Mo Hawezi patikana..

Hao Urusi ndio watekaji na wauaji wakubwa! Kazi tunayo kama hatuwezi kujitetea mpaka tutegemee wa nje. Umasikini na ujinga ni balaa na litatafuna taifa hili mpaka mwisho wake!
 
Na iwe hivyo, angalau tutakuwa na uhakika kuwa hatadhurika!
 
Polisi hawa wa bongo kwa sasa wanasubiria tu muujiza utokee...
Wako bize kupiga wapinzani, na kuwabambikia kesi, kwa mo aisee naona kama ni ndoto za abunuwas, esopo!! Alfu lela lela
 
Kwa faida gani ajiteke labda unaweza kutufafanulia maana kama ni kiki za kisiasa alishaachana na siasa ,ni mtu ambaye hana sababu ya kutafuta attention kwa njia hiyo
-Umaarufu alionao katika soka kama mdau muhimu Simba Sc hata mchango Taifa stars sidhani kama ataweza kufikiria njia hii kuongeza umaarufu
-Kumbuka yule ni mfanya biashara mkubwa kuna document ngapi ambazo angetakiwa kuzisgn katika siku alizopotea biashara zinayumba kwa namna fulani.hawezi kujiteka kwa utashi wake
*Kama katekwa kwa ajili ya fedha basi inawezekana mazungumzo yanaendelea kimya kimya sio rahisi waje wakwambie ebana ndo tupo tunabargain na watekaji sio rahisi
 
bora ata manji alisota rumande lakini saiv anakula ugali. mo dalili za kupatikana ni ndogo.
Kwa hili tukio la mo ...inaweza kuwa message alert kwa Manji " Akaamua kuikimbia nchi kabisa" Maana huu upepo hautabiriki ardhi ya hii nchi imeshakuwa ya moto hapa kaliki kwa amani hapa"... upepo unaweza kumgeukia siku yoyote ikala kwakwe
 
Nakazia
 
tuitumie vzr mitandao ya kijamii tusijekuijkuta tupo mikononi mwa Dora, mwandishi kuwa makini acha vyombo husika viwe vinatoa taarifa unaweza kujikuta upo matatani ukiendelea kuwa msemaji,maoni tu
 
Jana waombaji muiomboee nchi,vitendo kama hivi vinaharibu sifa ya tz kisiwa cha amani,ni imani yangu mfadhili wetu atapatikana soon.Mungu ibariki tz na watu wake
 
Dah, Watekaji MUNGU anawaona mjue!. Natamani kusikia Albadili ikimfikia aliyewatuma watekaji. Ova
 
Siku ikitokea wakuu wa mkoa, au mawazili wametekwa ndio tutaluhusu upelelezi wa nje?. Lisu walizuia upelelezi wa nje. Wakati umefika tubadili sheria inayoipa serekali kutoa ruhusa Kwa mambo yanayohusu haki ya kuishi ya mtu inapohatalishwa. Kibali kiwe ni haki ya msingi ya kibinadamu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…