Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Salaam JF ! Kiukweli sisi kama wananchi tunaokaa Katika JIMBO LA UBUNGO tunasema kwamba....."Mnyika ni mbunge tuliyemwamini na kumchagua kwa KURA lukuki tukitarajia huo ndio mwisho wa matatizo yetu hususani MAJI ,yaliyodumu kwa takribani miaka 53 sasa!Tunasema kwamba UMETUANGUSHA sana!!Jimbo lililokupa ubunge umelisahau na kutwishwa majukumu mazito ya chama.Tumekuwa tukikusikia ukitukanana na viongozi wenzio wa kisiasa mikutanoni.Hivi hili ndilo tulilokutuma?Chama ni bora kuliko sisi?Wanasema hukusanyi KODI na hivyo huwezi kuleta maji na kama ni hivyo ni kwanini ulituahidi?Why Tusiendelee kumchagua yuleyule aliyekuwepo amma hata mtu mwingine,chama kingine ila wewe?.Kwasababu ya yote hayo tunasema tunashukuru sana kwa utumishi wako na tunakushauri URUDI SHULE.Ahsante..... IBRAHIM MGAYA Mkazi Kimara!!
 
Kuna kitu unatafuta kwa vijana wa Kariakoo.....uchi.......watakugombani kama mpira wa kona .....inawezekana wewe ni mzoefu.......
 
Nia yako inafahamika, ila usisahau ky jelly, ujimwagie manake wale makuli watakavyokugombania!!!! Watakufirimbaje!!!!
 
Salaam JF ! Kiukweli sisi kama wananchi tunaokaa Katika JIMBO LA UBUNGO tunasema kwamba....."Mnyika ni mbunge tuliyemwamini na kumchagua kwa KURA lukuki tukitarajia huo ndio mwisho wa matatizo yetu hususani MAJI ,yaliyodumu kwa takribani miaka 53 sasa!Tunasema kwamba UMETUANGUSHA sana!!Jimbo lililokupa ubunge umelisahau na kutwishwa majukumu mazito ya chama.Tumekuwa tukikusikia ukitukanana na viongozi wenzio wa kisiasa mikutanoni.Hivi hili ndilo tulilokutuma?Chama ni bora kuliko sisi?Wanasema hukusanyi KODI na hivyo huwezi kuleta maji na kama ni hivyo ni kwanini ulituahidi?Why Tusiendelee kumchagua yuleyule aliyekuwepo amma hata mtu mwingine,chama kingine ila wewe?.Kwasababu ya yote hayo tunasema tunashukuru sana kwa utumishi wako na tunakushauri URUDI SHULE.Ahsante..... IBRAHIM MGAYA Mkazi Kimara!!

Hiyo title ya post yako itapendeza kama usiposema kutembea uchi, infact ukitembea uchi matokeo hayatabadilishwa.

Weka ahadi nyingine, kwa mfano andika hivi ''MNYIKA AKISHINDA BASI NAKUA SHO.GA''
 
Humu ndani huwa nawashangaa sana watu,hivi mnyika amekuwa nani mpaka mwananchi asimlalamikie kwa maana alimwamini sana lakini amemwangusha kwa kushindwa kutatua kero ndogo tu ya maji katika jimbo lake ambayo ndio iliyowapa wananchi imani ya kumchagua,mimi pia ni chadema lakn kwa hilo mnyika aangalie upya ni namna gani atawashawishi wananchi wa jimbo lake wampe kura
 
Ulianzisha uzi hapa na kujifanya wewe ni Mwanachadema, Tukakuacha tukiahidi kukuonysha wewe ni nani ndani ya muda mfupi..!! Haya sasa haya.ndiyo mawazo ya Mwanachadema si ndiyo.

Ila kwa mwanaume kutembea uchi ni Ishara ya Ushoga na kwa hakika unadalili zote za kupumuliwa...!!!

Nenda kamuulize Taahira anayepata nafuu laki si pesa kile kilichompata pale alipodai atatembea uchi endapo Chadema itapata japo Mitaa Miwili tu pale Arusha..!! Matokeo yake Chadema ilipata mitaa 72..!!! Wakati hapo awali ilikuwa na mitaa sita tu..!!! Mudume yenye hasira Imeshamuharibu laki si pesa hana hamu tena..!!!

Nawe kwa kuvutiwa na kile alichokipata mwenzio uanatangaza hadharani. Then sawa Server za Jf zinatunza kumbukumbu Sambamba na wajumbe wa Jf pia wanatunza kumbukumbu, Jiandea kuchanika huko nyuma.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Mkuu labda hiyo ni tabia yako ya kutembea uchi sie tutajuaje..
 
Mnyika ni mzee wa propoganda...mimi huwa namfananisha na na yule Minister of Information wa Iraq (Al Shahhaf) kipindi marekani inaenda kumchomoa Sadam 2003. Propoganda nyingi vitendo hakuna..
 
Labda unataka kuliwa tigo tu wewe huna jipya, mwanaume ashinde ubunge utembee uchi wewe chizi nini, peleka huko tabia zako za ajabu, utatembea uchi wewe na wazazi wako au?
 
Nia yako inafahamika, ila usisahau ky jelly, ujimwagie manake wale makuli watakavyokugombania!!!! Watakufirimbaje!!!!

Hii ndio SERA ya Chadema,MATUSI/MAJUNGU/MAUAJI/FITNA/UMBEYA/UWONGO Sishangaii....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom