Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Ndio kweli ubungo stend kwenye vile vyoo hamna maji kweli ila kuna toilet paper
 
Kwanza nashukuru tu yale niliyoyasema mwanzo umeuaongelea..ila bado ckuelewi.....Kwanini huwa unakuwa mtu wa lawama sana na mnun'gunikaji sio mtendaji....tulikuchagua ili ukatendende mnyika sio kunun'gunika na kutoa lawama....tunachotaka usimame utatue hili tatizo hili tunaimani unajua nini cha kufanya....mwezi wa pili huu hatuna maji ubungo....we unakaa kutoa porojo na lawama.....we a headin to the General election watchout utaondoka kwa aibu wewe

Ungemtumia kwenye peji yake ingependeza sana lkn kwa hapa czan
 
Kama aliwaahidi kuwaletea Maji mkomalieni hata kama hakusanyi kodi.

ili siku nyingine wajifunze kutoahidi wasivyoviweza
 
Mnyika hana lake ubungo ndio maana amechanganyikiwa na kulikimbia bunge
 
Kwanza nashukuru tu yale niliyoyasema mwanzo umeuaongelea..ila bado ckuelewi.....Kwanini huwa unakuwa mtu wa lawama sana na mnun'gunikaji sio mtendaji....tulikuchagua ili ukatendende mnyika sio kunun'gunika na kutoa lawama....tunachotaka usimame utatue hili tatizo hili tunaimani unajua nini cha kufanya....mwezi wa pili huu hatuna maji ubungo....we unakaa kutoa porojo na lawama.....we a headin to the General election watchout utaondoka kwa aibu wewe
Na hutakaa umwelewe kwa sababu wewe gamba... Magamba na ukawa wapi na wapi? Kwa akili yako, unategemea siku moja panya atamwelewa paka??
 
Mh mnyika muda wako ndio unaisha hivyo sisi wa malamba ulituahidi maji mpaka sasa kimyaaaaa
 
Inashangaza, humwelewi Mnyika ila unamwelewa Lusinde..!!!

Bahati mbaya ubongo huwa hauoshwi, vinginevyo ningekushauri ukausafishe ili uweze kuwaelewa watu makini pindi wanapotoa hoja.

BACK TANGANYIKA
 
Na hutakaa umwelewe kwa sababu wewe gamba... Magamba na ukawa wapi na wapi? Kwa akili yako, unategemea siku moja panya atamwelewa paka??

Narrow minded...... hata siku moja usini changanye na siasa kwangu mimi ni utekelezaji sio porojo inaelekea hujui maana ya uwakilishi wewe upo hapa kutetea watu sio kuangalia nini wananchi wanapata kutoka kwa muwakilishi wao....matatizo ya wanaubungo tunayajua sisi....adha tunayoipata tunaijua sisi gharama ya maisha imeongezeka kwa wanaubungo kwa kiasi kikubwa kwa ajili ya gharama za maji ndoo sasa tunanunua 700 hadi buku halaf mtu anakaa kupiga porojo na lawama sio upuuzi...we ongea hapa si tutakutana nae OCTOBER
 
Mnyika wanaubungo tunapata shida sana,dumu la maji kwa sasa tunanunua sh 1000,au kwa sababu hukai ubungo
 
Mnyika wanaubungo tunapata shida sana,dumu la maji kwa sasa tunanunua sh 1000,au kwa sababu hukai ubungo

Kaka acha kabisa mwenye ushahidi wa kuwa ni lini kaja atleast kutudanganya aseme....mnyika amekuwa mbunge wa CHADEMA na UKAWA Taifa tuliomchagua anatuona mbuzi daaah inauma sanaaa
 
Ninachojua kwa nchi yetu hii na serikali ya chama tawala ndio tatizo. Tunaweza kuwalalamikia wabunge wetu hasa wa upinzani kuhusu maendeleo tukawa tunakosea. Mara ngapi katika maeneo walipo wapinzani huduma za maendeleo zimekuwa zikikwamishwa? Najua hapa kila mmoja kwa eneo lake anaweza kutupa ushahidi vitu gani mbunge wake wa kutoka upinzani alitaka kufanya kitu ila ikatengenezwa mizengwe asifanikiwe ili tu aonekane kashindwa kuongoza. Chanzo kikubwa cha usambazaji/ugawaji maji Dar ni UBUNGO ila hilo eneo ndo lenye shida kubwa ya maji haiingii akilini, na hii kero si ya juzi ni miaka mingi, je ni kweli halimashauri ya wilaya husika imeshindwa kuwajali wananchi wake? Tufanye kuwa mbunge wampuuze kwa kukataa kuwapa maji, je utashi kwa serikali upo kusema hivyo? Nawaonea sana huruma wabunge wa upinzani, hata bungeni wanaongea mambo ya maana na kutimiza wajibu wa kuisimamia serikali ila wabunge wa chama tawala huoni utashi huo, anaisifia serikali mwanzo wa hotuba, analalamika kile alichojisiaia kumbe hana na anaunga mkono hoja 100% mwisho. Mtu unajiuliza huu ni ulimbukeni au nini? Nilipata kuona kwa TV ufunguzi wa barabara moja jimbo la Hai kwa Mbowe, Mbunge alijitolea greda kutengeneza barabara, diwani akalizuia lisifanye kazi, Waziri Magufuli akatoa tamko liruhusiwe. Hivi hapo utamlaumu mbunge? Wananchi tujilaumu kwa kuwa na viongozi wasio na uchungu na sisi, lakini uamuzi upo mikononi mwetu! Tuwasukume watendaji wetu kutimiza wajibu wao nasi tutimize wetu!
 
