Goodluck C Mwinuka
Member
- Feb 19, 2015
- 76
- 10
Matatizo yalikuwepo matatizo yataendelea kuwepo.angalia namna mbunge anavyo wasemea bungeni, matatizo yenu jambo la kutatua si kazi ya moja kwa moja la mbunge,kumbukeni serikali yetu inatatizo la fedha hilo wana wa ccm mnafanya hamjuwi.