo wakitoa wasitoe ww unapungukiwa na nn? Acha ujinga kafanye kazi
Waswahili tumezoea kuhesabiana nani alikuja na nani hakuja. Eti wa kwake tutamsusia. Ndemeti!Watanzania tuache upumbavu wa kifikra. Hujasikia wewe lakini sio lazima kila kitu kiwe public, watu wengine hawapendi kiki hasa kwenye mambo kama misiba.
Salamu zao za rambirambi utajuaje kuwa wamezifikisha kwa familia ya marehemu privately?
Acheni ujinga fanyeni mambo ya msingi.
Una kichaa
Ni aibu kubwa sana kuona mtu yupo hapa JF lakini hajui kuwa familia ni taasisi tena taasisi mama kabisa.Utume muwakilishi msibani!!!! Umekua taasisi!!!
Awaone kwenye TV kama mkuu wa mkoaMkuu Ulitaka Wahusike Kivipi Hasa?
Nawe ukipatwa na msiba (sio kua naomba iwe ivo) jamii inayo kuzunguka itatuma salam za rambi rambi pia. ..Kama mimi ninazidiwa akili na nzi basi wewe akili zako ni mavi.
Iliandikwa wapi kuwa lazima kila mtu ahudhurie msiba wa mtu anemfahamu?
Unafahamu huyo Manji au Mo n.k wapo wapi? Wanafanya nini?
Unafahamu pamoja na Mengi kufa bado maisha ya wengine ibabidi yaende? Unafahamu hao wafanya biashara wana mambo mangapi ya kufuatilia ya muhimu zaidi?
Tatizo watu weusi mnapenda sifa za kipumbavu tu zisizokuwa na tija. Mtu ameshakufa mtu akitoa salamu za rambirambi hata kama sio public basi inatosha. Hata asipotoa haimhusu mtu maana sio lazima.
Maisha lazima yaendelee acheni unafki wa kipumbavu.
Akili mavi kabisa.
Kwahiyo mimi nisijofanye najua kujibu kila kitu lakini wakati huo nawewe unajifanya unajua kujibu kila kitu!Jamaa usijifanye unaweza kujibu kila kitu vitu vingine kama uwezi jibu nyamaza kinywa, umejibu upuuzi mtupuNawe ukipatwa na msiba (sio kua naomba iwe ivo) jamii inayo kuzunguka itatuma salam za rambi rambi pia. ..