Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Huyu jamaa kazi yake kupepeta mdomo bungeni na kwenye migogoro ya waandamaji madereva bodaboda na magari.....mengine hayawezi sasa ubungo aiache akawe kiongozi wa hao madereva wake wagome vizuri
 
Naishi ubungo kwangu naona mnyika bado anafaa coz serikal za mitaa hazmpi ushrikiano wowote zaidi ya fitina.
 
Upatikanaji wa maji ubunge si kama ilivyokuwa 2010.... Mnyika hamumwezi...

CCM, ACT mtalia lia sana... Kwanza ubungo mnyika ana mtaji wa kura zaidi ya 30000 kutoka kwa waumini wa akina Kakobe, Gwajima..... Pili huyu mtoto aliyesomea seminarini, mtiifu kwa wazazi wake, na ushiriki wake wakatoliki woote wa ubungo watamchagua...... Tatu ni vijana ambao amekuwa pamoja nao mda wote. Nne jimbo la ubungo lina wachaga na wapare(kabila lake) wengi kuliko majimbo mengine ya Dar es Salaam mpaka kuna mtaa unaitwa Rombo.
Tano.. Hili jimbo lina wabara wengi kuliko wa pwani na waha...
Kingine ni uwepo wa vyuo vingi jimbo la ubungo ambapo hawajui shida ya maji ndani ya Taasisi hizo na pia wanavyua humwona kama msela wao.... Hivyo inasemekana Mnyika tayari ana turufu yake mkononi
 
Tatizo uweka ushabiki WA chama mbele!,

Kila raia anasababu zake zinazopelekea kuchagua kiongozi anaemtaka!

Mimi binafsi nilimchagua Mnyika 2010. Sio kwasabu Ni kijana au anatoka CDM Bali kwasababu alihaidi kuleta maji ubungo kitu ambacho actually ameshindwa kutekeleza so far!!

Niliitosa CCM 2010 kwasababu ya usanii kama huu.

Endelea kumpa kura yako.Unaonekana wewe unaelewa utaratibu wa nchi yetu.Amepigia kelele sana swala la maji na amekuwa mwiba kwa Prof.Maghembe mpaka huyu msomi anajikoroga na kusababishwa kuitwa mzigo na Kinana.kuwa na imani na kijana wako,mpe tena kura yako.
 
Mtoa hoja hana hoja. Anaponda then anasifia. Kama wenye nchi hawataki kuleta maji Mnyika kosa lake nn? Mchague Mnyika 2015 wabinge wawe wengi ili shida zako na za wengine zitatuliwe haswa ambazo ccm wameshindwa kbs

Acha Upuuzi wewe, Wenye nchi ndio akina nani? Unaijua dhamana ya ubunge? Unajua kwa nafasi yake angeweza kufanya Mambo mangapi? Acheni kuficha Uzembe wa kiutendaji kwa kisingizio cha wenye nchi. Sisi ndio wenye nchi na ndio wenye mamlaka na maamuzi juu ya kero zinazotukabili. Kama kiongoZi alikuwa na nafasi kubwa sana ya kutatua kero za wananchi.

Tatizo Wanasiasa wetu wamekuwa kama wasanii wa Bongo Flave.
 
Pole sana ndugu sisi wananchi wa ubungo kwakweli tunajifunia kua na mbunge wa aina ya mnyika ambae haangalii masilahi ya ubungo pekee bali masilahi ya taifa kwa ujumla.Mnyika ni chaguo la mungu kijana huyu ameyatoa maisha yake hadi kuamua kusoma evening class kwa ajili ya mabadiliko ya nchi hii kwakweli,

Hao watawala wanambania kuleta maendeleo ubungo hasa ya maji ambayo ndio kero kubwa ya maji sababu za kisiasa kwani wao kikubwa wanacho jali ni idadi ya uwakilishi bungeni na si maendeleo kwa taifa kwa ujumla wake,watu kariba ya mnyika ni wanamapinduzi ambao serikari yoyote yenye kuendekeza vitendo vya kifisadi hawapendi kumsapoti kisiasa hasa maendeleo jimboni kwake au kwa wapiga kura ili asionekane yeye ni mtu safi,nachelea kusema kwamba mimi kama mwananchi wa ubungo tena kimara namsapoti sana mnyika kuwa sio tu mbunge bali hata waziri au Raisi kabisa.

