Mo Foundation ni Matapeli namba yangu ila

Mo Foundation ni Matapeli namba yangu ila

Hii Nchi bhana tunawalaumu vijana wetu kwa kupigwa wakati vyombo vinavyotakiwa kutoa taarifa za matapeli vipo kimya...
Sometimes sio kulaumu vyombo,

Hivi wew huoni kama jamaa kapigwa kizembe? Jina sio, na toka lini unapoomba mkopo unalipa fedha ? Tena zaidi ya 10% ya mkopo ?
 
𝙳𝚞𝚞𝚞𝚞𝚞 𝚔𝚞𝚖𝚋𝚎 𝚑𝚊𝚠𝚊 𝚓𝚊𝚖𝚊𝚊 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚔𝚊𝚖𝚊𝚝𝚊
𝓐𝓬𝓱𝓮𝓷𝓲 𝓾𝓳𝓲𝓷𝓰𝓪
 
Sometimes sio kulaumu vyombo,

Hivi wew huoni kama jamaa kapigwa kizembe? Jina sio, na toka lini unapoomba mkopo unalipa fedha ? Tena zaidi ya 10% ya mkopo ?
Mkuu vijana ndio wanaingia kwenye gemu tuwape Elimu wewe kwa level yako huwezi kuingia hiyo ngoma kwa hiyo tusiwalaumu vijana wanapoingia hizi ngoma wakati taasisi zinaruhusu walikuja Kalyinda watu wamepigwa na taasisi ya kutoa vibali wapo kimya sio wote watajua mambo kwa urahisi ndugu yangu...
 
Na mtapeliwe tu, sababu hakuna namna.
Huyo uliomtumia ana uhusiano gani kiofisi na hiyo foundation?
 
Yani unaomba mkopo tena wanakwambia ilipe adA, za kuambiwa changanya na zako
 
Mkuu vijana ndio wanaingia kwenye gemu tuwape Elimu wewe kwa level yako huwezi kuingia hiyo ngoma kwa hiyo tusiwalaumu vijana wanapoingia hizi ngoma wakati taasisi zinaruhusu walikuja Kalyinda watu wamepigwa na taasisi ya kutoa vibali wapo kimya sio wote watajua mambo kwa urahisi ndugu yangu...
Mleta hoja sio kujana,mtu aliyejiunga jf mwaka 2013 hawezi kuwa kijana,akipungua sana umri atakuwa na miaka 40.
 
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
WATU KAMA WEWE NDIO SBB YA HAO WATU KUENDELEA NA HIZO HARAKATI ZAO.
SASA ILI AKILI IKUKAE SAWA, OMBA MKOPO NA KWA HAWA HAPA:
  1. PESA X
  2. TWIGA LOAN
  3. MKOPOFASTA
  4. ONEPESA
  5. BONGOPESA
  6. FINILOAN
  7. FLEXICASH
  8. CASHX
  9. MKOPOHARAKA
 
Mleta hoja sio kujana,mtu aliyejiunga jf mwaka 2013 hawezi kuwa kijana,akipungua sana umri atakuwa na miaka 40.
Mkuu utapeli hauna umri hawa wanaotapeli hela za wazee wa pension inakuaje?kujua mambo au kutokujua mambo ni wewe na mihangaiko yako kama umedumaa unaweza kufika miaka 50 na wahuni wakakupa ngoma ya Tuma hela kwenye namba hii na ukatuma...
 
Pole sana, lakini kwanini hukujiuliza kwa nini jina tofauti na kampuni?, je mo foundation inahusika na mikopo? Kabla kufanya hayo yote hukugoogle hata habari zao au kutafuta nyuzi humu JF mbona ni mkongwe wa jukwaa ila umetapeliwa kizembe
 
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Haya malipo si umefanya leo? Subiri hadi jumatano Mr. Mwakasagule atakujibu. Leo ofisi zimefungwa yupo kwenye likizo ya sikukuu
 
Pongezi kwa hao wajanja walio piga kitu kizito wewe mshamba
 
Tapeliwa tu ng'ombe wewe ..kila siku mnaambiwa hii mikopo ya mitandaoni matapeli hamsikii. Haya nenda kwa tulia foundation wanakopesha Kenge wewe.
 
Back
Top Bottom