Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
9,429
Points
2,000

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
9,429 2,000
“Kilichotokea kwenye akaunti zangu jana kilikuwa ni bahati mbaya, tuko pamoja, tunarudi kwenye ligi tukiwa na nguvu , tunajipanga kwa ajili ya ligi, nawapongeza Mtibwa kwa kuchukua kombe, mimi ni Simba damudamu, nitabaki kuwa Simba" - MO DEWJI

Sent using Jamii Forums mobile app
.......baada ya kupigwa mkwara na Bashite!!
 
Joined
Mar 16, 2019
Messages
60
Points
1,000
Joined Mar 16, 2019
60 1,000
Beira Boy, Real Madrid timu ya wananchi inaendeshwa na wanachama. Perez pale amechaguliwa na mkutano mkuu kuwa Rais.

Simba na Yanga wanakwama wapi. Mbona wananchi kwa pamoja wanayo pesa nyingi kuliko za Mo na Gsm. Kila mwanachama na shabiki wa hizi timu kila mwezi akachangia timu yake 3,000 ni zaidi ya bilioni 20 kwa mwezi.

Michango hii kwa mwaka hizi club zinauwezo wa kujenga viwanja, kulipa mishahara, kununua ndege binafsi ya club.

Mimi siwalaumu Mo wala Gsm nawalaumu wanachama na mashabiki wa hizi club simba na Yanga pamoja na viongozi wao wameshindwa kuziendesha hizi club.

Sent using Cash Money Wings

Sent using Cash Money Wings
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,379,780
Members 525,565
Posts 33,756,286
Top