"Mnyika chaguo la Mungu".

Kazi kweli kweli....
 
Ni sheria ipi inasema Mbunge analeta maji,shule gani uliyosoma ilikwambia mbunge ndiyo mkusanya kodi na muelekezaji fedha hizi ziende ubungo kuleta maji?

Kwa taarifa yako tu,wewe na ccm yako ndiyo muliokataa kupeleka fedha za maji jimboni,mukiamini kuwa,mtalirudisha jimbo la ubungo( siasa mfilisi)

Wanaubungo wanajua jukumu la serikali na la Mbinge mtaisoma adhabu yenu october!

Adhabu inaanzia kwa Madiwani wa ccm,jiongeze kaka
Wewe mtoto isoongee kama hujasoma. Swali gani hilo unauliza. Je unajua mambo mangapi Mbunge huyu aliahidi wakati wa kampeini???? Na je unajua ni njia gani alipanga kizitumia ili kutatua kero zote za wananchi? ?? Je wewe ni msemaji wa Mbunge? ?? Kama sio haya majibu umeyapata wapi. Msitetee ujinga hapa. Wakati mnafanya kampeni huwa hamjui kuwa nyinyi sio wakusanya kodi? ? Kama ni hivyo sasa nini mantiki ya wewe kugombea ubunge wakati unajua kabisa hutaweza tatua kero za wananchi? ?. Kwa maana nyingine mtu kama wewe ukigombea tunajua fika kwamba nia yako ni kujinufaisha binafsi tuu. Hakuna cha kutatua kero wala baba yake na kero.pyuuuuuuu utapeli mtupu. Fedha ya walipa kodi imepotea bureeee. Wajameeeni tubadilike
 
Naishi ubungo kwangu naona mnyika bado anafaa coz serikal za mitaa hazmpi ushrikiano wowote zaidi ya fitina.
Akili ya mbayuwayu jumlisha na yako aisee. Usikubali kirahisi rahisi sababu zisizokuwa na mbele wala nyuma. Tafakari chukua hatua. Hatujawahi sikia hata siku moja mbunge akilalamika kuwa viongozi wa serikali ya mitaa hawampi ushirikiano. Katika kipindi chote hiki cha ubunge wake. Kwa hiyo nyinyi mliolipwa ili muje mumsemee mbunge humu hamna faida yoyote hapa. Mnamtumikia ------? ??? Wajameeni tubadilikee
 
Huyu jamaa kazi yake kupepeta mdomo bungeni na kwenye migogoro ya waandamaji madereva bodaboda na magari.....mengine hayawezi sasa ubungo aiache akawe kiongozi wa hao madereva wake wagome vizuri
Ajiandae kupigwa chini huyoo. Hana lolote la maana ambalo amesaidia jimboni kwake
 
duh kwel Tanzania watu wenye akil ndogo wapo weng.
hv kwel kiuhalisia kuna mbunge kama mnyika aliewah kupita ubungo?
shida ya maj n ya nchi nzima....waulize watu wa sengerema,shinyanga, bariadi,misungwi....na pengne..je wanapata maji saf japo wapo karbu na ziwa?
 
Hata wenzake wa Tandale si hawana maji?, nao mbunge wa chadema?
Hata kwa Azan zungu( ccm), nao hakuna maji

Kwa Mama Ana Makinda hakuna maji naye ni wa chadema?

Labda aende kwa baba Yake Riz ,kule nako sidhani kama maji yanatoka mferejini

huko kote unazunguka sana muulize rais wa nchi hiyo yenye maeneo yasiyo na maji ni wa chama gani? yaani hajui anaposema ubungo haina maji anamtukana rais wake na serikali yake na chama tawala!watu wengine ratio ya ubongo wao kwa vichwa vyao ni sawa na scania kuwa na tairi za kirikuu.
 
Upatikanaji wa maji ubunge si kama ilivyokuwa 2010.... Mnyika hamumwezi...

