Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

Hivi wewe umesoma wapi, unadhani maendeleo kenya sehemu kubwa yaliletwa sababu ya vyama vingi? Chama cha kanu kimeongoza kenya kwa miaka mingapi, na maendeleo ya kenya kwa kipindi cha miaka yote hiyo yamekuwaje, unazungumzia mambo ya vyama yaliyokuja juzijuzi, khaaaa, wao walienda mbele zaidi sababu ya sera yao ya ubepari chini ya kanu. Usitudanganye hapa

Ndg hulazimishwi kuaachana na CCM yako...manake wee miongoni mwa mliowekeza CCM ikiwa unakubali Sera za KANU ndo zimeifanya KENYA iwe vile ilivyo manake vyama vingi vinaendeleza mazuri yalioanzishwa na KANU sasa kwanini hutaki kuamini kukwama kwa Nchi hii ni matokeo ya ubovu wahiyo CCM yako...Jimbo la Ubungo tangu lianzishwe ni mara ngapi limeongozwa na Upinzani miaka yt ccm imefanya nini acheni kutufanya sote mabwege nyie danganyeni hao mnaowapa Pilau na Fulana tu
 
Weweee unafikiri kwa kutumia m.a.t.a.k nini nani kasema kuondoa chama ndio solution ya matatizo. Kenya wamekuwa wakiondoa vyama miaka nenda rudi mpaka leo hawajaweza kuona faida yoyote. Ndio kwanza wanafukuza na kusimamisha mawaziri kwa ufisadi, who to trust, mi nimestuka naona mnatufanya mabwege mnajifanya mnatatua matatizo halafu mkishindwa mnaruka na kusema sio wakusanya kodi. Nimeamua kubadili mawazo na mtazamo kuhusu nchi yetu . Tunahitaji kurudisha misingi ya waasisi wetu kwa dhati kabisa, na sio usanii usanii huu mnaotufanyia. Tumechanga michango mingi sana ya kuendesha vyama lakini hatuoni hela zinatumikaje, tukiuliza tunaambiwa wasaliti. Kuna michango ya harambee, mtandao wa chama, na hata pesa za ruzuku hatujui zinaendaga wapi. Hahahaha kwelj wajinga ndio waliwao, namimi nasema sitaliwa tena kwa sababu nimeondokana na ujinga
usijishaue wewe ni mwizi tu unaenufaika na chama tawala na mtakufa na njaa baada ya uchaguzi lazima mng'oke ,the second freedom is here
 
Wewe ni msemaji wa wananchi wa Ubungo?
Unajua majukumu ya Mbunge?
Matatizo ya maji ya miaka 53 unataka yaishe kwa miaka mitano?Badala uilalamikie serikali ya ccm inayokusanya kodi unakuja JF kutafuta umaarufu?? wewe ni attention seeker tu
Majibu ya hovyo kwa maswali ya msingi!
 
Well said, kamanda nakuunga mkono na miguu yote, kwa kweli wakazi wa jimbo la ubungo hawajaona maendeleo yoyote toka waamue kumchagua Mnyika. Nadhani makosa makubwa yanafanyika wakati wa kuahidi mambo meengi as if watakuwa mwarobaini wa matatizo ya wananchi, mwisho wa siku unakuta hakuna kitu, hivi kiukweli kama ni hivyo basi hana budi kupigwa chini na aje yule ambaye ataweza kuleta mabadiliko. Kwa sababu ukimchagua mtu huyu mtaendelea kulalamika tena kwa machungu kwa miaka mingine mitano ijayo. Wananchi lazima tubadilike . Tusiende na mihemko ya wanasiasa bila kufikiri mara mbili mbili. Halafu sasa kinachokatisha tamaa zaidi. Ukimuuliza na ukimbana na maswali atakwambia kwani yeye ndio anakusanya kodi? Khaa ! What a stupid answer is that, kwani mtu anavyoahidi wananchi huwa anategemea atapataje ufumbuzi wa matatizo. Wajaameni tubadilike, twende na wakati. Sio kila wakati kubadili chama eti ndio suluhu . Tuangalie mtu anasema nini na ana sera gani
Ili tanzania iendelee kwanza wezi ccm pamoja na wapambe wao kama wewe inabidi waondoke madarakani .kama ccm haitaondoka mambo ya maendeleo sahau.escrow,richmond,meremeta, kwa utamaduni wenu mwizi ndio shujaa .
 
Muheshimiwa wakati wa kampeni ya uchaguzi 2010 ulituahidi kuwa utamaliza kero ya maji Ubungo, tukakupa kura zetu. Tukakesha wote pale loyola kuhakikisha kura hazichakachuliwi, peoplez power tukalibeba na kulipindua gari la wizara ya mambo ya ndani wakati lilipolazimisha kuingia pale getini mimi Dar es salaam nimekuja mwaka 90 nilifikia Gongolamboto ambapo nakumbuka tulikuwa tunakunywa maji ya kisima na yenye chumvi.

