Mo Hawezi patikana..

Ina bidi wanaharakati wajifunge Track zipo paka zakuweka kwenye Jino Tanzanian isha change kwa sasa
 
Haya ndo mambo yanayopelekea kuamini probability ya yeye kupatikana kuwa ndogo. Sasa ni siku ya 3 pia lazima atakuwa amewatambua watekaji kwa nguvu aliyonayo hawawez kumuacha hivihivi maana pia na wao itakuja kuwa shida kubwa kwao...
 
Ivi bdo hawajampata tu, kwan wanamtaftia wap?
 
Wamuachie jamani! Hata kama ni rwanda huko
 
Hivi hakuna wataalam wa ramli wa kiwango Cha rami nchi hii watuambie aliko...au Hawa manabii wanaojitia waonaji si watuambie...mbwembwe nyingi wakiwa kwenye tukanisa twao..utasiki mara nimeonyeshwa hiki mala kile tuonyesheni na mo basi
 
NASOMAGA TU HIZI POST ZA MAMBO YA KUTEKANA NA KUSEMA NAFSINI, (•••)
 
Ransom za karne hii sio za kelele. Anapigiwa ndugu mmoja wa karibu anapewa masharti. Kama ni mzigo unapelekwa sehemu na ndugu ambayekesha pigwa mkwara nini kitatokea kama akiwatonya Polish.So watu wanachukua chao wanasepa. Ransom za kelele ni zile za makundi yenye mrengo wa kisiasa ili kujijenga.
 
Kitu ambacho hakinijii akilin au hata kukiwaza n eti wamuue, ndio wanaweza labda ila sio rahisi kabisa
 
Kama watadai ransom unataka ujulishwe wewe?

Watawasiliana na Wahusika, watamalizana na huenda wala usijue chochote.
 
Kitu ambacho hakinijii akilin au hata kukiwaza n eti wamuue, ndio wanaweza labda ila sio rahisi kabisa
Kuna mambo yanatokea kimasihara ila ndo inakuwa 1/1. Ni ngumu sana kuamini kwamba mtu kama Mo anaweza asionekane tena, kama ilivyo kwa Agwanda n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…