Mo Hawezi patikana..

Inategemea katekwa na nani.. ila kama ni hawa hawa waliompoteza saanane na kumkosa kosa Lissu.. Futeni kabisa Matumaini ya Dewji Kuonekana tena!
 
Kuna wakat ni bora ujiteke mwenyewe kuogopa fedheha ya kuswekwa ndani kama akina manji na Seth na ruge
Umesoma kichwa cha habari gazeti la mtanzania la leo? Kinasema. "Serikali yakataa vyombo vya kimataifa kumsaka Mo Dewji"
 
Very true chief.

Kuna msemo wa "fedha si kila kitu" nyakati kama hizi ndio unaelewa maana yake vizuri sana.
 
Na Roma alijiteka mwenyewe?
 

NAMIMI NIMEOTA HIVYO HIVYO Mkuu umepita mule mule kwenye ndoto yangu sasa malizia kwanini MO hakuingia kwenye mtego kama wakina Manji,GSM,Ally (Lake oil) mtego pekee uliomchafua ni mafuta ya kula na sukari ya viwandani wakati aligoma kuingia kichwa kichwa kwenye biashara mara baada ya jiwe kuingia madarakani akawa ana focus zaidi kwenye fursa za Mozambique,Simba project,Kilimo upatikanaji wa Mo ni -100%.
 

kuna siku ni shawahi sema jeshi letu upelelezi ziro.mifano mizuri tunao watu wa maskini.wakikukamata mpaka ujulikane sio wewe jela ushakwenda,kipigo na ulemavu
 
I was thinking the same
 
Kinachoumiza wanaopotea kwa kutekwa wakirudi wanakaa kimya hawana maelezo yoyote. najua atapatikana japo hatakuwa na maelezo
Hiyo ni dalili tosha kwamba watekaji wapo katk system.
 
Fidia ya nini!?
 
Huwezi amini mo analiliwa taifa zima Hata vijijini habari ni Mo tu! Watu wanaumia Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…