Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

sasa ndio naukubali msemo wa mdau mmoja alisema" mjinga ni sawa na maiti! sasa kazi ya kupeleka maji ubungo ni ya mnyika au ya serikali!
 
Katika wabunge vijana wa CHADEMA, Mbunge Mnyika huwa anani-impress sana kwa kutumia akili katika hoja zake nyingi.

Hata hivyo sasa mambo inaelekea yanamwendea vibaya jimboni kwake Ubungo, kwa kushindwa kuutafuna mifupa mikavu uliyowasambaratisha wabunge wengi wa eneo hilo-tatizo la maji na miundo mbinu Ubungo.

Waziri Kabaka , Waziri wa Kazi na Ajira, amemrushia madongo mazito Mbunge John Mnyika kwa kushindwa kwake "kuona ndani" katika kulitatua tatizo hilo. (ref Mwananchi 6/11/2012, pg 8)

Waziri Kabaka amedai kuwa Mnyika amekuwa akitumia muda mwingi katika siasa za Bunge kuliko kutatua matatizo ya wananchi wa Ubungo.

Katika kusaidia kutatua matatizo ya Ubungo Waziri Kabaka ameahidi kumwona waziri mwenziwe wa Maji na ili alitazame tatizo la maji Ubungo na kulitatua.

Anachosema Waziri Kabaka kina mantiki kubwa, Mnyika inabidi ajipange na kuwa na uhusiano mzuri na "magamba" wanaoendesha wizara zinazomgusa kiutendaji jimboni kwake.

Uchaguzi si mbali, na jimbo la Ubungo ndio hilo, wengi wanalikodolea macho.

hueleweki, we unaongea ubungo wakati si tunaongea kuchukua dola,
 
na kama wanaubungo mtampoteza mnyika basi hamtampata mbunge mwingie mwajibikaji kama mnyika na ss tutamuomba aje jimboni kwetu aje awajibike.
 
Rais Dhaifu anakusanya kodi. Mikoba yote anayo!!!!!! Lakini Mnyika hajawahi kukusanya hata cent ya mtu ondoa bla bla bla hapa jamvini

Unaelewa ni nani mwenye mamlaka ya kukusanya kodi? Jamani, hata kama ni ushabiki, try and use your brain a little bit. Kwa nini mtu uamue kujidhalilisha kiasi hicho? Na Mnyika akipoteza ubunge kwa mfano, wewe utanufaika vipi? Do yourself some justice, unafikiri ni bora kuwa na Mnyika bungeni au Mama Kabaka? Na ni kwanini unadhani ni jukumu la Mnyika kutatua tatizo la maji Ubungo na si serikali? Yeye ni mwakilishi wa wapiga kura wa ubungo. Tatizo hili analisemea kila kukicha. Watu wote wenye akili timamu wanafahamu. Tatizo la maji Ubungo na maeneo mengine lisipotatuliwa, atakayeadhibiwa ni serikali na Chama tawala. Do you need a PhD to understand this?
 
sasa ndio naukubali msemo wa mdau mmoja alisema" mjinga ni sawa na maiti! sasa kazi ya kupeleka maji ubungo ni ya mnyika au ya serikali!

Kwa vile ugoro ni jadi yako, nakuongezea lingine.
Maiti ni yule unayelala naye kitanda kimoja!
 
hueleweki, we unaongea ubungo wakati si tunaongea kuchukua dola,

Mkuu hivyo ni viatu vikubwa kwako.
Muadabisheni kwanza yule mwizi na fisadi wa hela ya ruzuku yenu.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanasiasa na kiongozi jamaa anaweza siasa but hawezi kuongoza wenye akili watanielewa wasio na akili watanitukana
Umbea tu Maccm mmebakisha mwambie huyo shoga ako Kabaka aende akashughulikie maji Mara ya Ubungo awachie watu wa Ubungo au kama vp amshauri Nchemba kwa kuwa Iramba hawajui bomba la maji linafananaje.
 
kwani aliyetengeneza tatizo la maji ni nani?CCM wamekua wakitengeneza matatizo, halafu baadae wanajisifia tena kutatua.Huu ni upuuzi wa hali ya juu.Saa hizi wanahangaika kujisifia kufufa reli ya kati na wakati walioiua ni wao wenyewe.

Kama kawaida hii posti haihitsji majibu toka jukwaa hili maana maoni haya ni saizi ya chekechea.
 
Katika wabunge vijana wa CHADEMA, Mbunge Mnyika huwa anani-impress sana kwa kutumia akili katika hoja zake nyingi.

Hata hivyo sasa mambo inaelekea yanamwendea vibaya jimboni kwake Ubungo, kwa kushindwa kuutafuna mifupa mikavu uliyowasambaratisha wabunge wengi wa eneo hilo-tatizo la maji na miundo mbinu Ubungo.

