Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 2,117
- 5,240
Sasa wewe unashida halaf unaambiwa utume pesa Kichwani zimo humo? Si ungewaambia wakate huko huko wakutumie 448000??
Jitahidi wasijekuwa na akili kama zakoNasomesha mkuu.Watoto 5 wote private
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.
ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Pole sana brother, umewapa watu hela ya sikukuu. Hao jamaa hata hawana uhusiano na Mo Dewji Foundation, ni wapambanaji tu wanatafuta pesa kwa wajinga kama wewe. Pole sana, ila next time usitume tena pesa kizembe namna hiyo kabla hujajiridhisha kwa asilimia 100.Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.
ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Utapeli wake ni upi wakati Wizara ilishatangaza kuwa hiyo Foundation imeshafutwa baada ya yenyewe kuomba kufutwa.Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.
ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Mo hakopeshi mzee sidhani kama hiyo foundation inahusu mikopo , ni watu wachache wanatumia Jina lake na picha yake kutapeliHabari!