Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Haya ndo maelezo yanayotakiwa nashangaa kuna watu wengine badala ya kuleta hoja wanaanza kashifa za kijinga... sijui ni lini watakuja kukubali kwamba haiwezekani wakati wote watu wawe na mawazo yanayofanana na pale unapotoa mawazo tofauti na wao unaanza kukashifiwa!

Tukija upande wa Mtwara, kama umenisoma visuri hakuna popote nilipoitaja Mtwara lakini nimezungumzia Kusini kwa ujumla! Tena, pamoja na ile hoja ambayo tuliijadili kwa kina na wewe mara ya kwanza, kuna siku nilizungumzia ni watu wa aina gani wanapaswa kutia nguvu mikoa ya Kusini na maeneo yale ambayo uungwaji mkono bado ni mdogo! Kwangu mimi bado naamini kwamba kuna baadhi ya watu wana influence kubwa kuliko wengine... na kwamba, bado naamini watu kama akina Mnyika wenye ushawawishi wanaweza kuwekeza nguvu zao huko bila kuathiri utendaji wa kila siku wa Makao Makuu! Hoja ikiwa kwamba, viongozi wa CHADEMA Kanda ya Kusini tayari wameshashindwa kazi kwahiyo, wala hapakuwa na ubaya wowote wa Kanda sawa na hiyo kuongozwa na Wa-CHADEMA wengine wenye influence hata kama sio wakazi wa huko! Huwezi kumchukua mtu ambae ameshindwa kueneza chama over the past 10 years halafu tena unampa Ukurugenzi wa Kanda au kitu kinachofanana na hicho coz' hapo awali alishindwa si kwa sababu hapakuwa na kanda bali ni incompetent!
Kushindwa kwa kiongozi kuna weza kukawa na sababu nyingi..Mosi nimekwambia chadema hatukuwekeza nguvu mikoa ya pwani hivyo hatukuwa na misingi, pili kutoa kiongozi Mwanza akaongoze Mtwara hili halija kaa vizuri sana ukumbuke chama chetu hakijajitoshereza muda mwingi watu wanafanya kazi za siasa kwa kujitolea zaidi sasa ukimwambie atoke mwanza aende Mtwara maana yake nini? naona tu tuendelee kutumia viongozi wa maeneo husika siamini kabisa kuwa mtwara au kusini hakuna mtu anae faa kuongoza kanda hizo bali naamini ama hawajafanya mafunzo ya kutosha kitu ambacho baada ya kuzinduliwa mafunzo yatafanyika kuanzia juu mapaka matawi maana sitegemei tena kuwa ccm watapiga marufuku siasa mikoa hiyo...
mangine tuendelee kuvumiliana.....
 
Mmechelewa, Mtwara twasubiri kuipokea ACT Wazalendo, Chadema ni chama cha kaskazini

Na ndio maana chadema tumezoa mitaa 17 uchguzi uliopita, ACT mliongoza kwa vingapi? Mitaa kama chuno, relwe , kiyangu na india kotaz ni mali ya chadema.....nitajie mliyoshinda ACT au unalipoti taarifa yako tokea Mwandinga kigoma?
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitakuwa na kikao cha Kanda ya Kusini ambacho hotuba ya ufunguzi itatolewa na NKMB JJ Mnyika, leo kuanzia saa 10.00 asubuhi Ukumbi wa, karibu na Maisha Club. kesho pia atafanya mkutano mkubwa hapo Mtwara Mjini kuanzia saa 8 mchana.
Ziara hiyo ni mwendelezo wa maboresho ya Kanda za Chama ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi Mkuu..

Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mrwara ni ngome ya CUF, ni vema hii NGO ya Mtei ikatambua hilo ili UKAWA iendelee kubaki...!
 
Mkuu hatukupata sapoti ya CCM yeyote watu walikuja kwa utashi wao.Pia kuhusu kugawa kadi tuligawa kadi nyingi tu,Lakini jambo la muhimu lakuelewa kuna wanachama na washabiki.Sisi tunalenga zaidi watu wa hali ya chini kabisa mana tunaamini ndio wapiga kura.Na leo JOMBE mkutano upo kama ulivyopangwa hata akija mtu mmoja tu kutusikiliza inatosha xn.KALIBU ACT WAZALENDO tuirudishe nchi kwenye MISINGI.

Mkuu, hivi yapi majukumu ya Mwenyekiti wa Taifa wa ACT ana yapi majukumu ya Kiongozi Mkuu? Tuanzie hapo. Tunajua shule za Kata zimeharipu uelewa na ufahamu wako; hata hivyo, sina hakika kama walimu wako walikufundisha matumizi hovyo ya herufi kubwa, wapi pa kutumia "l" na "r", wapi neon xn linamaanisha nini. Kama ndiyo watu wa hivi mnategemewa mje kuwa viongozi wa Taasisi zetu hizi, basi kuna shida zaidi ya shida
 
Ofisi yake imeota nyasi yeye anavaa miwani tu hana alichokifanya.
 
