4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,301
- 12,952
Mnaogopa kivuli wakati shoo bado mtajuta kuwa ccm , mtapigwa shoo ccm mpaka mjuteGazeti la jamhuri la leo limekuja na taarifa inayoelezea majibizano ya Tundu Lisu na mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mh Aida khenani, Tundu Lisu amenukuliwa akisema kuwa chadema haiutambui ubunge wa Aida Khenani licha ya kuwa alichaguliwa kwa kura za kishindo na wananchi wa Nkasi kaskazini.
Mh Khenani amemtaka Lisu kutulia na kuendelea kulelewa Ubelgiji kwani hana uwezo wa kusema hatambui ubunge wa mtu fulani kwani hana maamuzi ya mwisho ndani ya chama.
View attachment 2576465