Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,582
- 134,218
Ushauri wa bure Chadema, iwapo Watanzania kwa kauli moja wataamua 2025 twende na Mwanamke kama nilivyo shauri hapa, Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!Gazeti la jamhuri la leo limekuja na taarifa inayoelezea majibizano ya Tundu Lisu na mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mh Aida khenani, Tundu Lisu amenukuliwa akisema kuwa chadema haiutambui ubunge wa Aida Khenani licha ya kuwa alichaguliwa kwa kura za kishindo na wananchi wa Nkasi kaskazini.
Mh Khenani amemtaka Lisu kutulia na kuendelea kulelewa Ubelgiji kwani hana uwezo wa kusema hatambui ubunge wa mtu fulani kwani hana maamuzi ya mwisho ndani ya chama.View attachment 2576465
Nawashauri kwa Chadema, kwenye urais asimamishwe Mhe. Aida Khenani au mgombea Mwanamke mwingine yeyote, maana wakimsimamisha mgombea mwanaume, atapata aibu sana, kwasababu Kiafrika mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu sana!.
P