Attachments

  • 1428754618857.jpg
    1428754618857.jpg
    36.3 KB · Views: 59
Haya ndo maelezo yanayotakiwa nashangaa kuna watu wengine badala ya kuleta hoja wanaanza kashifa za kijinga... sijui ni lini watakuja kukubali kwamba haiwezekani wakati wote watu wawe na mawazo yanayofanana na pale unapotoa mawazo tofauti na wao unaanza kukashifiwa!

Tukija upande wa Mtwara, kama umenisoma visuri hakuna popote nilipoitaja Mtwara lakini nimezungumzia Kusini kwa ujumla! Tena, pamoja na ile hoja ambayo tuliijadili kwa kina na wewe mara ya kwanza, kuna siku nilizungumzia ni watu wa aina gani wanapaswa kutia nguvu mikoa ya Kusini na maeneo yale ambayo uungwaji mkono bado ni mdogo! Kwangu mimi bado naamini kwamba kuna baadhi ya watu wana influence kubwa kuliko wengine... na kwamba, bado naamini watu kama akina Mnyika wenye ushawawishi wanaweza kuwekeza nguvu zao huko bila kuathiri utendaji wa kila siku wa Makao Makuu! Hoja ikiwa kwamba, viongozi wa CHADEMA Kanda ya Kusini tayari wameshashindwa kazi kwahiyo, wala hapakuwa na ubaya wowote wa Kanda sawa na hiyo kuongozwa na Wa-CHADEMA wengine wenye influence hata kama sio wakazi wa huko! Huwezi kumchukua mtu ambae ameshindwa kueneza chama over the past 10 years halafu tena unampa Ukurugenzi wa Kanda au kitu kinachofanana na hicho coz' hapo awali alishindwa si kwa sababu hapakuwa na kanda bali ni incompetent!

Mkuu tatizo la watu wengi ni wafia vyama badala ya kufia nchi yao.Jambo la msingi kila chama nikujiimalisha kadri ya uwezo wake dhen wananchi watapembua MCHELE NA PUMBA.Tatizo la watani zangu CHADEMA wao wanakimbilia kukashifiana badala ya kujenga hoja.Ndio mtu kama mimi nilishindwa kuwa nachama chochote cha siasa maana siasa za vurugu sipendi pia CCM siipendi,Lakini napoona chama chenye kunadi sera na kuepusha CHUKI miingoni mwa wananch wake basi mimi hilo ndio kimbilio langu.
 
Hii ndiyo CHADEMA Watanzania tunazidi kupata imani, hivi sasa mipango yenu kweli inatudhiirishia mna uwezo na nia ya dhati ya kutuongoza,kuwaunga mkono ni kwenye sanduku la kura.
 
Angalia unavyohangaika, mara:
Kisha tena,Hatimae:What a nonsense! Sasa kama unaamini mimi ni mwana-CCM huo upuuzi wako kwamba vp nimepata support ya CCM unatoka wapi? Narudia, wewe ni mtu mzima, na usipojifunza kujiheshimu mwenyewe no one will respect you, mpumbavu mkubwa wee!
Umezidiwa makombora....hahaha
 
Hii ndiyo CHADEMA Watanzania tunazidi kupata imani, hivi sasa mipango yenu kweli inatudhiirishia mna uwezo na nia ya dhati ya kutuongoza,kuwaunga mkono ni kwenye sanduku la kura.

Mashariki mpaka Magharibi, Kaskazini mpaka kusini...Ni chadema tu
 
Ufunguzi unafanyika sas na Naibu Katibu Mkuu Tanganyika (J J MNYIKA)
IMG_20150411_115652.jpg
 
Attachments

  • IMG_20150411_115614.jpg
    IMG_20150411_115614.jpg
    645.1 KB · Views: 97
  • IMG_20150411_115627.jpg
    IMG_20150411_115627.jpg
    506.8 KB · Views: 100
Mara kwa mara NasDaz Waberoya Pasco mmekuwa mkijitahidi kujionesha kuwa ni neutral katika politics, lakini kwa bahati mbaya mmekuwa mkishindwa kumaintain uneutral wenu hatimaye na rangi zenu halisi kujulikana kuwa ni magamba halisi,

Hata siku moja huwezi kuwa neutral in the matter of justice.

When your neutral in the matter of oppression and injustice, you have chosen on the side of oppressor"-(Mahatma Ghandi)

Nashukuru sana Kamanda mpambanaji wangu.Mara nyingi nashindwa kukopesha kabisa wanafiki.
 
Last edited by a moderator:
Ushauri upi? Hoja ni kwamba wasiwe wanadanganya wote wanaposhindwa kutekeleza wajibu wao!

haya basi tukubaliane na wewe waliwadanya watu, sasa wamefanya ulichotaka, povu la nini sasa
 
haya basi tukubaliane na wewe waliwadanya watu, sasa wamefanya ulichotaka, povu la nini sasa

Mkuu wangu huyo atatoka povu mpaka kesho kwa sababu anatumikia waliomtuma.
 
Hii ndiyo CHADEMA Watanzania tunazidi kupata imani, hivi sasa mipango yenu kweli inatudhiirishia mna uwezo na nia ya dhati ya kutuongoza,kuwaunga mkono ni kwenye sanduku la kura.

Hii ndiyo Chadema ya Freeman Mbowe.
Hii ndiyo Chadema ya Dr Slaa
Hii ndiyo Chadema ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom