Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
Mtajipendekeza sana kwa hao watu, let them show you their true colours.
Ngoja msiba uishe na mambo yatulie njaa ziwasababishe mrudi kujipendekeza tena, Wahindi/Waarabu huwa hawajisumbui na jambo lisilo na financial profits labda kama ni tragedies zinazowagusa direct.
Hao Wadosi ndiyo walitakiwa wawe forefront kuliko hata wanasiasa kwakuwa Dr Mengi alikuwa ni mfanyabiara mwenzao na wala hakuwa mwanasiasa japo wanasiasa ndiyo wamejitoa kimasomaso sana hata kama ni kwa malengo ya political gain kikubwa wamejitoa wakaonekana kwani marehemu alikuwa ni public figure.