Kwanza nashukuru tu yale niliyoyasema mwanzo umeuaongelea..ila bado ckuelewi.....Kwanini huwa unakuwa mtu wa lawama sana na mnun'gunikaji sio mtendaji....tulikuchagua ili ukatendende mnyika sio kunun'gunika na kutoa lawama....tunachotaka usimame utatue hili tatizo hili tunaimani unajua nini cha kufanya....mwezi wa pili huu hatuna maji ubungo....we unakaa kutoa porojo na lawama.....we a headin to the General election watchout utaondoka kwa aibu wewe

Tumia akili kufikiri.mamlaka ya maji dawasco imeshindwa kuleta maji japokuwa inapata fedha serikalini.mnyika hapati fedha maji atayaletaje?na kumbuka maji hapa dar ni tatizo karibu la kila mahari.kipindi cha keenja mbunge ubungo maji mlikuwa nayo kama mnavyopata Sasa japo kwa uchache?....tumia akili kufikiri na si ma.ta.ko
 
Hutomuelewa Mnyika Kama wewe Hana skills za kuchanganua mambo. Ni lazima tujue kuwa yuko mbali na huwa hazungumzi ujinga.
 
Tembea uchi ukutane na vitu vilivyochomoza kama hujazimia vikikuingia
 
Narrow minded...... hata siku moja usini changanye na siasa kwangu mimi ni utekelezaji sio porojo inaelekea hujui maana ya uwakilishi wewe upo hapa kutetea watu sio kuangalia nini wananchi wanapata kutoka kwa muwakilishi wao....matatizo ya wanaubungo tunayajua sisi....adha tunayoipata tunaijua sisi gharama ya maisha imeongezeka kwa wanaubungo kwa kiasi kikubwa kwa ajili ya gharama za maji ndoo sasa tunanunua 700 hadi buku halaf mtu anakaa kupiga porojo na lawama sio upuuzi...we ongea hapa si tutakutana nae OCTOBER
Hopeless kabisa... trash...Kwa hiyo Mnyika ndiye aliyeongeza gharama za maisha? Yeye anakusanya kodi? Kazi zambunge unazijua? Shule ya wapi wewe ulisoma??
 
sasa wewe nae sijui wa wapi,badala ya kuilaum chama chako cha Ccm na serikali yake unayo ilipa kodi,unakuja hapa kumlaumu mnyika!.
Rais wako alipokuja hapo ubungo kwenye campaign alihahidi maji,mbona yeye umeshindwa kumlalamikia wewe kijana,acha wivu wa kitoto,mnyika bungeni anarudi na Kama maji ya chumvi mtakunywa tu mpaka hapo serikali yenu hii iliyochoka itakapo wakumbuka wananchi wake.
ndio ujue kwamba wengi wenu mnao shabikia ccm hamnazo chama kimewatesa miaka naenda rudi,bado tu umekingangania utazania mlikula yamini na chama hicho.

Hivi we kijana mvivu wa kufikiri kaulize majimbo mengine yanayoongozwa na upinzani ikiwamo moshi nani analalamika....wale viongozi wanajielewa na wanajua jinsi ya kufanya kazi na wanajua nini wananchi wanataka....jiuloze ulishawahi kumuona NDESAMBURO akienda kupiga porojo kwenye majimbo ya wengine...anajua nini wanamoshi wanataka na anatekeleza japo hayupo serikalini, hao ndio viongozi tunaowataka sio huyu oficn hakai kazi kupiga domo tu....UBUNGO TUNAMTOA HUYU
 
Tumia akili kufikiri.mamlaka ya maji dawasco imeshindwa kuleta maji japokuwa inapata fedha serikalini.mnyika hapati fedha maji atayaletaje?na kumbuka maji hapa dar ni tatizo karibu la kila mahari.kipindi cha keenja mbunge ubungo maji mlikuwa nayo kama mnavyopata Sasa japo kwa uchache?....tumia akili kufikiri na si ma.ta.ko

Ndugu yangu pole sana unatakiwa ujiulize kwa nin keenja alitolewa na tena kama hujui kipindi cha mnyika mambo ndio yamekuwa worse zaidi....we tukana ila jua ngoma ucyoijua huwezi kuicheza na mnyika kama analijua hilo kwann alitoa ahadi ya kutatua tatizo la maji wakati anaomba kura

Jambo jingine dalili za mtu aliyefeli huwa anaingia kwenye falacy of comparison eti keenja alishindwa.! Kwahiy na yeye kama amekiri kushindwa basi njia itakuwa moja....tatizo thinking capacity ya mnyika ni ndogo he z not creative m teling u huyu habaki njoeni mumtetee...tena mje na kutukana lakini tunaotaabika ubungo lazma tuseme...
 
Ndo mana tulimtoa mbunge Wa CCM na kumweka mnyika Wa upinzani ili aonyeshe mabadiliko katika utekelezaji Wa ahadi!,

Mimi sikumchagua Mnyika ili nimuone akibwabwaja bungeni, Nilihitaji a-perform kiutendaji

Ubungo tumechoka kudanganywa na wanasiasa.

Ameshindwa kutimiza ahadi zake Kama mibunge ya CCM afu uaanza kumtetea na kutupia lawama serikali.

Mnyika nakusubiri October kwenye sanduku la kura uvune ulichopanda!

Kaka hii fact...perfomance tu...tunaangalia hoja zako unapewa ubunge hujatekeleza kwa miaka 5 unakwenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom