Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.

Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"

Ukumbuke kutembea uchi kama ulivyoahidi!
 
Wakati anapita kwenye mbio za ubunge miaka michache iliyopita hakika kila mtu aliona hapa tumepata kiongozi tena kijana tukaona sasa ubungo na viunga vyake tutapata muwakilishi na kuondokana na kero zilizokuwa zimekithiri ila matarajio ya wanaubungo imekuwa kama ndoto vile.

Hakuna kilichofanyika watu wanasota karibu miezi kwa tatizo la maji na hatujawahi kumsikia huyu mtu hata akinyanyua mdomo kusema chochote.

Mnyika amekuwa ni mbunge wa CHADEMA TAIFA Ofisi haonekani.Huwa nasikia uchungu sana nikiona wabunge wanavyosema ni nini wamewafanyia wapiga kura wao ndugu yetu yeye yupo kuponda tu kwa maslahu yake na Chama chake.

Mnyika amejaa porojo ametusahau watu tuliompa madaraka.

Ama kweli binadamu tu wa ajabu halafu eti arudi hapa mwezi wa kumi kuomba kura, wana Ubungo tunasema kiama chako kipo Oktoba.
 
Kesho axbuh na mapema nenda lumumba kachukue buku mbili Ya chai...maana leo ofisi zmefungwa shame on u
 
heri mnyika nimeshuhudia akifoka mara kibao kuhusu maji ubungo kila akisimama bungeni kuliko yule mbunge anaesema bungeni anashukuru serikali sikivu ama haongei kabisa shida za wananchi wake na wanataabika kwa maji,umeme,arthi.heri aombaye na kupambana siku atapewa
 
Tanzania ni nchi ya 9 duniani kwa kuwa na watu wengi wenye akili ndogo
 
Wakati anapita kwenye mbio za ubunge miaka michache iliyopita hakika kila mtu aliona hapa tumepata kiongozi tena kijana tukaona sasa ubungo na viunga vyake tutapata muwakilishi na kuondokana na kero zilizokuwa zimekithir...ila matarajio ya wanaubungo imekuwa kama ndoto vile...hakuna kilichofanyika watu wanasota karibu miez kwa tatizo la maji na hatujawah kumsikia huyu mtu hata akinyanyua mdomo kusema chochote....Mnyika amekuwa ni mbunge wa CHADEMA TAIFA Ofisi haonekani.....huwa nasikia uchungu sana nikiona wabunge wanavyosema ni nn wamewafanyia wapiga kura wao...ngugu yetu yeye yupo kuponda tu kwa maslah yake na Chama chake...Mnyika amejaa porojo......ametusahau watu tuliompa madaraka, ama kweli binadamu tu waajabu halafu eti arud hapa mwezi wa kumi kuomba kura wana Ubungo tunasema kiama chako kipo octoba.....

Ni sheria ipi inasema Mbunge analeta maji,shule gani uliyosoma ilikwambia mbunge ndiyo mkusanya kodi na muelekezaji fedha hizi ziende ubungo kuleta maji?

Kwa taarifa yako tu,wewe na ccm yako ndiyo muliokataa kupeleka fedha za maji jimboni,mukiamini kuwa,mtalirudisha jimbo la ubungo( siasa mfilisi)

Wanaubungo wanajua jukumu la serikali na la Mbinge mtaisoma adhabu yenu october!

Adhabu inaanzia kwa Madiwani wa ccm,jiongeze kaka
 
This time CCM na mamluki wenu mtapata aibu Zaidi pale Ubungo... Mnyika na UKAWA watashinda kwa Zaidi ya 90% ... Bila mnyika ungekuta nchi hii CCM wameuza hadi wake zenu ... angalia hansad za Bunge ww mbulula....
Wakati anapita kwenye mbio za ubunge miaka michache iliyopita hakika kila mtu aliona hapa tumepata kiongozi tena kijana tukaona sasa ubungo na viunga vyake tutapata muwakilishi na kuondokana na kero zilizokuwa zimekithiri ila matarajio ya wanaubungo imekuwa kama ndoto vile.

Hakuna kilichofanyika watu wanasota karibu miezi kwa tatizo la maji na hatujawahi kumsikia huyu mtu hata akinyanyua mdomo kusema chochote.

Mnyika amekuwa ni mbunge wa CHADEMA TAIFA Ofisi haonekani.Huwa nasikia uchungu sana nikiona wabunge wanavyosema ni nini wamewafanyia wapiga kura wao ndugu yetu yeye yupo kuponda tu kwa maslahu yake na Chama chake.

Mnyika amejaa porojo ametusahau watu tuliompa madaraka.

Ama kweli binadamu tu wa ajabu halafu eti arudi hapa mwezi wa kumi kuomba kura, wana Ubungo tunasema kiama chako kipo Oktoba.
 
hama ubungo..tafuta sehemu isiyo na matatizo uishi..mbona simpo tu

Hata wenzake wa Tandale si hawana maji?, nao mbunge wa chadema?
Hata kwa Azan zungu( ccm), nao hakuna maji

Kwa Mama Ana Makinda hakuna maji naye ni wa chadema?

