Mnyika, Slaa na Lema kuuawa

only a fool will fall into this trap eti wanataka kuwawa. Mmeshindwa kuwashawishi watanzania na Drs wenu sasa mnakuja na kivyengine. Tushawastukizia mnatafuta cheap publicity. Kama mnaogopa kuwawa mpeni Zitto uwenyekiti basi!
 
Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia - Mafioso. Source: Channel ten usiku huu, yeye Slaa ameongea

Mpaka Mwezi wa 9 mwaka huu kuna kiongozi mmoja mkubwa wa CCM ata aga Dunia. Yuko ndani ya serikali ya JK. Naona damu mbele na kilio kikubwa na wingu limetanda na huzuni mioyoni mwa watu.

Jiandae kushuhudia.
 
Wanamapinduzi huwa hawaogopi kifo, nilidhani magwanda ni ya msituni kumbe ya urembo tu, nilitaka nishangae watu wenyewe hata National Service hawakupita, kumbe Job Lusinde alikuwa sahihi huko Karatu

mbona hueleweki? Unarukaruka tu ww ni jinsia agani? Mwisho wa siku angalia aveta yangu utanielewa! Wht goes around comes around!
 
only a fool will fall into this trap eti wanataka kuwawa. Mmeshindwa kuwashawishi watanzania na Drs wenu sasa mnakuja na kivyengine. Tushawastukizia mnatafuta cheap publicity. Kama mnaogopa kuwawa mpeni Zitto uwenyekiti basi![KAMATI KUU NDIO INAYOAMUA IMPE NANI KURA NA SIO KAMA UNAVYODHANI!
 
Umaarufu upi alionao unamvimbisha kichwa tu?

ni kiwango gani cha umaaruf ambacho unadhanikiko-worth kuuawa na serikali?, kiwango kinapimwaje?!, je, ktk hawa wafuatao ni wepi walifikia viwango, na wepi hawakufikia?

1. Edward Moringe sokoine.

2. Horace Kolimba.

3. Gilman Lutihinda

4. Stephen Kibona.

5. ,Kigoma malima.

6. Capt. Tamim.

7. Chacha Wangwe.

8.Advoc Kapinga.

9. Nickas Mahinda?????.

Na hawa je?
John galang, yasser arafat, fidel castrol, eriel sharon................
 
Hivi inahitaji uwe na inteligency kummaliza mtu kama Lema!!! acheni kulialia,, kibabu kinaona kimesahaulika kinazusha mambo.... hovyo kabisa
 
Amemsahau Mtei na Mbowe, na mtakufa kweli kudadadaadeki! Amaaaaaaaaaa. MEN AT WORK

Dawa ni Kuokoka ili hata wakifa walau waambulie uzima wa Milele

Umaarufu upi alionao unamvimbisha kichwa tu?

Wanamapinduzi huwa hawaogopi kifo, nilidhani magwanda ni ya msituni kumbe ya urembo tu, nilitaka nishangae watu wenyewe hata National Service hawakupita, kumbe Job Lusinde alikuwa sahihi huko Karatu

:A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby:
 
wewe,toa kichwa weka dafu.lusinde alifanya nn karatu?na ikujaje karatu kwenye mada hii?acha pombe,shame on u.

Ha ha ha Maj2 mengne bwana yanakera cjui Ina2husu nini mambo ya lucy-nde karatu, ***** kwa hyo 2fe hata bila kutimiza mision ze2 maji2 mengne bwana
 
Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia - Mafioso. Source: Channel ten usiku huu, yeye Slaa ameongea

aache kuwa propaganda wananchi, Slaa anakaa kijitonyama ambapo kuna ofisi na nyumba za hao anaowaita wanataka kumuuwa. yote yanawezekana lakini sidhani kama ni sahihi hii style maana kufa kama kufa sisi sote tutakufa sasa anapo eneza propaganda hizi inamaana hata ikitokea japo hatuombei ivo akavuta kamba may be kwa ugonjwa kama wa kanumba/marelia wananchi wataamini kuwa ameuliwa. kitu ambacho kitasababisha wananchi kuiona serikali yao kuwa ni chinja chinja. kwa kiongozi mkubwa wa kisiasa siamini kama hiyo ni njia sahihi. haya ni kwa mtizamo wangu
 
Hapa kuna ishu inachongwa si bure hawa jamaa huwa siku zote hawakurupuki kusema jambo hivyo naomba serikali iliangalie hili kwa ukaribu ili tuhuma hizi zikitokea kwelui tusiinyoosheen mkono.MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CDM.
 
Wanamapinduzi huwa hawaogopi kifo, nilidhani magwanda ni ya msituni kumbe ya urembo tu, nilitaka nishangae watu wenyewe hata National Service hawakupita, kumbe Job Lusinde alikuwa sahihi huko Karatu
kwa io hao mabwana zako mafisadi kumbe hua wanaua sio?
 
Wanamapinduzi huwa hawaogopi kifo, nilidhani magwanda ni ya msituni kumbe ya urembo tu, nilitaka nishangae watu wenyewe hata National Service hawakupita, kumbe Job Lusinde alikuwa sahihi huko Karatu

Dogo nakusikitia sana. Yaani unaweka post ili tu uonekane kuwa upo.
Hebu check hapo kwenye red, hivi unamfahamu Job Lusinde ? au umemchanganya na mzee wa matusi Livingstone Lusinde ???
Ila nakupa heko, umeweka post tano mfululizo!, kila post unalipwa shilingi ngapi ???
 
Hivi inahitaji uwe na inteligency kummaliza mtu kama Lema!!! acheni kulialia,, kibabu kinaona kimesahaulika kinazusha mambo.... hovyo kabisa

Hapa hakuna swala la intelligence. Hapa ni wazi kabisa kuwa kuna mambo maovu yanapangwa dhidi ya viongozi wa Chadema.
Hakuna swala lolote la intelligence. In fact, mtu hahitaji intelligence yoyote kummaliza mtu hapa Tanzania.
Hebu chukulia swala lililotokea juzi kati kule Tegeta ambapo msafara wa JK ulipopigwa mawe. Imagine kama mawe yala yangekuwa ni mabomu ya kutupwa kwa mkono (hand grenades), ingekuwaje ?? Wale waliorusha mawe hawakuwa na intelligence yoyote, lakini waliweza kulenga msafara wa JK !!
Usijaribu kujifanya unajua mambo hapa wakati hujui.
 
Nilikuwa siamini nilipoambiwa kuwa Kuna chama kimoja kimeteua watu kibao na kuwapa JUKUMU MAALUM la ku deal na Jamii Forums kwa KUKILINDA KWA HALI NA MALI, Chama chao,kwa lengo la kukiepusha na kuandamwa kwake kulikotokana na utendaji Mbovu wa Chama hicho.Ila watu wenyewe waliotumwa ni VILAZA kwa sababu hawajui hata namna ya kukificha,wanaropoka utafikiri wanagikiri kwa kutumia Makalio.Ndo maana wanashindwa hata kupanga Mbinu 'zilizokwenda Shule' za kizandiki katika kufanya mambo yao,Shame On Them
 
Back
Top Bottom