Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,715
- 20,472
Kibabage, Mkude, Skudu, Nzengeli, Zwazwa... Pale hakuna 3B yaani asitutanie kabisaPale Simba hakuna usajili wa Bilioni 3 ni mambo ya kihuni tu.
Kibabage, Mkude, Skudu, Nzengeli, Zwazwa... Pale hakuna 3B yaani asitutanie kabisaPale Simba hakuna usajili wa Bilioni 3 ni mambo ya kihuni tu.
Kama tunapanga foleni kusubiri mia Tano chenji kwenye daladala, iwaje bilioni tatu zake zisimuume?Anaonyesha akitoa pesa zinamuuma sana
Kwani Simba wameshakabidhiwa?Zile 5 b za CAF zimekwenda wapi Sasa?
Kwani wanasimba wengine wametoa shilingi ngapi?Mo ni Harmonize alie changamka
Ukute ni katika 20bil anazitoa Kwa instalment. Tokea 2018 mpaka leo nadhan tutakua hatumdai tena labda ye ndo anatudaiSio 20B? Kanjibahi kawashika pabaya.
Kwani wanasimba wengine wametoa shilingi ngapi?
Simba haina mwekezaji.Kwani muwekezaji wa Simba ni nani?
Bilioni 20 za kitu gani??Ukute ni katika 20bil anazitoa Kwa instalment. Tokea 2018 mpaka leo nadhan tutakua hatumdai tena labda ye ndo anatudai
Simba haina mwekezaji.
Simba ilikuwepo na itakuwepo bila hiyo familiaUna akili za dada yako...
Unadhani bila familia yake Simba ingekuwa wapi?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umekuja mjini juzi umefikia kwa shemeji yako ndio unadhani kila mtu yupo hivyo.Una akili za dada yako...
Unadhani bila familia yake Simba ingekuwa wapi?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mudi ni mwanasimba anayejitolea kuijenga Simba.Mwamedi n nan uko kwenu?
Dah! Umasikini ni mbaya sana. Siyo kwa masimango haya aisee. 😃Makolo wanasimangwa sana,hawakomi
Simba hakuna kanuni za fedha zinazofuatwa.Ametoa kama msaada au ametoa kama muwekezaji? na ile budget ya 23B ina kazi gani?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Utathibitisha nini? Nani alikuuliza kuhusu uthibitisho? Pesa ya vocha mpaka umngoje shemeji yako arudi kutoka kazini.Baada ya mechi ya leo tutathibitisha
Afadhali kusimangwa kuliko kupelekeshwa na kuitwa Wala mihogo!!Dah! Umasikini ni mbaya sana. Siyo kwa masimango haya aisee. 😃
Ni vizuri akatuambia maana binadamu hatuna fadhila na niwasahaulifu, kesho tu ndo tutakuwa wa kwanza kumnanga kwamba kasaidia nini timu, kumbu kumbu zikae sawa tafadhali!!!!Anaonyesha akitoa pesa zinamuuma sana