Labda aende kwa baba Yake Riz ,kule nako sidhani kama maji yanatoka mferejini
 
Ni sheria ipi inasema Mbunge analeta maji,shule gani uliyosoma ilikwambia mbunge ndiyo mkusanya kodi na muelekezaji fedha hizi ziende ubungo kuleta maji?

Kwa taarifa yako tu,wewe na ccm yako ndiyo muliokataa kupeleka fedha za maji jimboni,mukiamini kuwa,mtalirudisha jimbo la ubungo( siasa mfilisi)

Wanaubungo wanajua jukumu la serikali na la Mbinge mtaisoma adhabu yenu october!

Adhabu inaanzia kwa Madiwani wa ccm,jiongeze kaka

Kwahiyo wabunge huchaguliwa kufanya nini?
 
Wakati anapita kwenye mbio za ubunge miaka michache iliyopita hakika kila mtu aliona hapa tumepata kiongozi tena kijana tukaona sasa ubungo na viunga vyake tutapata muwakilishi na kuondokana na kero zilizokuwa zimekithiri ila matarajio ya wanaubungo imekuwa kama ndoto vile.

Hakuna kilichofanyika watu wanasota karibu miezi kwa tatizo la maji na hatujawahi kumsikia huyu mtu hata akinyanyua mdomo kusema chochote.

Mnyika amekuwa ni mbunge wa CHADEMA TAIFA Ofisi haonekani.Huwa nasikia uchungu sana nikiona wabunge wanavyosema ni nini wamewafanyia wapiga kura wao ndugu yetu yeye yupo kuponda tu kwa maslahu yake na Chama chake.

Mnyika amejaa porojo ametusahau watu tuliompa madaraka.

Ama kweli binadamu tu wa ajabu halafu eti arudi hapa mwezi wa kumi kuomba kura, wana Ubungo tunasema kiama chako kipo Oktoba.

sometimes tuwe rational...Hivi tatizo la maji Ubungo (Dsm) limeanza jana au leo?,Ubungo imewakilishwa na CCM kwa miaka ngapi?je walitatua tatizo la maji?Je kwenye majimbo mengine ya Temeke,Ilala,Kigamboni,Kinondoni ambako kuna wabunge wa CCM hakuna shida ya maji?

Tuongee vitu vyenye mashiko tunapotaka kuwapata wawakilishi wetu ambao watatusaidia kutusemea matatizo yetu,narudia tena kutusemea matatizo yetu.

#CHUKI-BINAFSI-HAZIFAI
 
Wakati anapita kwenye mbio za ubunge miaka michache iliyopita hakika kila mtu aliona hapa tumepata kiongozi tena kijana tukaona sasa ubungo na viunga vyake tutapata muwakilishi na kuondokana na kero zilizokuwa zimekithiri ila matarajio ya wanaubungo imekuwa kama ndoto vile.

Hakuna kilichofanyika watu wanasota karibu miezi kwa tatizo la maji na hatujawahi kumsikia huyu mtu hata akinyanyua mdomo kusema chochote.

Mnyika amekuwa ni mbunge wa CHADEMA TAIFA Ofisi haonekani.Huwa nasikia uchungu sana nikiona wabunge wanavyosema ni nini wamewafanyia wapiga kura wao ndugu yetu yeye yupo kuponda tu kwa maslahu yake na Chama chake.

Mnyika amejaa porojo ametusahau watu tuliompa madaraka.

Ama kweli binadamu tu wa ajabu halafu eti arudi hapa mwezi wa kumi kuomba kura, wana Ubungo tunasema kiama chako kipo Oktoba.

Mnyika ni zwazwa la makao makuu ule upiganaji hana tena sasa ni maslahi tu
 
Mbona chama chetu kimefanya mambo mengi makubwa tangu tupate uhuru inakuaje wewe kuhusu maji ubungo wakati serikali ha ccm imefanya kazi ya kusambaza maji nchi nzima au ubungo sio sehemu ya Tanzania...
 
Wakati anapita kwenye mbio za ubunge miaka michache iliyopita hakika kila mtu aliona hapa tumepata kiongozi tena kijana tukaona sasa ubungo na viunga vyake tutapata muwakilishi na kuondokana na kero zilizokuwa zimekithiri ila matarajio ya wanaubungo imekuwa kama ndoto vile.

Hakuna kilichofanyika watu wanasota karibu miezi kwa tatizo la maji na hatujawahi kumsikia huyu mtu hata akinyanyua mdomo kusema chochote.

Mnyika amekuwa ni mbunge wa CHADEMA TAIFA Ofisi haonekani.Huwa nasikia uchungu sana nikiona wabunge wanavyosema ni nini wamewafanyia wapiga kura wao ndugu yetu yeye yupo kuponda tu kwa maslahu yake na Chama chake.

Mnyika amejaa porojo ametusahau watu tuliompa madaraka.

Ama kweli binadamu tu wa ajabu halafu eti arudi hapa mwezi wa kumi kuomba kura, wana Ubungo tunasema kiama chako kipo Oktoba.
Hapo kwenye blue wewe si mmoja wao! Acha huzushi mburula mkubwa weye!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom