Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 756
- 322
Gazeti la kuvitia bange!Mala nyingi ni la kusokotea tumbaku na kuchambia kwenye magulio!
Gazeti la kuvitia bange!Mala nyingi ni la kusokotea tumbaku na kuchambia kwenye magulio!
Illogical.Ushauri wa bure Chadema, iwapo Watanzania kwa kauli moja wataamua 2025 twende na Mwanamke kama nilivyo shauri hapa, Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Nawashauri kwa Chadema, kwenye urais asimamishwe Mhe. Aida Khenani au mgombea Mwanamke mwingine yeyote, maana wakimsimamisha mgombea mwanaume, atapata aibu sana, kwasababu Kiafrika mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu sana!.
P
Wa vitega au Bujumbura 🤔Punguza uongo wewe mrundi.
Hao watu waulize vichaa wenzao wanajuanaKhenani Kihongosi anasemaje kwani?
CCM mna laana mbaya sana... kulikua na ulazima gani kuchomekea hilo neno kulelewa?Gazeti la jamhuri la leo limekuja na taarifa inayoelezea majibizano ya Tundu Lisu na mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mh Aida khenani, Tundu Lisu amenukuliwa akisema kuwa chadema haiutambui ubunge wa Aida Khenani licha ya kuwa alichaguliwa kwa kura za kishindo na wananchi wa Nkasi kaskazini.
Mh Khenani amemtaka Lisu kutulia na kuendelea kulelewa Ubelgiji kwani hana uwezo wa kusema hatambui ubunge wa mtu fulani kwani hana maamuzi ya mwisho ndani ya chama.
View attachment 2576465
Kamuulize mbunge Aida KhenanCCM mna laana mbaya sana... kulikua na ulazima gani kuchomekea hilo neno kulelewa?
Sukuma gang safari hii mmepigika vya kutosha.Kamuulize mbunge Aida Khenan
Wapigie kabisa,hata wapigwe upofu na wasione tena😂Sukuma gang safari hii mmepigika vya kutosha.
kimeumana ofisini.Kimeumana kwenye Nini?. Mnaacha taarifa ya CAG mnadandia udaku .
Mtalinda kaburi hadi kihamakimeumana ofisini.
[emoji116]
Mabaga na dadaake.
Vipi wewe unayebeba wenzako?Analelewa[emoji23]
LegacyMtalinda kaburi hadi kihama
HahahahaLisu yeye anafurahia tu maridhiano feki kwa kulipwa mafao na matibabu. hakukuwa na mgogoro wowote, ccm walifanya kuwafurahisha tu kwa pipi ili kuwaondoa kwenye reli.
Kama ana ubavu akatae maridhiano, amkatae basi na rais kwani pia alitokana na uchaguzi ule wa 2020. Unakula nyama halafu unasema mchuzi unakudhuru.
Chambua hoja ya gazetiMala nyingi ni la kusokotea tumbaku na kuchambia kwenye magulio!
Amsterdam wifeVipi wewe unayebeba wenzako?
Gaidi gangSukuma gang safari hii mmepigika vya kutosha.
[emoji1787][emoji1787]Analelewa[emoji23]