Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Mkimchagua tena atateuliwa kuwa waziri wa maji. Msijali hamtapata shida tena kwa kuwa Mto Nile utahamishiwa Ubungo.... Kazi iliyomshinda waziri wa maji wa sasa.
 
Wachina wanasema,When given a task,No results No excuse
Mheshimiwa Mnyika ni miaka mitano sasa ulituahidi maji wakazi wa Mbezi Luis na vitongoji vyake,hakuna kilichofanyika
Tumekua tukisikia ahadi kila kukicha tena sio za mikutanoni bali za vyombo vya habari
SWALI : Kama maji yamekushinda kuyasimamia utaweza nini?,Tukisema hatukutaki 2015 tunamakosa?
Mimi sijali unaongea nini Bungeni,ni muda sasa wa kuwa kama wachina.
'NO results NO excuse' wapishe wenye uwezo

maji ni kazi ya serikali ndiyo maana kuna wizara ya maji. PERIOD.
 
1.Yeye kama Mbunge ana jukumu kwa asilimia 100 kupush development agendas and projects zitekelezwe,zile alizoahidi na asizoahidi,sasa hili la maji aliliahidi yeye mwenyewe na kwa asilimia kubwa ndio lilimpatia kura mana jamani maji kwetu huku ni shida sana.Kama maji ni jukumu la wizara basi naomba aje mkutanoni au hata kampeni ikianza atujulishe tu kuwa sio jukumu lake tena,tutatafuta namna ya kuifikia hiyo Wizara ya maji.
 
Mkimchagua tena atateuliwa kuwa waziri wa maji. Msijali hamtapata shida tena kwa kuwa Mto Nile utahamishiwa Ubungo.... Kazi iliyomshinda waziri wa maji wa sasa.
Anza kwanza kujipima wewe umefanya nini kuleta maji kama huna acha excuse.Unawajibika kama raia kufuatilia maji wazara ya maji na si kusubiri miaka mitano uulize kwenye mitandao.Ila kama bado unania ya kupata maji ubungo hilo swali ni zuri sana ila umeuliza wrong person or place nenda wizara ya maji.Na majibu utuletee pia hapo utakuwa umewajibika
 
1.Yeye kama Mbunge ana jukumu kwa asilimia 100 kupush development agendas and projects zitekelezwe,zile alizoahidi na asizoahidi,sasa hili la maji aliliahidi yeye mwenyewe na kwa asilimia kubwa ndio lilimpatia kura mana jamani maji kwetu huku ni shida sana.Kama maji ni jukumu la wizara basi naomba aje mkutanoni au hata kampeni ikianza atujulishe tu kuwa sio jukumu lake tena,tutatafuta namna ya kuifikia hiyo Wizara ya maji.

Hata kwenda wizara ya Maji mpaka mbunge akuonyeshe njia?? Hamia kwetu Kigoma... hatuna hiyo adha. JK kashaifanya Dubai ya bongo kama alivyoahidi.
 
Anza kwanza kujipima wewe umefanya nini kuleta maji kama huna acha excuse.Unawajibika kama raia kufuatilia maji wazara ya maji na si kusubiri miaka mitano uulize kwenye mitandao.Ila kama bado unania ya kupata maji ubungo hilo swali ni zuri sana ila umeuliza wrong person or place nenda wizara ya maji.Na majibu utuletee pia hapo utakuwa umewajibika

Una uhakika ulikuwa unanishauri mimi? Naona umeniquote na kunishauri kitu nisichokuwa nahitaji ushauri.
 
No nilikuwa namshauri muuliza swali bahati mbaya nikawa nimereply kwako. SORRY FOR THE INCONVENIENCE CAUSED
 
1.Yeye kama Mbunge ana jukumu kwa asilimia 100 kupush development agendas and projects zitekelezwe,zile alizoahidi na asizoahidi,sasa hili la maji aliliahidi yeye mwenyewe na kwa asilimia kubwa ndio lilimpatia kura mana jamani maji kwetu huku ni shida sana.Kama maji ni jukumu la wizara basi naomba aje mkutanoni au hata kampeni ikianza atujulishe tu kuwa sio jukumu lake tena,tutatafuta namna ya kuifikia hiyo Wizara ya maji.

tumia akili kidogo tu mkuu. nani anakusanya kodi? ukosefu wa maji dar hausababishwi na mbunge. mtambo wa kuleta maji dar uliojengwa na wajerumani ulikuwa wa kukidhi watu wasiozidi laki8. leo hii dar ina watu wangapi? nambie kwa mtambo upi unataka ulete maji ya kutoshereza jiji?
 
Labda kama hutaki kujifunza huo ni wajibu wako kama raia yaani wewe unasubiri mbuge kupata huduma za lazima.Brother amka
 
Una uhakika ulikuwa unanishauri mimi? Naona umeniquote na kunishauri kitu nisichokuwa nahitaji ushauri.
Kaka amechanganya ma file ila sio mbaya nikimjibu najua alinilenga mimi,
Wewe ndugu Amagere,huna sababu ya kumtetea Mnyika atakuja ajitetee mwenyewe kama anaweza,aliyekwambia maji yanafika kwa wananchi kwa sisi kwenda wizara ya maji ni nani? ndi mana tukawa na wawakilishi wa kuifanya hiyo kazi,ku-push government ku-fund projects za maji etc,kama hujui how the system works ni bora utulie.Ndio mana tukawa na wabunge na ndio mana na wao wanakuja na ahadi za kuweza kufanya yale yote tunayomtaka akatuwakilishe.Hili swala litamsumbua sana mana asilimia kubwa ya jimbo halina maji,Kimara ndio majanga,cha ajabu kuna sehemu inaitwa Kibamba,diwani wao tu ameweza kufanya follow up na pushing za kutosha wanachezea maji watakavyo japo mwanzo kwao ilikuwa ni tatizo pia,yeye leo Mbunge amekalia kumpa mipasho Zitto kabwe,Ngoja bunge livunjwe tunakusubiri huku.
 
cc amagere
 
Last edited by a moderator:
Wachina wanasema,When given a task,No results No excuse
Mheshimiwa Mnyika ni miaka mitano sasa ulituahidi maji wakazi wa Mbezi Luis na vitongoji vyake,hakuna kilichofanyika
Tumekua tukisikia ahadi kila kukicha tena sio za mikutanoni bali za vyombo vya habari
SWALI : Kama maji yamekushinda kuyasimamia utaweza nini?,Tukisema hatukutaki 2015 tunamakosa?
Mimi sijali unaongea nini Bungeni,ni muda sasa wa kuwa kama wachina.
'NO results NO excuse' wapishe wenye uwezo

KWA TAARIFA yako tutampa tena ubunge
 
Labda kama hutaki kujifunza huo ni wajibu wako kama raia yaani wewe unasubiri mbuge kupata huduma za lazima.Brother amka
Hakuna cha kujifunza katika kuletewa huduma ya maji,ni jukumu la mbunge haswa kama alivyoahidi kuhakikisha tunapata maji,tuko tayari kuyatumia kwa gharama yeyote,sasa kama yeye mbunge kwa nafasi yake anashindwa kufatilia swla hili mwananchi wa kawaida atawezaji,Mnyika manji ndio yalimpa kura na ndio yatakayomtoa jimboni,mana sehemu nyingi kilio ni hicho hicho na yeye He is no where to be found,Kimara,Temboni,Mbezi,Mpiji,Kwembe,King'ongo kote ni majanga
 
tumia akili kidogo tu mkuu. nani anakusanya kodi? ukosefu wa maji dar hausababishwi na mbunge. mtambo wa kuleta maji dar uliojengwa na wajerumani ulikuwa wa kukidhi watu wasiozidi laki8. leo hii dar ina watu wangapi? nambie kwa mtambo upi unataka ulete maji ya kutoshereza jiji?
Mkuu nitakupa shule kidogo,
Kazi ya mbunge ni kwenda kutuwakilisha sisi mbele ya serikali/Bunge.Yeye ndiye wa kwenda kuitolea macho serikali na kuwaambia NO lazima mtenge fedha kwa ajili ya utanuzi wa bomba ambalo linapeleka maji sehemu kadha wa kadha,bila hivo serikali inapeleka hela sehemu nyingine,sasa kama hata kazi hii ya kutuhakikishia tunapata maji imemshinda ndani ya miaka 5 ataweza nini? Tunamsubiti kwa hamu baada ya bunge kuvunjwa,sisi sio wa kudanganywa
 
Hakuna cha kujifunza katika kuletewa huduma ya maji,ni jukumu la mbunge haswa kama alivyoahidi kuhakikisha tunapata maji,tuko tayari kuyatumia kwa gharama yeyote,sasa kama yeye mbunge kwa nafasi yake anashindwa kufatilia swla hili mwananchi wa kawaida atawezaji,Mnyika manji ndio yalimpa kura na ndio yatakayomtoa jimboni,mana sehemu nyingi kilio ni hicho hicho na yeye He is no where to be found,Kimara,Temboni,Mbezi,Mpiji,Kwembe,King'ongo kote ni majanga

shida yako ni Mnyika Kumsema Kipenzi chako Zitto, na si Maji...
 
Hata jimbo la Mwanga la waziri wa maji lina shida kubwa sana ya maji! Tatizo la uhaba wa maji sehemu nyingi za Tanzania halisababishwi na mbunge bali mipango mibovu ya serikali dhaifu ya ccm.
 
Hakuna sehemu nimesema linasababiswa na mbunge na wala siwezi kumpa lawama ya kuleta tatizo hilo,Lakini kwa asilimia kubwa anahusika katika kulitafutia ufumbuzi na kwa hilo hawezi kwepa,kwa kulijua hilo ndio mana na yeye mwenyewe aliahidi.Tatizo nyinyi mnaona kama vile tunampa jukumu la kumsakizia hapana hili ni jukumu lake na mbaya zaidi alilifanya agenda ya kumpatia kura 2010 na alifanikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom