tunapaswa kkmbuka kwamba hatra kipindi cha ukoloni watawala hawakuwa tayari kuwatengenezea waafrika mazingira mazuri ya kujitawala na kitu ambacho kinajitokeza kwa sasa hapa nchini ccm hawapo tayari kusaidia maendeleo katika majimbo yaliyoshikiliwa na upinzani kwahyo basi ni jukumu letu kuhakikisha tunaunga mkono wabunge wetu akiwemo Mnyika na sio kumvunja moyo ili kupambana na huu udhalimu wa chama kilichokosa mwelekeo ccm.
:der:!!!!!!!!!!!!!
:der:!!!!!!!!!!!!!