Waziri Kabaka , Waziri wa Kazi na Ajira, amemrushia madongo mazito Mbunge John Mnyika kwa kushindwa kwake "kuona ndani" katika kulitatua tatizo hilo. (ref Mwananchi 6/11/2012, pg 8)

Waziri Kabaka amedai kuwa Mnyika amekuwa akitumia muda mwingi katika siasa za Bunge kuliko kutatua matatizo ya wananchi wa Ubungo.

Katika kusaidia kutatua matatizo ya Ubungo Waziri Kabaka ameahidi kumwona waziri mwenziwe wa Maji na ili alitazame tatizo la maji Ubungo na kulitatua.

Anachosema Waziri Kabaka kina mantiki kubwa, Mnyika inabidi ajipange na kuwa na uhusiano mzuri na "magamba" wanaoendesha wizara zinazomgusa kiutendaji jimboni kwake.

Uchaguzi si mbali, na jimbo la Ubungo ndio hilo, wengi wanalikodolea macho.

mkuu, sikutukani lakini nakushauri uyapitie hayo niliyoyaweka red kwa umakini, pengine ukafuta thread yako...asante
 
Asante mkuu, kwa ushauri wako wa kistaarabu.Naona umenote wale walioposti utumbo wamepata stahili yao, na ushauri kama huu unajenga afya katika mdahalo.
 
Kama kawaida, ni Tanzania tu mbunge wa Upinzani anatupiwa lawama pale maendeleo katika jimbo analoliwakilisha yanapozorota. Kwa wastaarabu, serikali iliyopo madarakani hujitahidi kutatua matatizo kwenye majimbo yaliyokamatwa na upinzani ili katika uchaguzi unaofuatia wapate uhalali wa kujipigia kampeni. Lakini Tanzania wako watu mbumbumbu aina ya masopakyindi ambao kwa ufinyu wa uelewa huelekeza lawama zao kwa watu ambao hata hawako madarakani!

Kama alivosema J. Ulimwengu, ukichagua hovyo usilalamike hovyo mambo yanapoanza kwenda hovyo...iko siku Chadema kwa mfano italaumiwa kwa kukosekana kwa ajira, kwa mishahara duni, kwa ukosefu wa dawa mahospitalini, kwa elimu kuzorota, kwa ufisadi na rushwa kushamiri, kwa mikataba mibovu...you name it! Halafu watatokea masopakyindi , wataelekeza lawama zoote kwa Kiongozi wa Upinzani bungeni, Mh. Mbowe! Kazi ya mwakilishi ni uwakilishi na kamwe si utekelezaji.

Mh. J. J. Mnyika, kwa mfano, wananchi wa Ubungo wameona, wamesikia na wameshuhudia alivyojitahidi kuwawakilisha kwa kufikisha kilio chao serikalini kwa niaba yao. Watakuwa watu wa ajabu sana kama watashindwa watazipuuza jitihada zote hizo za mbunge wao na badala yake wawapigie kura wale walioziba masikio wasiweze kusikiliza malalamiko yao kupitia kwa mbunge wao na kushughulikia matatizo waliyo nayo kama wananchi.
 
Kama kawaida, ni Tanzania tu mbunge wa Upinzani anatupiwa lawama pale maendeleo katika jimbo analoliwakilisha yanapozorota. Kwa wastaarabu, serikali iliyopo madarakani hujitahidi kutatua matatizo kwenye majimbo yaliyokamatwa na upinzani ili katika uchaguzi unaofuatia wapate uhalali wa kujipigia kampeni. Lakini Tanzania wako watu mbumbumbu aina ya masopakyindi ambao kwa ufinyu wa uelewa huelekeza lawama zao kwa watu ambao hata hawako madarakani!

Kama alivosema J. Ulimwengu, ukichagua hovyo usilalamike hovyo mambo yanapoanza kwenda hovyo...iko siku Chadema kwa mfano italaumiwa kwa kukosekana kwa ajira, kwa mishahara duni, kwa ukosefu wa dawa mahospitalini, kwa elimu kuzorota, kwa ufisadi na rushwa kushamiri, kwa mikataba mibovu...you name it! Halafu watatokea masopakyindi , wataelekeza lawama zoote kwa Kiongozi wa Upinzani bungeni, Mh. Mbowe! Kazi ya mwakilishi ni uwakilishi na kamwe si utekelezaji.
Mkuu una matatizo ya akili!
Kama mwisho wa uelewa wako ni kufikiri kwa Ullimwengu una mategemeo ya maendeleo kweli.

If you side with rot, YOU ARE ROT!
 
