Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,703
- 11,298
umeugusa ukweli wa rohoni na ndiyo maana nina jakamoyo sana nikiona wanasema hawatampa eti sababu ya maji lkn amini usiamini....................na wameshau kwamba maji hayajakauka wakati wa Mnyika, tatizo la maji Kimara lina umri sawa na Jimbo lenyewe
Mnyika atashinda kwa kishindo,hiyo haina ubishi,bila Mnyika Ubungo ilikuwa ni jehanum Mnyika katufungua macho.Hatutaki wabunge ambao hawana msaada kwetu.Mnyika For Ubungo