bwanaardhi
Senior Member
- Apr 11, 2015
- 110
- 8
Baba yako kalipata?
yaani mimi (mlete mada ) siongelei kwa ushabiki wa chama nazungumzia ahadi alizozitoa huyu mheeshimiwa mpaka tuka mpa kura zetu, tukakesha naye pale loyola, tukalivunja vunja gari la wizara ya mambo ya ndani kwa imani kuwa lilikuwa limejakuharibu matokeo.....leo ni mwezi wa pili ubungo tunanunua maji ndoo sh 1000 tena hapa mtaani kwetu kuna tajiri mmoja ndio analeta kwenye malori...vinginevyo utatumia ya chumvi sasa kama huyu tajiri wa hapa mtaani pamoja na kwamba anatuuzia maji lakini amekuwa msaada mkubwa sana yeye sio mwanasiasa Mnyika mwenye jimbo lako umeshindwa kweli kutafuta lori kumi za maji hata ukawa unatuuzia kwa sh 500 kwanza utapata faida pili utatuletea ahueni kwenye hili swala la maji, mchango wako bungeni ni mkubwa lakini jimboni hamna anayekuelewa...unahangaika na mambo makubwa mara katiba mara ufisadi wakati jimboni hamna
maji...watakuuua bure..kuwa mbunifu nunua malori kumi ya maji pitisha mitaani uzia wananchi kwa bei nafuu kidogo kwanza utapata faida kisha watu tunaweza kurudisha imani.
mpumbavu weweMuheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.
Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetui sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"
matahira yanazidi kuongezeka jf! mwenzio alimwita kafulila tumbili unajua ameishia wapi? matumbili hawashindwi bali wezi ndo wanaumbuka
Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.
Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"
Sasa ndipo utajua hii movie kuwa tumbili ni Mnyika au ni Wapiga Kura!
Sawa?
Sasa ndipo utajua hii movie kuwa tumbili ni Mnyika au ni Wapiga Kura!
Sawa?
Hauna akiri
Ungekua na akiri ungeona juhudi anazozifanya ili maji yapatikane
Na kama ungekua na uelewa ungewakusanya vijana wenzako mtoe msukumo kwa serekari ili mpate maji
Inafahamika dhahili kwamba wanao kwamisha zoezi la kupatikana kwa maji ni viongozi wa serekari
Tunamwona mnyika anavyosumbuka kila siku kaonyesha juhudi sasa kosa lake ni lipi?
Mpatieni uwezo wa kukusanya kodi kabisa afu uone kama hataweza kuleta hayo maji
jamani hivi mnyika ni mara ngapi amekuwa akisimama bungeni kutetea wananchi wake kuhusu maji na mpaka amekuwa akitishia kuandamana na wananchi wake kwenda kwa waziri wa maji na huo ndo umekuwa ungomvi mkubwa na waziri ila kikubwa hapo ni serikali ya jk kutaka kumwangusha ili isipeleke huduma kwa wananchi wake utazani inamkomoa mnyika kumbe inawaumiza wananchi wake mnyika hana serikali na hana pesa zake bali kinachotakiwa ni kuunganisha nguvu tuweke chama kingine madarakani kuanzia juu mpaka chini hapo ndipo tuone maana hapa hata tukilia mpaka tupasuke ccm ilani yake jambo la maji halimo so watatekelezaji kitu ambacho hawfikilii na hakiko alanini mnyika ndio mbunge anaeongoza kwa kutoa hoja ametoa hoja 540 jamani af mnambeza daa kweli watz hatuoni mbali ila cwezi kusema sana najua humu tupo na mitazamo tofauti
mnyika kaja ubungo mwaka gani na maji yalikatika mwaka gani au hayajwahi kuwapo,?????
na unachagua mbunge ili akuwakilishe au unachagua kwa sababu amekuahidi maji, ?? na jee shida ya ubungo ni maji tuu au kuna nyingine pia na jee kule ambako maji hamna kabisa wao hawana mbunge,hivi kwa dar wapi kuna maji ambako hayakatiki,
Alikuta mradi wa wachina yeye ndo kauvuruga akishirikiana na wajomba zake wauza maji, kakuta stand ya ubungo ikiwa mpya kaja yeye tukaanza kulipishwa kodi ya miguu kuingia standi ya ubungo.
Acha uongo, tunajua anapata mgao kutoka kwa wale wachagga wauza maji, tangu lini kashughulikia tatizo la maji ubungo, tena mshaurini kama amekosa sehemu za kufanya siasa zake bariadi sio mahala pake,
kumbe zzk wasaliti kazini,acheni chuki binafsi na mnyika kijana huyu ni mzalendo wa kweli na wala hana chembe ya usaliti kama nyinyi mnaotukana wakubwa zenu alafu mnazawadiwa 7000Maji yamemshinda sasa amehamia kwenye katiba..anatapatapa..atatukoma tunausongo nae yule tumbili we mwache tu!