MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

Tuna wahindi matajiri sana tena sana, ni wangapi umewahi kusikia ndoa zao, vacation zao, misiba yao au misaada na wanatoa sana misaada kweli. So wapenda sifa na publicity. Suala la sherehe za misiba ni la kitamaduni
 
Kama mimi ninazidiwa akili na nzi basi wewe akili zako ni mavi.

Iliandikwa wapi kuwa lazima kila mtu ahudhurie msiba wa mtu anemfahamu?

Unafahamu huyo Manji au Mo n.k wapo wapi? Wanafanya nini?

Unafahamu pamoja na Mengi kufa bado maisha ya wengine ibabidi yaende? Unafahamu hao wafanya biashara wana mambo mangapi ya kufuatilia ya muhimu zaidi?

Tatizo watu weusi mnapenda sifa za kipumbavu tu zisizokuwa na tija. Mtu ameshakufa mtu akitoa salamu za rambirambi hata kama sio public basi inatosha. Hata asipotoa haimhusu mtu maana sio lazima.

Maisha lazima yaendelee acheni unafkim wa kipumbavu.

Akili mavi kabisa.
Unatetea upumbavu tu... Rais na mawziri ndo hawana kazi za kufanya. Huwajui ww hao wanaojiita waarabu au wahindi hata huku mitaan tunakoishii nao hawhudhuriaga kwenye misiba yetu.-
 
Unatetea upumbavu tu... Rais na mawziri ndo hawana kazi za kufanya. Huwajui ww hao wanaojiita waarabu au wahindi hata huku mitaan tunakoishii nao hawhudhuriaga kwenye misiba yetu.-
Hao wana kazi gani wakati maisha yao yanategemea kodi za wananchi? Utafananisha na wafanyabiashara wanao take risks kuwekeza pesa zao wenyewe?

Shubamittt
 
Nilishawahi kuishi jiran na wahindi hawa jamaa ni kweli kuhudhuria makaburin ni mbinde ukifa mpingo ila na wao misiba yao ya ajabu hawawahusishi wanashindwa kukuambia tu usihudhurie ha ha
 
Wengine siyo kina makonda au steve nyerere..kuhudhuria misiba kwa wengine ni dini...
 
sijwasikia social media TV media Wala karimjee kumuaga mpendwa wetu mbona wengine tunajitoa mkipata matatizo .sio poa
Mkuu huelew chochote , hao uliowataja hapo juu wote walikuwepo sema sio watu wa kushow off Kama wanasiasa, Patel ndio aliongea kwa niaba yao, wote walikuwepo , au ulitaka wawe kwenye camera muda wote ndo roho yako iridhike
 
Back
Top Bottom