lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,144
Kwa hali halisi ilivyo ni wazi kabisa mnyaka anapaswa kubadilishana jimbo akagombee jimbo lingine kwasababu wananchi watamhukumu mnyika bila kujua kwamba jukumu la kusambazia wanaubungo maji ni la serikali!!bado natamani kuona uwepo wa mnyika bungeni.