Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,938
- 2,081
Kuna hoja hapo au takataka.Chambua hoja ya gazeti
Kuna hoja hapo au takataka.Chambua hoja ya gazeti
Haina maana maana gaidi ni Hamza mwana ccm mtiifuGaidi gang
Gaidi ni yule aliyekutwa na kesi ya kujibuHaina maana maana gaidi ni Hamza mwana ccm mtiifu
Nasikia ulifukuzwa mombasa usiku usiku,mbona usemi nini ulifanya pale likoni?Amsterdam wife
Alafu akafungwa maisha gerezani!!!!Gaidi ni yule aliyekutwa na kesi ya kujibu
DekioHili ni gazeti au taulo!!?
HahahahaChadema wakishika nchi kagame atachukua kiti na kujifunza somo jipya la udikteta
Hoja ya nyokoChambua hoja ya gazeti
Hoja ni Aida kumkataa LisuHoja ya nyoko
Kachimbe shimo pale burigiHoja ni Aida kumkataa Lisu
Ndiyo uwezo wa nyumbu kufikiri unapoishiaKachimbe shimo pale burigi
Ndiyo uwezo wa nyumbu kufikiri unapoishia
Lisu ni mbinafsi sanaKatika jambo la kipumbavu nililowahi kuona Lissu akitamka ni kumkataa mbunge Kenani. Kama mbunge ameshinda kihalali kwanini aukatae ubunge wake kisa mwendawazimu Lissu hataki kumtambua? Yule mbunge kosa lake ni lipi? Angalau lile group la kina Hawa Bananga mnaweza mkawa na hoja ingawa kiuhalisia CHADEMA wamewashindwa na kina mama 19 wanamaliza miaka yao mitano kwa raha zao. Lissu aache udikteta. Viongozi waliopo CHADEMA kwa sasa ni kama mataahira. Unamkataaje mbunge aliyechaguliwa kihalali na wananchi?
2025 wananchi tutawaadhibu CHADEMA kwenye sanduku la kura.
Hasa nyumbu yule aliyekuzalia wewe kwenye mkesha wa mbio za mwenge.Ndiyo uwezo wa nyumbu kufikiri unapoishia
Wacha kudandia waume za watuLisu ni mbinafsi sana
Amsterdam wifeWacha kudandia waume za watu
Nakuonea huruma hapo ulivyokamatwa na wajuviAmsterdam wife
Huu ndio ulikuwa msimamo wa Chadema baada ya uchaguzi, lakini baada ya mazungumzo ya maridhiano, msimamo huu ulibadilika, sasa Chadema inautambua uchaguzi, mnamtambua mshindi na inamtambua Mhe. Aida Khenani. Msikiliza hapa JJ. MnyikaTundu Lisu amenukuliwa akisema kuwa chadema haiutambui ubunge wa Aida Khenani licha ya kuwa alichaguliwa kwa kura za kishindo na wananchi wa Nkasi kaskazini.