Niliendelea kunywa maji ya chumvi mpaka mwisho wa miaka ya tisini ndiyo ilikuwa mwisho wa kunywa maji ya chumvi..leo karne ya 21 miaka 50 ya uhuru kwa mara ya kwanza na kunywa maji ya chumvi. Kweli tunasifu juhudi zako za kufichua maovu huko bungeni lakini kura zetu sahau. Umeshindwa kusoma alama za nyakati kwamba wakuu wamekuundia zengwe Ubungo pasipatikane maji ili uonekane hufanyi chochote. Ungeweza hata kuleta maji ya kununua kwenye malori tunge appriciate uwajibikaji wako sasa huku maji hakuna hata ya kununua hakuna. Ukipata ubunge 2015 walahi natembea uchi. "maana tumechoka sasa"


Mkuu ukija JF ujipange kwanza,mnyika hana hela ya kutoka mfukoni mwake ili kuleta maji,mnyika hakusanyi kodi kwahiyo wana ubungo wanajua hilo.Hata Mhe. JK alikuwa mbunge wa chalinze lakini maji yalikua mtihani mkuu kwake.Nyie leteni mtu yeyote ubungo muone nguvu ya huyu kijana Mnyika.Kupambana na Mnyika ubungo ule ushibe.Tuulizeni watu wa ubungo tuwaambieni huyu mtu ni nani ubungo.
 
Weweee unafikiri kwa kutumia m.a.t.a.k nini nani kasema kuondoa chama ndio solution ya matatizo. Kenya wamekuwa wakiondoa vyama miaka nenda rudi mpaka leo hawajaweza kuona faida yoyote. Ndio kwanza wanafukuza na kusimamisha mawaziri kwa ufisadi, who to trust, mi nimestuka naona mnatufanya mabwege mnajifanya mnatatua matatizo halafu mkishindwa mnaruka na kusema sio wakusanya kodi. Nimeamua kubadili mawazo na mtazamo kuhusu nchi yetu . Tunahitaji kurudisha misingi ya waasisi wetu kwa dhati kabisa, na sio usanii usanii huu mnaotufanyia. Tumechanga michango mingi sana ya kuendesha vyama lakini hatuoni hela zinatumikaje, tukiuliza tunaambiwa wasaliti. Kuna michango ya harambee, mtandao wa chama, na hata pesa za ruzuku hatujui zinaendaga wapi. Hahahaha kwelj wajinga ndio waliwao, namimi nasema sitaliwa tena kwa sababu nimeondokana na ujinga
Wewe bado ni mjinga tena sana kwa kifupi wewe ni mbumbumbu anayeamini kwamba kama ccm imeshindwa basi hakuna anayeweza,yani wewe ni mbumbumbu kabisa sijui umeingiaje jamii forums
 
Nishawambia Mnyika sio DAWASCO. Maji kwa Dar yanaletwa na DAWASCO hivyo Mnyika msihukumu kwa hilo.
 
Halafu nije nisikie unalalamikia chinichini kama nguchiro. Tusife na tai shingoni jamani, tunaweza mweka kamanda mwingine ambaye ni mchapa kazi zaidi yake, mbona wapo wengi subiri October utawaona

Mnyika anajenga chama cha.. Tusubiri wakati wa kampen kama kuna mtu atamtetea mwenzake
 
Hakuna watu ninaowaonea wivu kama ubungo! Wamepata mbungo makini sana, hata akiwa bungeni hasinzii kama wa kwetu. Huihoji serikali ipasavyo. Mh. Mnyika kama vipi njoo mikoa ya kusini ugombee huku!
 
Mm naish ubungo makoka...huyu mnyika hatumtaki teeena...ata afanyaje..apiti nitakesha kupiga kampen ya kumpinga..hatumuhitajii
 
Kwa siasa zetu tulikofikia nina ujasiri wakusema JJ MNYIKA ni mbunge wa Ubungo na ataendelea kuwa MBUNGE wa Jimbo hilo la UBUNGO.

Wenye wivu subirini mpaka Mwaka 2025 ndio mje na maneno yenu,kwa sasa NYAMAZENI KIMYA.
 
Maji yamemshinda sasa amehamia kwenye katiba..anatapatapa..atatukoma tunausongo nae yule tumbili we mwache tu!

Ukitaka kujua misukule ya CCM humu jf wala hautumii nguvu nyingi cheki tu majina yao na utajirizisha kuwa ni misukule ambayo imetumwa
 
Ukitaka kujua misukule ya CCM humu jf wala hautumii nguvu nyingi cheki tu majina yao na utajirizisha kuwa ni misukule ambayo imetumwa


Naona umeandika kikwenu hapo!.. au umeandika ukiwa unakata gogo??
 
Wachina wanasema,When given a task,No results No excuse
Mheshimiwa Mnyika ni miaka mitano sasa ulituahidi maji wakazi wa Mbezi Luis na vitongoji vyake,hakuna kilichofanyika
Tumekua tukisikia ahadi kila kukicha tena sio za mikutanoni bali za vyombo vya habari
SWALI : Kama maji yamekushinda kuyasimamia utaweza nini?,Tukisema hatukutaki 2015 tunamakosa?
Mimi sijali unaongea nini Bungeni,ni muda sasa wa kuwa kama wachina.
'NO results NO excuse' wapishe wenye uwezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom