Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Katika matembezi yako ya UCHI naomba niwe kameramani...
mi nitaomba kuwa nyuma yake kumlinda
Katika matembezi yako ya UCHI naomba niwe kameramani...
Habari wanabodi. Kwa wiki mfululizo kuna thread mbalimbali ambazo zinazohusu Ubunge wa JJ Mnyika, na wengine wameapa kutembea uchi kama Mnyika atashinda Ubunge, wengine wanatoa hoja za shida ya maji Jimbo la Ubungo. Ukweli ni kwamba JJ Mnyika kupitia Operesheni za chama amekuwa tishio. jimbo la Ubungo ni la watu wasomi, wanajua kazi ya JJ ndani na nje ya Bunge. Kama kweli JJ akikosa Ubunge hata Zitto hataweza kushinda Ubunge - kwa Jimbo lake alilotelekeza hakuweza kufikisha hata 50% ya kura zote. Na kwa Jimbo lolote ambalo Ukawa wataweka Mgombea ACT haiwezi kushinda.
Weweee unafikiri kwa kutumia m.a.t.a.k nini nani kasema kuondoa chama ndio solution ya matatizo. Kenya wamekuwa wakiondoa vyama miaka nenda rudi mpaka leo hawajaweza kuona faida yoyote. Ndio kwanza wanafukuza na kusimamisha mawaziri kwa ufisadi, who to trust, mi nimestuka naona mnatufanya mabwege mnajifanya mnatatua matatizo halafu mkishindwa mnaruka na kusema sio wakusanya kodi. Nimeamua kubadili mawazo na mtazamo kuhusu nchi yetu . Tunahitaji kurudisha misingi ya waasisi wetu kwa dhati kabisa, na sio usanii usanii huu mnaotufanyia. Tumechanga michango mingi sana ya kuendesha vyama lakini hatuoni hela zinatumikaje, tukiuliza tunaambiwa wasaliti. Kuna michango ya harambee, mtandao wa chama, na hata pesa za ruzuku hatujui zinaendaga wapi. Hahahaha kwelj wajinga ndio waliwao, namimi nasema sitaliwa tena kwa sababu nimeondokana na ujinga
Hivi wewe umesoma wapi, unadhani maendeleo kenya sehemu kubwa yaliletwa sababu ya vyama vingi? Chama cha kanu kimeongoza kenya kwa miaka mingapi, na maendeleo ya kenya kwa kipindi cha miaka yote hiyo yamekuwaje, unazungumzia mambo ya vyama yaliyokuja juzijuzi, khaaaa, wao walienda mbele zaidi sababu ya sera yao ya ubepari chini ya kanu. Usitudanganye hapaWee ndg naona umepewa kichwa kwaajili yakufugia Nywele tu...Kwahiyo huu upumbavu mnaofanya ccm tangu Tupate uhuru utafananisha na wakenya duh...Nchi hii bado kuna mijitu bado giza kabisa
Kamanda lazima ujue mbunge anachaguliwa, priority namba one ni kwa wananchi wake waliomchagua, then namba two ni kwa Taifa. Sasa unachosema mkuu ni kuwa yeye aliona priority namba two ndio muhimu kuliko namba one, sasa sincerely speaking nadhani hana msaada kwa wananchi waliomchagua. Nadhani tutafute mwingine ambaye ataweka priority namba one iwe kweli. Si vema kujaribu jaribu wakati muda unazidi kupotea na maendeleo hayatusubiri, ndio maana nasema tuangalie sasa sio chama ni mtu atakayekuwa tayari kubeba jukumu la matatizo ya wananchi. Hizi siasa zinatuchelewesha sana maendeleo. Angalia sasa wananchi wanajuta kwa uchaguzi waoVyema kwa kutumia haki yako kusema..lkn pole kwa kutaka mwingine badala ya kubakiza kura yako upinzani ili idadi yao iwe akidi bungeni ili Mnyika akitoa hoja kudai haki zenu hoja yake ipite..pia kumbuka yeye ameshakuwa mbunge bora Mara mbili kwa kutoa michango..kuuliza maswali ya msingi na nyongeza..pia kwa kutoa hoja binafsi ambazo Mara nyingii zimetupiliwa mbali kwa ubabe wa wingi wa wabunge wa CCM..
Rudisha moyo nyuma
Mnyika sio DAWASCO acha kuchanganya hoja. Mnyika pia siyo serikali kukuletea wewe maji. Kama ulimpa kura kwa kutegemea akuletee maji ulidanganyika tangu siku hiyo. Sisi wana UKAWA bado tunampenda na tutamuunga mkono. Upo hapo. Ila akitokea mgombea mwingine mwenye hoja nzuri za kutusogeza mbele kimaendeleo tutamkubali ila asije na hoja ya DAWASCO.Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.
Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"
Kwa hiyo Mnyika ana niniii? Au anatafuta nini? Wacha kutuletea hapa tukaanza kufikiria watu wengine kumbe wana ufisadi wa siasa, nao ni ufisadi tu kama fisadi nyingine so these are just political games eeh, ??Akilo huna wewe stunna, Mnyika ana serikali au ana Bunge lake? Msilete unafki wenu hapa.
Angalia na huyu kachanganyikiwa na ahadi za mbunge sijui ambazo hazijatimia, kaamua aende ung'eng'e wa kikwao. Sijui muhaya wa wapi maskini atakuwa anakaa kimara, au maeneo ya ubungo, anaokena kukerwa sana na ahadi hewa,Inye byanshobeza, abantu mbendaki? Entambala za Munyika zilihai? Mushobokelwe okwo tiwe aikuleta amaizi kandi serikali nebikola kwo kwima abantu amaizi kusudi bamwime ekula. Mbwenaho entambala zohai?
Maji yamemshinda sasa amehamia kwenye katiba..anatapatapa..atatukoma tunausongo nae yule tumbili we mwache tu!
Kaka vumilia, ndio wanasiasa wetu walivyo, hatuna wa kumlaumu. Viongozi tuleteeni watendaji wa kazi na sio wapiga makelele tu .tumechoka. siasa siasa hizi uchwala watoto wamezaliwa juzi wanadhani wanajua kila kitu duniani.Inye byanshobeza, abantu mbendaki? Entambala za Munyika zilihai? Mushobokelwe okwo tiwe aikuleta amaizi kandi serikali nebikola kwo kwima abantu amaizi kusudi bamwime ekula. Mbwenaho entambala zohai?
Halafu nije nisikie unalalamikia chinichini kama nguchiro. Tusife na tai shingoni jamani, tunaweza mweka kamanda mwingine ambaye ni mchapa kazi zaidi yake, mbona wapo wengi subiri October utawaonamimi nahaidi na familia yangu tutampa kura za ubunge mnyika mwaka huu. niko kimara baruti. kutompa kura mh. mnyika ni upofu wa fikra.