Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

nazan sio wazo baya kwa kuamuni hizo ni kero kubwa kwa watanzania na si wa ubungo tu ila pia watanzania wa leo wanajua wanachokifanya na wanauelewa mkubwa sana hivyo ni vema kuangalia hilo pia daresalaam yote matatizo yake yanalingana hivyo ni busara kuangalia na kushauri njia za kumaliza tatizo hili na mengineyo na sio kuonyesha kuwa kashindwa hiyo sio fear ndio maana wengine wawashambulia wakiamin mna ajenda zenu binafsi.
 
Asante mkuu, kwa ushauri wako wa kistaarabu.Naona umenote wale walioposti utumbo wamepata stahili yao, na ushauri kama huu unajenga afya katika mdahalo.

pamoja katika kutengeneza Tanzania tuitakayo mkuu...
 
Mtanisamehe kama sitaeleweka ,maana nna jazba ,na kwikwi za hapa na pale .

Ni mwezi sasa kwa sisi wakazi wa ubungo hatuna maji,cha ajabu hakuna hata taarifa yoyote ni nini inaendelea kama labda ni hitilafu mahali au ndio hamna tena maji kabisa.Kwa kweli kwa familia yenye watoto wadogo ni kama mauaji ,maana hata maji ya kununua ndoo ni mia tano mpaka mia sita,na kwa siku matumizi yanaweza kuwa ndoo mpaka nane.

Tulalamike wapi jamani,au tumuachie mungu,au tufanyaje sasa maana tunaambiwa tuache kulalamika.

Ebu tujaribu kuchangiana mawazo tufanyaje maana wapo wengi ambao hawana hata sehemu ya kusemea yao ya moyoni,na serikali imekaa kimya tuu,au moderator aanzishe jukwaa la 'nini kifanyike' maana haya matatizo yetu hayana dalili ya kutatuliwa.

nawakilisha
 
Na Nyinyi Mwanishangaza Wizara Ya Maji Ipo Pale , Andamaneni Na Ndoo Zenu Mkachote Maji, Hampo Serious Na Hilo Swala
 
Subiri kipindi cha uchaguzi kikikaribia yatatoka hadi kwenye mabomba ya mkoloni.
 
Aliyewaambia mumchague Mnyika ni nani? Mtakula jeuri yenu.

2015 chagueni CCM mletewe maji.
 
Mtanisamehe kama sitaeleweka ,maana nna jazba ,na kwikwi za hapa na pale .

Ni mwezi sasa kwa sisi wakazi wa ubungo hatuna maji,cha ajabu hakuna hata taarifa yoyote ni nini inaendelea kama labda ni hitilafu mahali au ndio hamna tena maji kabisa.Kwa kweli kwa familia yenye watoto wadogo ni kama mauaji ,maana hata maji ya kununua ndoo ni mia tano mpaka mia sita,na kwa siku matumizi yanaweza kuwa ndoo mpaka nane.

Tulalamike wapi jamani,au tumuachie mungu,au tufanyaje sasa maana tunaambiwa tuache kulalamika.

Ebu tujaribu kuchangiana mawazo tufanyaje maana wapo wengi ambao hawana hata sehemu ya kusemea yao ya moyoni,na serikali imekaa kimya tuu,au moderator aanzishe jukwaa la 'nini kifanyike' maana haya matatizo yetu hayana dalili ya kutatuliwa.

nawakilisha

Haya mambo WaTz twajitakia wenyewe...nchi imejaliwa mito na maziwa makuu kibao,badala ya kwenda kuishi huko,unaishi Ubungo Maji!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wapi John Mnyika? yupo anakomalia swala la Zitto tu, pumbaf zake
 
Back
Top Bottom