Mnyika: The majority Political Dream

Mnyika: The majority Political Dream

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
bila kuathiri ushabiki wa vyama na uanachama,ni lazima niseme mnyika hana mpinzani kuwa ni kijana ambaye kwa wafuasi wa vyama basi ni ndoto ya wengi na mkomboz.japo yy si mwepesi kujikubali lakini tunamwambia yy ni mkombozi wa umma.in future mnyika is gonna win politics coz;
-hana tamaa
-hana kashifa
-mtambuzi na mchambuzi wa mambo
-anaijua siasa
-hajikwezi
-anathamn watu
-mtana shati

we prau for you Mnyika and CDM.
 
Umeanza vizuri........'bila ushabiki wa vyama' mwishowe........'we proud of you Mnyika and CDM'........unajichanganya bila shaka wewe ni Mnyika,Ben,Yeriko et al....!
 
Mnyika ni mzuri sana, ila tu anaogopa bosi zake huyoo.
Ila he knows what he want and how to get it.
 
Mnyika ni mtu aliyetulia mwenye haiba hasa ya kiongozi. Katika viongozi vijana Mnyika is No. 1 ninayemkubali.
 
Ni kijana mtulivu na Mungu atamsaidia...hachuji kama zitto
 
bila kuathiri ushabiki wa vyama na uanachama,ni lazima niseme mnyika hana mpinzani kuwa ni kijana ambaye kwa wafuasi wa vyama basi ni ndoto ya wengi na mkomboz.japo yy si mwepesi kujikubali lakini tunamwambia yy ni mkombozi wa umma.in future mnyika is gonna win politics coz;
-hana tamaa
-hana kashifa
-mtambuzi na mchambuzi wa mambo
-anaijua siasa
-hajikwezi
-anathamn watu
-mtana shati

we prau for you Mnyika and CDM.

Mnyika huyu ambaye ni Muhhoga kwa Mbowe na dr Slaa ila kina ujasiri wa kumkosoa Kikwete....sipendi vijana wanafiki kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
ataendelea kua mzuri mpaka pale atapoenda kinyume na maagizo ya mbowe na slaa ndipo ataitwa mhain,,,
to me!,,,he z jst a coward,,,,anapelekwa hajielew!
 
bila kuathiri ushabiki wa vyama na uanachama,ni lazima niseme mnyika hana mpinzani kuwa ni kijana ambaye kwa wafuasi wa vyama basi ni ndoto ya wengi na mkomboz.japo yy si mwepesi kujikubali lakini tunamwambia yy ni mkombozi wa umma.in future mnyika is gonna win politics coz;
-hana tamaa
-hana kashifa
-mtambuzi na mchambuzi wa mambo
-anaijua siasa
-hajikwezi
-anathamn watu
-mtana shati

we prau for you Mnyika and CDM.

mkumbushe pia kuwa ajue ubungo aliyoishit kwa kuikumbatia Hai ndiyo iliyomfikisha hapo. Akiendeleza kulisusa jimbo 2015 atashangaa
 
Mnyika huyu ambaye ni Muhhoga kwa Mbowe na dr Slaa ila kina ujasiri wa kumkosoa Kikwete....sipendi vijana wanafiki kwa kweli

si mwoga kwa mbowe wa dr slaa bali anaheshimu uongozi na katiba ya chama chake lakini pia katika kumkososa kikwete ni sahihi kwa sababu kazi ya upinzani ni kukosoa serikali na si kuisifia na kikwete ndie kiongozi mkuu wa serikali.
 
Mnyika ni jembe kweli yani hana njaa na tamaa kama zitto kabwe atafika mbali
 
Lazima umsifie,
Mnyika naye ni bendera kufuata upepo tu,
Anaburuzwa na mbowe na slaa huku wakiwa wamemwekee kidole mdomoni wakimwambia siiiiii.
 
Lazima umsifie,
Mnyika naye ni bendera kufuata upepo tu,
Anaburuzwa na mbowe na slaa huku wakiwa wamemwekee kidole mdomoni wakimwambia siiiiii.

Haya maneno yana ushahidi gani? kaburuzwa katika nini? au kwa sababu humsikii akibishana na kukashifu viongozi wake whether indirect or direct, kama wengine?
Mnyika amejengwa kimaadili toka ngazi ya familia, kama kuna jambo linamtatiza atalihoji kwa kupitia taratibu zilizowekwa.. Hajikwezi, ni mwanasiasa mwenye vision ya mbali, sio leo tu kama wengine. Anapigana kujenga umaarufu wa taasisi anayoitumikia, CDM. Sio umaarufu wake binafsi kama wengine. Anamaamini CDM ikiwa maarufu automaticaly na yeye anapanda, na hata kama ana nia ya kugombea nafasi ya juu ni rahisi kushinda.. Hana makuu jamaa.

Ninamfahamu toka akiwa Tambaza na mwenyekiti wa TYVA, where i was inn.. Siasa yake ni ya kuigwa na vijana..
Ni mtu asiyejikubali na he keeps fight afike mahali fulani kwa njia halali..

Mungu ambariki sana!
 
bila kuathiri ushabiki wa vyama na uanachama,ni lazima niseme mnyika hana mpinzani kuwa ni kijana ambaye kwa wafuasi wa vyama basi ni ndoto ya wengi na mkomboz.japo yy si mwepesi kujikubali lakini tunamwambia yy ni mkombozi wa umma.in future mnyika is gonna win politics coz;
-hana tamaa
-hana kashifa
-mtambuzi na mchambuzi wa mambo
-anaijua siasa
-hajikwezi
-anathamn watu
-mtana shati

we prau for you Mnyika and CDM.

Mmeanza tena. Ya Zito yalianza hivyo hivyo.Kumpa sifa mara una msimamo, mara bila yeye CHADEMA haipo nk. Kavimbisha kichwa sasa kafikia ukingoni kisiasa
 
mnyika anaburuzwa sana na mbowe,,,hajiamin bendera fuata upepo.!
 
Mnyika ni kiongozi, Hana makuu, ni mtii na hajikwezi na mtu Kama huyu umma ndo utamkweza siku za usoni. Mungu azidi kumpa hekima na busara ili asiingiwe na tamaa au kuvimba kichwa kwa sifa tunazompa!
Daima awe vile jinsi alivyo na awe katika Ubora wake!
 
Back
Top Bottom