Mkuu una matatizo ya akili!
Kama mwisho wa uelewa wako ni kufikiri kwa Ullimwengu una mategemeo ya maendeleo kweli. If you side with rot, YOU ARE ROT!
Sasa masopakyindi, hebu eleza kinagaubaga Mh. J. J. Mnyika kashindwa kufanya nini ambacho alitakiwa kukifanya huku akiwa na uwezo wa kukifanya. As to which side you are in, nawaachia ma GT wa JF waamue!
 
Ni ukweli kabisa tatizo la maji jimbo la ubungo ni mwiba kwa mnyika 2015,hadi leo hatujamwona kule mzakuzi tuweze kupitia yale aliyokuwa anatuahidi kwenye mikutano ya kampeni.

mh. kama vip wekeni mbunge mmoja mmoja tumjadili! nani atakuwa mshindi wa kupeleka maendeleo katika jimbo lake, maana mnyika mnyika lakini wale wasiokwenda majimboni kwao na wamepasahau hamuwataji why?
 
Sasa masopakyindi, hebu eleza kinagaubaga Mh. J. J. Mnyika kashindwa kufanya nini ambacho alitakiwa kukifanya huku akiwa na uwezo wa kukifanya. As to which side you are in, nawaachia ma GT wa JF waamue!

Mkuu Mag3siasa si uadui wala mapigano.
Kitu kinachompa heshima mtu kama Freeman Mbowe ni style yake ya kuona mambo kwa ujumla na mapana yake.
Maji yanaweza kupatikana Ubungo bila confrontational approach, wale wanaofikiri kitu kutekelezwa na serikali ni kiasi cha kuishurutisha serikali kufanya hivyo are dead wrong!
Kule jimboni kwa Mbowe barabara zinajengwa na serikali hii hii ya CCM, and Mbowe has given his praise and thanks kwa serikali ,kwa niaba ya wananchi wake where it is due.

In actual fact sidhani kama mtu kama Mnyika anaweza kuingia ofisi yoyote ya serikali na akasikilizwa baada ya kumwita kiongozi wa serikali hiyo dhaifu!!!!
That is politics, lazima mtu uume na kupuliza!
Ukiamua kuuma tu day in , day out utagundua kuwa hata meno yako yanaweza kung'olewa kiraisi sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwa harufu ya uozo unaoutoa sijui unaongea toka choo gani?
You smell shit mister!

Ndio namna ya CCM ya kujibu hoja, ungekuwa bungeni Job Ndugai angekupigia makofi na kukwambia urudie ili asikie vizuri. Rudia kusoma tena nilichoandika halafu ndio utajua kati yangu mimi na wewe nani mpuuzi
 
Mkuu Mag3siasa si uadui wala mapigano.
Kitu kinachompa heshima mtu kama Freeman Mbowe ni style yake ya kuona mambo kwa ujumla na mapana yake.
Maji yanaweza kupatikana Ubungo bila confrontational approach, wale wanaofikiri kitu kutekelezwa na serikali ni kiasi cha kuishurutisha serikali kufanya hivyo are dead wrong!
Kule jimboni kwa Mbowe barabara zinajengwa na serikali hii hii ya CCM, and Mbowe has given his praise and thanks kwa serikali ,kwa niaba ya wananchi wake where it is due.

In actual fact sidhani kama mtu kama Mnyika anaweza kuingia ofisi yoyote ya serikali na akasikilizwa baada ya kumwita kiongozi wa serikali hiyo dhaifu!!!!
That is politics, lazima mtu uume na kupuliza!
Ukiamua kuuma tu day in , day out utagundua kuwa hata meno yako yanaweza kung'olewa kiraisi sana.

Kumbe unajua kuwa Mnyika anafanya kazi yake barabara ila shida yenu ni kwamba hajashiriki UNAFIKI wa KUNGANTA NA KUPULIZA. Kama inalazimu kumsifia 'dhaifu' ili tupate maji, mimi mwananchi wa kwanza wa Ubungo kuridhia kutokuwa na maji kuliko kumpigia magoti shetani.

Kama mlifikiri tulimtuma Mnyika kwenda kunyenyekea kwa mabwana zenu tambueni Ubungo sio Igunga, tunaona na tunazingatia. Anayetukwamisha tunamjua na 2015 ni mwisho wake.

Hao ma bimkubwa mnaowapigia chapuo Ubungo 2015 muwaandalie dawa za presha. Nafikiri mmeona aliyepita ni nini kilimkuta. Kwa taarifa yako, amefilisika kwa kuhonga na kuendesha kesi. Haya huyo Kabaka anakaribishwa Ubungo, jimbo la Wasomi tusiotumia hirizi.
 
Ndio namna ya CCM ya kujibu hoja, ungekuwa bungeni Job Ndugai angekupigia makofi na kukwambia urudie ili asikie vizuri. Rudia kusoma tena nilichoandika halafu ndio utajua kati yangu mimi na wewe nani mpuuzi
You are not worth a discussion mister!
 
Back
Top Bottom