Mshirazi
JF-Expert Member
- Dec 8, 2009
- 444
- 180
Hapa hakuna swala la intelligence. Hapa ni wazi kabisa kuwa kuna mambo maovu yanapangwa dhidi ya viongozi wa Chadema.
Hakuna swala lolote la intelligence. In fact, mtu hahitaji intelligence yoyote kummaliza mtu hapa Tanzania.
Hebu chukulia swala lililotokea juzi kati kule Tegeta ambapo msafara wa JK ulipopigwa mawe. Imagine kama mawe yala yangekuwa ni mabomu ya kutupwa kwa mkono (hand grenades), ingekuwaje ?? Wale waliorusha mawe hawakuwa na intelligence yoyote, lakini waliweza kulenga msafara wa JK !!
Usijaribu kujifanya unajua mambo hapa wakati hujui.
Sasa kama kinachosubiriwa ni nini mpaka leo wawe hawajauwawa? hebu nawewe jiulize.....