dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,596
- 60,820
safi sana, iwe fundisho kwako
Kujua nini tena? Yaani mtu anakukopesha fedha halafu anakuambia umtumie ada kwanza? Kwa nini asikate hiyo ada kwenye fedha anazokukopesha? Kama umewahi kuchukuwa mkopo popote pale ni kwamba ada na mazagazaga mengine yote yanakatwa kutoka kwenye mkopo unaochukuwa.Ulitakiwa kujua eligibility ya kampuni kabla. Hukusikia kama walishafutiwa usajili?
Mkuu ulichoandika si ndio nilichoandika?Kujua nini tena? Yaani mtu anakukopesha fedha halafu anakuambia umtumie ada kwanza? Kwa nini asikate hiyo ada kwenye fedha anazokukopesha? Kama umewahi kuchukuwa mkopo popote pale ni kwamba ada na mazagazaga mengine yote yanakatwa kutoka kwenye mkopo unaochukuwa.
Sasa kwanini wasikate hiyo 52,000/= kwenye mkopo waliotaka kukupa?Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.
ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Ama kweli watanzania mnapenda kutapeliwa. Eti Mo foundation, mara zitto foundation mara tulia foundation. sema kwa akili hizi acha mtapeliwe tu.Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.
ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Binadamu kiasili ni mtu mwenye tamaa(greedy), matapeli ni mafundi wa kucheza hiyo saikolojia. Tazama jinsi Kalinda, Mr Kuku, JATU, Qnet n.k walivyowapiga hadi wasomi maprofesa.Hivi inakuwaje unatapeliwa kirahisi hivyo!!
Kama umetapeliwa hadi na hao, bas una safari ndefu sana za kutapeliwa...Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.
ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Hatari sanaKama umetapeliwa hadi na hao, bas una safari ndefu sana za kutapeliwa...
OkUmeliwa kijana.
Tatzo mko speed sana.
Kabla ya kufanya jambo jaribu kufanya hata survey kidogo, hata fatilia comment utapata highlights au uliza kwa watu wako wa karibu.
Sawa mkuu. Tupo pamoja sana.Mkuu ulichoandika si ndio nilichoandika?
Matapeli hawakosagi machawasafi sana, iwe fundisho kwako
Nasomesha mkuu.Watoto 5 wote privateSasabto kama una uwezo wa elfu hamsini mkopo wa nini sasa. Pole lakini kujifunza kuna gharama zake na ndio kama hizo.