fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,497
- 27,761
mtu kama huyu anaweza akadanganywa afu ata tako akatoa
Aiseee pole, kusomesha ni wajibu lakini kuwapeleka private sio chaguo sahihi.Nasomesha mkuu.Watoto 5 wote private
Kama hauamini kuwa Mo Foundation ilikuwa haitoi mikopo, muulize Kigwangwala kama alifanikiwa kupata pikipikiHabari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.
ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
wenzio sie SSC tumepigwa cha la macho b20 zetu hatujui atatupa lini au ndo katudhulumu hatuna hamu nae huyo mwamedi TAPELIHabari!