Jamani naomba kuuliza kwa watu wenye mapenz mema na chadema hivi mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaid ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa chadema muishio ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguz ujao.kama hampend ccm mpeni chadema mwingine
jamani naomba kuuliza kwa watu wenye mapenz mema na chadema hivi mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaid ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa chadema muishio ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguz ujao.kama hampend ccm mpeni chadema mwingine
zungu yeye kaleta maendeleo gani ilala?
Jamani naomba kuuliza kwa watu wenye mapenz mema na chadema hivi mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaid ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa chadema muishio ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguz ujao.kama hampend ccm mpeni chadema mwingine
Jamani naomba kuuliza kwa watu wenye mapenz mema na chadema hivi mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaid ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa chadema muishio ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguz ujao.kama hampend ccm mpeni chadema mwingine
Jamani naomba kuuliza kwa watu wenye mapenz mema na chadema hivi mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaid ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa chadema muishio ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguz ujao.kama hampend ccm mpeni chadema mwingine
we unapima maendeleo kwa vigezo vipi? foleni za magari kama fast jet.? kwa taarifa yako anachokifanya Mnyika ni zaidi ya maendeleo? mampambano dhidi ya Ufisadi ndio ufunguo wa maendeleo. Kama CCM itaacha wizi wa Rasilimali za taifa hivyo hivyo tutakuwa na pesa za kujenga barabara, reli, Hosp zenye dawa na madaktari tena si kwa Ubungo bali tanzania . Anachokifanya Mnyika ni kutafuta Ubungo/Tanzania yenye neema periodJamani naomba kuuliza kwa watu wenye mapenz mema na chadema hivi mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaid ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa chadema muishio ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguz ujao.kama hampend ccm mpeni chadema mwingine
Idd Azan kaleta maendeleo gani Kinondoni?
Jamani naomba kuuliza kwa watu wenye mapenz mema na chadema hivi mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaid ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa chadema muishio ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguz ujao.kama hampend ccm mpeni chadema mwingine
Hayo Maendeleo huyaoni? Morogoro Road inajengwa, Kimara kunajengwa daraja kubwa kuliko la Manzese huoni tu?
hahaha!!!!! atudanganyika, kama unataka kujuwa mafanikioa aliyofanya Nyika nenda ktk Ofice za mbunge wa ubungo utakuta kila kitu na jinsi alivyoahidhi na kile alichofanikiwa na ambavyo bado, kwani nyika ni baadhi ya wabunge ambao wako smart kwa mambo wanayofanya na alishawai kutupia humu JF mambo aliyofanya sijui ulikuwa wapi. La pili, Ktk wabunge wanaogopwa na CCM mjowapo ni Kamanda Nyika.....kwanini awamtaji jimbo la maswa mashari kwa shibuda au wabunge wengine au wameleta maendeleao sana majimboni kwao....siku zote unayemuogopa ndiye unaye mpigia kilele. Angalia hata ktk upinzani wa Mpira angalia chama cha upinzani kinapokuwa na nguvu km kilivyo sasa hivi chadema kitaandamwa kwa kila baya watatupiwa waoJamani naomba kuuliza kwa watu wenye mapenz mema na chadema hivi mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaid ya kelele anazopiga bungeni? Pia ushauri mdogo tu kwa chadema muishio ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguz ujao.kama hampend ccm mpeni chadema mwingine
kwa upeo wako hayo kayafanya Mnyika au ni serikali? Mpango wa ujenzi ulianza lini ni swali unalopaswa kujiuliza
Yule mama wa UKONGA (hata jina simjui) kaleta maendeleo gani kulinganisha na MNYIKA?.......MAakongoro? Mtemvu?