CCM, ACT mtalia lia sana... Kwanza ubungo mnyika ana mtaji wa kura zaidi ya 30000 kutoka kwa waumini wa akina Kakobe, Gwajima..... Pili huyu mtoto aliyesomea seminarini, mtiifu kwa wazazi wake, na ushiriki wake wakatoliki woote wa ubungo watamchagua...... Tatu ni vijana ambao amekuwa pamoja nao mda wote. Nne jimbo la ubungo lina wachaga na wapare(kabila lake) wengi kuliko majimbo mengine ya Dar es Salaam mpaka kuna mtaa unaitwa Rombo.
Tano.. Hili jimbo lina wabara wengi kuliko wa pwani na waha...
Kingine ni uwepo wa vyuo vingi jimbo la ubungo ambapo hawajui shida ya maji ndani ya Taasisi hizo na pia wanavyua humwona kama msela wao.... Hivyo inasemekana Mnyika tayari ana turufu yake mkononi

Ndo tatizo la kuwa msukule hujui kufikiri!,

Huo utiifu akaupeleke kwa makasisi but This time atavuna alichopanda

Nilimchagua siyo kwasababu ya dini yake ( mimi ni Muislam ).

MAJIII MNYIKA MAJIIII

Ndo ashaikosa hivo kura yangu!
 
Wewe mtoto isoongee kama hujasoma. Swali gani hilo unauliza. Je unajua mambo mangapi Mbunge huyu aliahidi wakati wa kampeini???? Na je unajua ni njia gani alipanga kizitumia ili kutatua kero zote za wananchi? ?? Je wewe ni msemaji wa Mbunge? ?? Kama sio haya majibu umeyapata wapi. Msitetee ujinga hapa. Wakati mnafanya kampeni huwa hamjui kuwa nyinyi sio wakusanya kodi? ? Kama ni hivyo sasa nini mantiki ya wewe kugombea ubunge wakati unajua kabisa hutaweza tatua kero za wananchi? ?. Kwa maana nyingine mtu kama wewe ukigombea tunajua fika kwamba nia yako ni kujinufaisha binafsi tuu. Hakuna cha kutatua kero wala baba yake na kero.pyuuuuuuu utapeli mtupu. Fedha ya walipa kodi imepotea bureeee. Wajameeeni tubadilike

Kuna watu wamelewa siasa na kusahau wajibu wao.....ndugu zao wanateseka wao kaz kutetea....mimi nimekaa majimbo yote kwa vipindi tofauti...ila ubungo kwa tatizo la maji ts too much....hivi mtu mnawezaje kukaa almost mwezi na nusu bila maji.....maeneo mengine kila baada ya wiki watu wanapata maji...halafu huyo mnayemuita mbunge (MNYIKA) kazi yake kutembea kwenye majimbo ya wengine kupiga mdomo na kusahau wanaubungo walimchagua ili awawakilishe na kuwa catalysts kwenye utatuzi wa kero hasa ya maji.....mnaosema nihame nitafanya hivyo ila baada ya kupiga kura ya kumkataa mnyika
 
Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.

Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"

Naona unatishwa na uchi wa mwili kuliko uchi wa akili, maana mwenyewe unakiri kuwa maji yameundiwa zengwe, pili unakiri mnyika ni mwingi hoja na kwa mantiki hiyo anakuwakilisha vyema bungeni iwe kwa hoja za kijimbo au kitaifa! Nikushauri tu kabla ya kutembea uchi, vaa vazi la akili!
 
CCM imeua vipaji vyingi vya watanzania
Hawana akili-rejea
 
Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.

Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"

sasa wewe nae sijui wa wapi,badala ya kuilaum chama chako cha Ccm na serikali yake unayo ilipa kodi,unakuja hapa kumlaumu mnyika!.
Rais wako alipokuja hapo ubungo kwenye campaign alihahidi maji,mbona yeye umeshindwa kumlalamikia wewe kijana,acha wivu wa kitoto,mnyika bungeni anarudi na Kama maji ya chumvi mtakunywa tu mpaka hapo serikali yenu hii iliyochoka itakapo wakumbuka wananchi wake.
ndio ujue kwamba wengi wenu mnao shabikia ccm hamnazo chama kimewatesa miaka naenda rudi,bado tu umekingangania utazania mlikula yamini na chama hicho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom