Mnyika kaleta maendeleo Ubungo?

Mnyika kaleta maendeleo Ubungo?

wewe ulitaka alete maendeleo yapi?atumie pesa yake ya mfukoni ndo uone kama kaleta maendeleo?acha kufikilia kitoto wewe.mbona hilo barabara haijajengwa ilala ai temeke,hayo majimbo hayana uhitaji au serikali haion?
unapojibu thread usiwe kama umelala kitandani na baba jack jaribu kufikiri ujenzi wa barabara ya Morogoro Mnyika hausiki hata kidogo hiyo ni barabara kuu au trunk road si barabara ya jimbo au manispaa
 
Wewe kwa upeo unajua Mnyika anatoa pesa mfukoni ili watu wachote maji, wanunue vitabu, wajenge madarasa ndo unajua wewe hivyo?

akili ndogo kama sisimizi kwa kuwa ni mbunge wa CDM hata akikuambia ukamsafishie nyumba yake utakwenda
 
unapojibu thread usiwe kama umelala kitandani na baba jack jaribu kufikiri ujenzi wa barabara ya Morogoro Mnyika hausiki hata kidogo hiyo ni barabara kuu au trunk road si barabara ya jimbo au manispaa
bora hata mie nimelala na baba jack kuliko wewe unaeongea kitu bila kutumia akili.kwa hiyo hiyo barabara ndo ya muhimu kuliko zingine zote?kweli kuna vilaza nchi hii.fikir kabla ya kujianika utupu wa kichwa jukwaani.au ulitaka akujengee nyumba ndo uone maendeleo???
 
Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana

Wewe ndio ungetusaidia kuwa unapomhukumu unamlinganisha na nana, wa wapi na kwa maendeleo yepi huko?

Kama unajua kuwa barabara ni jukumu la serikali, sasa tueleze yaliyo ya Mnyika kama mbunge ambayo hayatimizi
 
japo swali limeulizwa likiwa na vijembe, lakini lina mantiki. mh sugu kuna mambo ameyafanya mbeya. muh msigwa amekopesha vikundi vya vijana pale iringa na sasa hivi anasimamia kampeni ya kusafisha mji wa iringa. wenye macho tumeona hadi picha. akina mwigulu nchemba, amos makala, catherine magige wanayo yafanya Mungu shahidi. wanasaidia jamii sana. nimetoa mifano hadi ya wabunge wa ccm kwa sababu mimi napenda haki.

naishi dar lakini sijaona jambo la kimaendeleo alilolifanya mnyika. ni muongeyaji mzuri bungeni lakini akumbuke kuwa wananchi ukirudi kuomba wanauliza mwaswali mengi. "umetufanyia nini katika kipindi cha miaka mitano?" akisema nilipeleka hoja ya maji ikakataliwa hawatomuelewa. amehamasisha wanachi kuchangishana angalau kujenga daraja dogo kule bonyokwa!?

muh mnyika nakukubali. wewe ni jembe. hamasisha maendeleo madogomadogo jimboni kwako. iga mfano wa wabunge niliyo wataja hapo juu.
 
unapojibu thread usiwe kama umelala kitandani na baba jack jaribu kufikiri ujenzi wa barabara ya Morogoro Mnyika hausiki hata kidogo hiyo ni barabara kuu au trunk road si barabara ya jimbo au manispaa

Ahaaaa! Kwa hiyo barabara kuu zinajengwa na serikali, ila barabara za jimbo na manispaa zinajengwa na Mnyika. Sasa nimeelewa. Nisichoelewa tu ni wapi Mnyika anatakiwa akchote fedha za kujengea barabara za manispaa.

TANGAZO KWA UMMA

Ndugu wananchi, kuanzia leo mnapaswa kuelewa kuwa Hon. John Mnyika MP ni Manispaa. Kwa hiyo Ukitaka kibali au Leseni ya biashara, usiende kwenye ofisi za manispaa ya Kinondoni, uende nyumbani kwa Mnyika. Yeye (Mnyika) ndio anawajibika kujenga barabara za manispaa (kwa kuwa yeye ni manispaa) na kupeleka mahitaji ya muhimu nyumbani kwa iron2012.

Signed iron2012, head stupid
13.02.2013

CC: Hon. La Biblicana
 
Last edited by a moderator:
Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana
Kumbe wewe unajua yapi na anayofanya mbunge yupi hasa kma mnyika humuoni?labda tuanzie hapo tu!
 
Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana
kwani mbunge wa kinondoni kaleta maendeleo gan? Na unafahamu wajibu wa mbunge wewe?
 
Mnyika aliombwa maji kama kero kuu kwa wananchi wa jimbo la Ubungo badala yake ameleta vipeperushi za M4C.Sasa atajua kuwa watu hawana muda wa kupoteza 2015
 
Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana
daraja la malagarasi kigoma, barabara za rami mkoa wa Tabora amejega Kikwete????
 
Ahaaaa! Kwa hiyo barabara kuu zinajengwa na serikali, ila barabara za jimbo na manispaa zinajengwa na Mnyika. Sasa nimeelewa. Nisichoelewa tu ni wapi Mnyika anatakiwa akchote fedha za kujengea barabara za manispaa.

TANGAZO KWA UMMA

Ndugu wananchi, kuanzia leo mnapaswa kuelewa kuwa Hon. John Mnyika MP ni Manispaa. Kwa hiyo Ukitaka kibali au Leseni ya biashara, usiende kwenye ofisi za manispaa ya Kinondoni, uende nyumbani kwa Mnyika. Yeye (Mnyika) ndio anawajibika kujenga barabara za manispaa (kwa kuwa yeye ni manispaa) na kupeleka mahitaji ya muhimu nyumbani kwa iron2012.

Signed iron2012, head stupid
13.02.2013

CC: Hon. La Biblicana

ukiwa na akili ndogo kama panya unaweza andika kama ulichoandika jaribu kuuwezesha ubongo wako ufanye kazi kwa upeo wako hata hiyo barabara kuu myika anatoa pesa yake mfukoni acha kuwa na akili ya kitoto
 
Naomba kuuliza kwa watu wenye mapenzi mema na CHADEMA hivi Mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaidi ya kelele anazopiga bungeni?

Pia ushauri mdogo tu kwa CHADEMA muishio Ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguzi ujao,kama hampendi CCM mpeni CHADEMA mwingine.

MIMI SI MWANA UBUNGO ILA,Mnyika atabaki kuwa mnyika tu.Ni tofauti kabisa na Vipaza sauti kama NAPE,MWIGULU,LUSINDE,SHIGELLA n.k ..Mnyika ni hazina ya Taifa hili kwa siku zajazo bila kujali chama gani atakuwa anakiwakilisha ...Huwezi kuona maendeleo kama huna macho na ndo maana huwezi kuwa huru kwa sababu bado wewe ni mtumwa.badilika,jifunze,tembea uone ndo useme.Kataa kuwa mtumwa.ahsante baba.
 
japo swali limeulizwa likiwa na vijembe, lakini lina mantiki. mh sugu kuna mambo ameyafanya mbeya. muh msigwa amekopesha vikundi vya vijana pale iringa na sasa hivi anasimamia kampeni ya kusafisha mji wa iringa. wenye macho tumeona hadi picha. akina mwigulu nchemba, amos makala, catherine magige wanayo yafanya Mungu shahidi. wanasaidia jamii sana. nimetoa mifano hadi ya wabunge wa ccm kwa sababu mimi napenda haki.

naishi dar lakini sijaona jambo la kimaendeleo alilolifanya mnyika. ni muongeyaji mzuri bungeni lakini akumbuke kuwa wananchi ukirudi kuomba wanauliza mwaswali mengi. "umetufanyia nini katika kipindi cha miaka mitano?" akisema nilipeleka hoja ya maji ikakataliwa hawatomuelewa. amehamasisha wanachi kuchangishana angalau kujenga daraja dogo kule bonyokwa!?

muh mnyika nakukubali. wewe ni jembe. hamasisha maendeleo madogomadogo jimboni kwako. iga mfano wa wabunge niliyo wataja hapo juu.

Umeweka mifano ya wabunge wenye wasi wasi na majimbo yao kiasi wako radhi kutumia fedha zao mifukoni kuwahonga watu waliokata tamaa ili wawape kura kwa kuwa waliwakopesha.

Labda nikuulize swali: Unadhani ni nani mwenye jukumu la kukopesha wajasiriamali? Mbunge au Financial Institutions?

Wewe niambie kwa akili yako unaonaje: Wabunge watoe 'hongo' za mikopo kwa wananchi au tukazania kwenye uboreshaji wa sera ili kila mwananchi akopesheke kwenye taasisi za fedha?

Kama ulivyosema, unaishi Dar. Sasa acha nikukumbushe kuwa UNAISHI DAR na SIO UBUNGO. Ubungo inakaliwa na watu wasomi wasiodanganyika na senti na mikopo isiyo na tija. Tangu waanze kukopeshwa hao wanaokopeshwa ni miaka, lkn maisha yao yako vile vile sbb ya sera mbovu za CCM. Sasa Mnyika anapoongea bungeni vilaza kama wewe unamuita 'muongeaji'.

Naomba unikumbushe tathmini ya 'the so called mabilioni ya Kikwete'. Kichefuchefu kitupu, na bado mpo mnaoamini kuwa mbunge akija kukukopesha sh 200,000 basi maisha yako yataboreka. Mkopo ukiupata huku sera za biashara na uchumi ni mbovu hamna kitu mdogo wangu.

Kwa faida yako na wenzio, mbunge ni mwakilishi wetu na sio mhamasisha michango. Mbunge anatusaidie mikwamo inayohusisha propaganda za kisiasa na sio fedha za mfukoni mwake. Akili zako zimekaa ki -CUF CUF nikimaanisha za KIKABWELA
 
Mnyika aliombwa maji kama kero kuu kwa wananchi wa jimbo la Ubungo badala yake ameleta vipeperushi za M4C.Sasa atajua kuwa watu hawana muda wa kupoteza 2015

Kweli wewe ni MINGOI (mnenguaji), kwa hiyo ilikuwa akayalete na gari lake Ruvu, eti?

Haya ni mambo ya serikali ya CCM, acha ujinga wewe. Mnyika hana maji nyumbani kwake
 
Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana
wew utakuwa chichiman,.wamekufanya dodok.,hii dar mbunge ni mnyika tu,mbona hamletag thread za wabunge wa ilala,temeke,ukonga,segerea,kigambon...nyie mnawashwa...kwa taarifa yako uku kimara tunamkubal mnyika kuliko kidampa yoyote.....
 
Kweli wewe ni MINGOI (mnenguaji), kwa hiyo ilikuwa akayalete na gari lake Ruvu, eti?

Haya ni mambo ya serikali ya CCM, acha ujinga wewe. Mnyika hana maji nyumbani kwake
Basi asingetoa ahadi au asigombea ubunge ili ampishe mgombea wa CCM akiongee KiCCM maji yapatikane.
 
ukiwa na akili ndogo kama panya unaweza andika kama ulichoandika jaribu kuuwezesha ubongo wako ufanye kazi kwa upeo wako hata hiyo barabara kuu myika anatoa pesa yake mfukoni acha kuwa na akili ya kitoto

Ukiandika kipuuzi namna hii (bila kituo wala herufi kubwa) sentensi haieleweki. Kwa hiyo ndio unasemaje sijakuelewa
1. Mnyika katoa fedha za barabara kubwa? au
2. Mnyika hajatoa fedha za barabara kubwa?

Inaonekana umebadilishana ubongo na chizi na huyo chizi alipata wokovu wake siku alipokukabidhi hii dhahma iliyoko kichwani. Unaongea upuuzi tu hapa badala ya kujibu hoja zangu:

1. Barabara za Manispaa zinajengwa kwa bajeti za manispaa ambazo zinasimamiwa na baraza la madiwani au mbunge?

2. Unajua maana ya MANISPAA?
 
Back
Top Bottom