Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
Jana nilijikuta najiimbia songi la Nature si ulitaka chai khaaaaa iweje ulalamike unaungua.
 
“Kilichotokea kwenye akaunti zangu jana kilikuwa ni bahati mbaya, tuko pamoja, tunarudi kwenye ligi tukiwa na nguvu , tunajipanga kwa ajili ya ligi, nawapongeza Mtibwa kwa kuchukua kombe, mimi ni Simba damudamu, nitabaki kuwa Simba" - MO DEWJI
1578993654535.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee mburula hajakanusha bali ameomba radhi!
Huyu mhindi hafai kwa lo lote anapenda sana kuabudiwa! Sijui wafanyakazi wake wana hali gani!
 
nimeona aisee!

Pinned Tweet

What happened to my accounts yesterday was unfortunate. Tuko pamoja. We’re going back to the league strong. Tunajipanga kwaajili ya ligi. Nawapongeza Mtibwa kwa kuchukuwa kombe. Mimi ni SIMBA damu damu. Nitabaki kuwa SIMBA! #NguvuMoja
 
kikao kijacho cha board anaandika barua rasmi ya kujitoa,

uongozi wa Simba umeamuambia hawana barua yake ya kujiuzulu afate utaratibu.

ila mashabiki wa simba wanaburuzwa aiseee hahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom