Mnyika: The majority Political Dream

Mnyika: The majority Political Dream

Mtu akizidisha ushabiki, anakosa objectivity. Anajiongelea tu, sometimes anakosa hata ushahidi wa kutetea alichoandika. Hivi, kukubali mawazo ya mtu ndio kuburuzwa? Au kupinga hata kile ambacho hakihitaji kupingwa ndio kutoburuzwa? Katika jambo gani Mnyika ameburuzwa na Mbowe au Dr. Slaa, mpaka watu wadhani kuwa Mnyika anaburuzwa na Mbowe na Dr. Slaa?
Ukifuatilia lengo hasa la Zito tangia mwaka 2010 utagundua kuwa lengo lake hasa ni kuzima mafanikio ya vijana wanaong’ara ndani ya CHADEMA ili angare yeye peke yake. Hata lile suala la kodi ya simcard ilionyesha dhahiri kuwa Zito alitaka aonyeshe watu kuwa yeye ana hekima kuliko Mnyika na January Makamba. Lakini mlengwa haswa alikuwa Mnyika.
Kwa mtazamo wangu, namkubali Mnyika
 
Mnyika ni mzuri sana, ila tu anaogopa bosi zake huyoo.
Ila he knows what he want and how to get it.

Sio kwamba anaogopa wakubwa wake hapana anaheshimu na ni mtiifu(x_ seminarian) . Pia kwenye vyema vyenye misingi imara ni lazima vijana wakuzwe katika utii, heshima kidogo ccm walikuwa wanajitahidi kwa sasa wamekiuka miiko hiyo.
Kwa vyama vya kikomunisti kama kile cha china kina utaratibu mzuri vijana hata wawe na umaarufu vipi hawapandi mabegani mwa viongozi wao. Hawawi na uchu na ulafi wa madaraka. Vijana huandaliwa kuwa viongozi na sio kufanya uhaini kama inavyotokea hapa kwetu.
 
wewe si useme unampigia DEBE kuchukua nafasi ya Zitto YA UNAIBU KATIBU MKUU. lkn kumbuka no permanent enermy or friends in politics. hata Mnyika huko mbele anaweza kupigwa chini hasa akienda kinyume na matakwa ya WACHAGA WA CHADEMA.
 
sema ukweli kama unampigia debe kuchukua nafasi ya ZITTO, COZ hna jipya. zaidi kumbuka hakuna RAFIKI au ADUI wa kudumu katika siasa, hata yeye huko mbele anaweza kupigwa chini. mkumbuke Mwl na Kambona
 
Ameshindwa kutatua kero ya maji Kimara.

Ujinga ni kilema, Mnyika kazi yake ni kuwasemea wananch na kuishauri serikal sasa kama serikali haishauriki ulitaka mnyika atoe hela yke mfukon au ulitakaje?, Mh. Mnyika alipeleka hoja ya maji bungeni lkn kwa upuuz wa kiti cha spika hoja ya mnyika ikatupwa ikaonekana ni upuuz.!
 
Back
Top Bottom