Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Kiukweli bora kuyasikia kwa jirani. Lakini ukiwa mke, mme mtoto au mzazi wa mhanga, jamani....ni jehanamu kamili maumivu ya moyo unayoyapata.
Kweli.tumuombee Mo apatikane mapema akiwa hai na tuzidi kuwaombea familia yake kipindi hiki kigumu ambacho hata lepe la usingizi hawalipati kwa mawazo........
Na Mimi nahisi hivo kamavile Mo ndio nitolee... Mungu amlinde huko alipo
Organised crimeNi siku ya 3 sasa tajiri na mmoja kati ya watu walioajiri vijana wengi zaidi TZ haonekani.
Baada ya wiki watakaobaki na maumivu ni familia pekee huku jeshi la polisi litazidi kujinasibu kushikilia watu ambao kiuhalisia hata hawaelewi chochote.
Mipango ya kumteka mtu kama Mo haiwezi fanywa na zaidi ya watu 5 tena wanaofahamiana vyema. Naona kabisa nafasi ya Mo kuonekana akiwa salama ni ndogo sana. Yote kwa yote Ulinzi wa Mungu umuangazie huko aliko Jeshi letu halitaweza kamwe kufanikisha kumpata
Yule Mchungaji anajiita command mashimo kasema ataachiliwa leo amepiga maombi ya kufa mtu kasema. Ngoja tusubirie usiku upite kwanza hawaachiliwagi mchana ili wasipajueKuna vitu wanaandikishana na makontena hivyo mtamuona soon.
97% chance ni kubwa,Watekaji watamuachia tu
Uchawi ni mastory ungekuwepo kamati ya ufundi ya simba ingeshafanya yakeHapa ndo naona uchawi hauna nguvu.
Ungekuwa una nguvu basi wangepigwa kipapai huko waliko wangemrudisha jamaa nzima
Ni moja ya masharti ya kuachiwa Roma anauzoefu kwa hilo.Kinachoumiza wanaopotea kwa kutekwa wakirudi wanakaa kimya hawana maelezo yoyote. najua atapatikana japo hatakuwa na maelezo
Kama marindra yatakuwa yametolewa uzi hataongeaKinachoumiza wanaopotea kwa kutekwa wakirudi wanakaa kimya hawana maelezo yoyote. najua atapatikana japo hatakuwa na maelezo
Utekaji mwingine hauhitaji kuomba fidia, kumbuka waliyemteka ndio boss wa kampuni kama wangetaka kutumia hostages kupata pesa wangeteka ndugu yake wa karibu.Mkuu una uhakika gani kama Mo hajajiteka mwenyewe?? Mimi naona hii ni "movie" tu imechezwa kwa sababu fulani fulani ambazo hatuzijui. Kama kweli ametekwa Serious basi watekaji wangeshadai fidia muda mrefu sana. Ukiona mtu anatekwa pasipo watekaji kudai "fidia" basi fahamu huo utekaji unamashaka makubwa.
Kama lengo lao lilikuwa ni kumuua basi wangeweza kumchapa "risasi" pale pale nje ya Hoteli, na kama lengo lao ni kupata "information" basi mpaka sasa hivi wangekuwa wameshamwachilia, na pia kama lengo lao ni kupata pesa pia mpaka sasa wangekuwa wameshadai walipwe fidia (ransom).... Kwa kifupi mimi naamini Mo amejiteka mwenyewe.
Fanya kazi weweeMajuzi nimeona hili tangazo nikajikuta naumia sana.
Oya mbona unijibugi?Majuzi nimeona hili tangazo nikajikuta naumia sana.
Acha uzwazwaunaweza kukuta Masoud djuma ndo kamteka Mo