CYPRIAN MKALI
Senior Member
- Nov 12, 2010
- 176
- 67
Tatizo CDM sio taasis ni kama mali ya MBOE hvi! hvyo wapiganaji waoga hawasemi lolote ndan bal nje tunauona ushujaa wao.
in short he knows to play the political gameMnyika ni mzuri sana, ila tu anaogopa bosi zake huyoo.
Ila he knows what he want and how to get it.
Tatizo CDM sio taasis ni kama mali ya MBOE hvi! hvyo wapiganaji waoga hawasemi lolote ndan bal nje tunauona ushujaa wao.
Mmeanza tena. Ya Zito yalianza hivyo hivyo.Kumpa sifa mara una msimamo, mara bila yeye CHADEMA haipo nk. Kavimbisha kichwa sasa kafikia ukingoni kisiasa
Haya maneno yana ushahidi gani? kaburuzwa katika nini? au kwa sababu humsikii akibishana na kukashifu viongozi wake whether indirect or direct, kama wengine?
Mnyika amejengwa kimaadili toka ngazi ya familia, kama kuna jambo linamtatiza atalihoji kwa kupitia taratibu zilizowekwa.. Hajikwezi, ni mwanasiasa mwenye vision ya mbali, sio leo tu kama wengine. Anapigana kujenga umaarufu wa taasisi anayoitumikia, CDM. Sio umaarufu wake binafsi kama wengine. Anamaamini CDM ikiwa maarufu automaticaly na yeye anapanda, na hata kama ana nia ya kugombea nafasi ya juu ni rahisi kushinda.. Hana makuu jamaa.
Ninamfahamu toka akiwa Tambaza na mwenyekiti wa TYVA, where i was inn.. Siasa yake ni ya kuigwa na vijana..
Ni mtu asiyejikubali na he keeps fight afike mahali fulani kwa njia halali..
Mungu ambariki sana!
bila kuathiri ushabiki wa vyama na uanachama,ni lazima niseme mnyika hana mpinzani kuwa ni kijana ambaye kwa wafuasi wa vyama basi ni ndoto ya wengi na mkomboz.japo yy si mwepesi kujikubali lakini tunamwambia yy ni mkombozi wa umma.in future mnyika is gonna win politics coz;
-hana tamaa
-hana kashifa
-mtambuzi na mchambuzi wa mambo
-anaijua siasa
-hajikwezi
-anathamn watu
-mtana shati
we prau for you Mnyika and CDM.
Mnyika ni mzuri sana, ila tu anaogopa bosi zake huyoo.

mkuu wewe ndo umeongea kila kitu. na huo ndo ukweli. ajaribu tu kugombea kiti cha mteule wa hayatula mtei wa tengeru ndo utajua kama hizo sifa anazo au hana.ajaribu kugombea uenyekiti basi tuone hizo sifa kama zitadumu. ukiwa kondoo kumbe unapendwa!
Huyu ndo aliyemwita Rais eti Dhaifu kijana haogopi huyu anaikashifu taasisi!