Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

wapi John Mnyika? yupo anakomalia swala la Zitto tu, pumbaf zake

usiwe kama huna akili timamu. anaeshughulikia maji ni prof Maghembe wa ccm. Mnyika alishasema sana ila ccm wanaona kuwakatia maji wana Ubungo wanamkomoa Mnyika. ndio maana mkoloni alisema akili ya mswahili iko ma.ta.ko.ni na ukitaka aluelewe mchape viboko tu. apana funga yeye jela.
 
embu weka clip yake aliyosema kuhusu kero za maji ubungo na mikakati yake ya kutatua, iwe ya mwaka 2013 plz, isiwe ya mwaka 2010 wakati anatuomba kura, mahaba yakizd sana utajikuta unatoa tigo kwa J Mnyika bila kujielewa
 
Huduma ya maji haina chama wala dini kils mtu anayo haki ya kupatiwa maji..
 
Mnyika
Bado ana nafasi ya ya walau kuuliza ili tupewe jibu kunani!!! Kama siye nani sasa?? Maana ndiye muwakilishi wetu.
 
Afadhali nyie mmeyakosa mwezi mmoja mbezi mshikamano ni mwaka na nusu sasa maji hakuna!!!!
 
Watanzania tuanze kujifunza kujitegemea na kujisaidia maana serikali haina msaada. Nunua maji yako mwenyewe, chimba kisima chako mwenyewe, nunua solar panels. Serikali ni ya wachache.
 
Watanzania tuanze kujifunza kujitegemea na kujisaidia maana serikali haina msaada. Nunua maji yako mwenyewe, chimba kisima chako mwenyewe, nunua solar panels. Serikali ni ya wachache.

Kodi tunayolipa iliwe na kina pinda halafu tuchimbe visima ?? umesomea chuo gani ?
 
Haya mambo WaTz twajitakia wenyewe...nchi imejaliwa mito na maziwa makuu kibao,badala ya kwenda kuishi huko,unaishi Ubungo Maji!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Unamaanisha watu warudi vijijini lol
 
Kodi tunayolipa iliwe na kina pinda halafu tuchimbe visima ?? umesomea chuo gani ?

Sasa unajua kuwa kodi yako inaneemesha mafisadi, wewe kwa nini unafikiri hao hao mafisadi watakuletea maji? Mimi nasema tugome kulipa kodi, halafu tufanye wenyewe vitu. Hata wenzetu wa marekani walisema "no taxation without representation". Kuitegemea serikali ni kujipotezea muda. Maisha yanakwenda utabaki kuisubiri tuu serikali ikuletee maji.
 
Mpigie simu John Mnyika (MB), aachane na siasa za mahakamani na kutatua matatizo ya wananchi wake
 
Changueni Ccm hyo m2 wenu kashindwa yeye anavuta maboza tu.
 
ni nchi gani duniani shirika la maji la kiserikali litakausha mabomba ya maji kwa wiki mbili na watu wakaweza kushi bila maji kwa wiki mbili? na bado mtaani pakawa kimyaaaaaa....kama hakuna tatizo.

hivi huu si ujinga kweli?
 
unashangaa hiyo, je ukiambiwa kuwa kuna watu waliwahi kuiba mabilioni ya shilingi za EPA na serikali ikawa inawabembeleza ili warudishe pesa hiyo na mpaka leo hii hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa, na wananchi wako kimya, waziri mkuu mwenyewe alituambia mafisadi wana nguvu wanaweza kuyumbisha nchi.
 
nimekupata mkuu. hapo sasa tatizo siyo ccm wala serikali. tatizo ni mitanzania mioga kama mbwa koko...hilo ndo hasa tatizo letu.

wewe mtu mabomba yamekauka wiki mbili. hata kama tungekuwa tunakunywa mikojo yetu ingekuwa nayo tayari imeshakauka sasa.... watu kimyaaaaa... hata sijui kwanini tusijikusanye tu mahali tuanze maandamano kudai maji ubungo. bahati nzuri idara ya maji ipo hukuhuku ubungo. wala safari haitakuwa ndefu.
 
Na wewe ukiwemo unajificha nyuma ya keyboard kutoa malalamiko yako kwa nini usiwafuate dawasco, tena wewe ndio mbwa koko anaye sondeka mkia wake makalioni
 
Unapoangalia Geography ya Ubungo na makazi ya watu, kwa kweli hata serikali iwe ya Kichina siyo rahisi kumpatia kila mtu maji labda kuwe na kituo maalum cha kutoa maji ambapo mwenye shida ataenda kuchota nakupeleka nyumbani kwake. Jamani ile milima ya Kimara, mbezi, bonyoko, malamba mawili, msakuzi na kwingineko maji yatapandishwa na nini? Ujenzi wenyewe hauna Plan ili serikali iweze kusambaza maji kirahisi. Kila mtu kajenga alipotaka na anataka maji ya bomba yamfikie. Hii katika hali halisi isiyo ya Kisiasa naona haiwezekani? Mimi naona serikali inajitahidi kupeleka penye Plani kama Ubungo NHC, Mabibo, Sinza, Mlimani City na Maeneo ya chuo. Ila huko kwingine mlimani mtafute njia mbadala serikali iwasadie wataalaam.
 
Na wewe ukiwemo unajificha nyuma ya keyboard kutoa malalamiko yako kwa nini usiwafuate dawasco, tena wewe ndio mbwa koko anaye sondeka mkia wake makalioni

mbona unajihami kama umetukanwa wewe? hata kama wewe ndo wale wauza maji wanaonufaika na huu ukame, au kama wewe ndo wale dawasco wanaoenda ofisini kuhesabu siku za mshahara bila kujali wamefanya lipi siku hiyo, nikupe taarifa hii sasa: dawasco tumewafuata mara kibao eti bomba limepasuka.

bomba gani halitengezwi wiki mbili?

wewe unaguswa na maandamano ninayopendekeza kudai maji kwenye mabomba. hutaki maandamano kudai maji? wewe una maslahi gani katika huu ukame?
 
Back
Top Bottom