Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.

Gamba of the Gambaz we. Hata ukinyamaza tunajua upo unaongea utumbo tu
 
Mnyika ameharibia watoto wetu wanaofuatilia kwa makini Bunge kwa lengo la kujifunza jinsi wawakilishi wetu wanavyoongea na kuijadili bajeti.

Pamoja na kufurahia bunge, watoto pia wanajifunza jinsi watakavyoongea wakikua iwapo wataamua kuingia kwenye siasa.

Walichojifunza kwa huyu mpuuzi Mnyika ni jinsi ya kuwatukana baba zao hadharani.

Aibu sana, nimewapiga marufuku wanangu kuangalia kipindi cha Bunge ....until further notice.
 
Udhaifu wa kikwete utakoma tu pale atakapokamilisha ile list ya ahadi zake za 2010, unless otherwise ataendelea kuwa the known 'weak presdaaa'
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.

Isije ikawa taabu kumkaribisha mwehu uwani; JM si wa kwanza kusema JK ni dhaifu, Sitta aliwahi kusema hivyo kupitia ombi lake kwa rais kama kuna sheria anaiona inambana kutekeleza majukumu yake hasa kuhusu mafsadi aipeleke bungeni na Sitta atamsaidia kuirekebisha, yaani Sitta alishaona udhaifu huo na akasema kwa lugha ya uzee kama umri wake unavyomtaka.

Zaidi ya Sitta, Baba wa taifa mwaka 1995 miaka minne kabla ya kufa alimwambia JK bado ni mdogo sana kuongoza nchi ile hali akiwa na miaka 45. Nyerere alijua katiba ina sema (40 +), sasa 45 ya JK, Mwalimu Nyerere aliiona iko sawa kabisa na (40 -) kwa muda mwenye ufahamu wa kawaida. Yaani ni lugha ile ile ambayo kwa kijana yoyote angesema tu JK ni dhaifu sana lakini kwa busara na umri wa Nyerere kama Sitta, alituambia neno na mantiki hiyo hiyo kwa lugha furahishi.

Labda kosa la mnyika ni kuwa kijana, maana asingesema kwa namna nyingine yoyote, ujana maji ya moto bwana, acha atutumikie TZ.

Je bado kuna mtu anabisha kuwa Sitta hakusema udhaifu wa kikwete, au nyerere hakusema tena mbele yake??? Kama bado unapisha kapime akili, inaweza kuwa gharama lakini kujitambua ni vema zaidi. Nikupe nyingine, hivi mtu kusema amechoka na siasa uchwara za CCM, na wewe ukiwa mwenyekiti wa CCM, unataka kusema alimwambia mwenyekiti wa tawi??? au wilaya??? kama tawini kuna uchwara ulosemwa na wewe unaendesha chama bila kuuona huo uchwara si ni udhaifu, au pia mtu atapinga kuwa LA hakusema kwa lugha nyingine kuwa rais ni dhaifu??? siasa uchwara za CCM lazima ziwe kitaifa ili mbunge aweze kuzisema kama hoja ya yeye kusepa. Vinginevyo angewafikisha hao dagaa mbele ya papa, lakini kwa vile uchwara ni wapapa mwenyewe ndo maana ya kusema amechoshwa na anaachia ngazi.

Je Lowasa, hajasema juzi juzi kuwa CCM shida yake haina uongozi?? mkaanza kupindisha eti alimanisha eneo lake, mara angesema kwenye vikao vya CCM, sijui ni uongozi wa kata hiyo; tunaangalia tu lakini ukweli ni namna tu ya kuongea ile hali suala ni lilelile kuwa rais ambaye ndo CCM ni dhaifu. EL sio mwehu aseme vile, pia ndani ya vikao anaambiwa agenda ikifika utasema harafu haifiki, kwani yeye hajui kuwa anahujumiwa ndan ya vikao asiseme ukweli???? Je udhaifu wa rais si ndo huo.
 
Wewe anza kwa kuonesha ni lipi la maendeleo alilofanya Rais yeyote wa kabla yake, ambalo yeye hajafanya zaidi.

Mnaleta matusi na ktukana lakini hoja za wazi kabisa zinawashinda. Mnyika kashindwa hoja ya bajeti akaamuwa awatukane wabunge wote, wana CCM wote na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Namwambia hvi; Kikwete asimjaribu, hamuwezi hata kidogo.

By that logic you are implying that the smartest student in a class of fools (minus the original JK) is actually smart, not that I agree with you in the first place about JK being better than his predecessors.
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.

Wewe Zomba hauna akili timamu kweli. Kwa hapa TZ hakuna mtu mwenye kuweza vita na JK. Au haujui kuwa JK ni Amiri Jeshi Mkuu?
 
Mimi inawezekana simuwezi kwa kuwa sipo pale mjengoni wala Serikalini, lakini nasema Mnyika Kikwete hamuwezi. Amuone vile vile anacheka cheka, lakini "mtoto akichezea wembe muache". Sisi tunalitazama hili sakata litaishia wapi.

Hatutomwachia kabisa "mpaka kieleweke", kitoto kidogo kile hakiwezi kuja kututukana tukakiacha kicheke cheke hovyo. Lazima ajuwe maana ya Serikali ni nini, maana ya Rais ni nini, maana ya Bunge ni nini na maana ya kutukana ni nini.

Naanza kampeni rasmi, ya kuhamasisha kushikishwa adabu. Na hapa nimeanza tu, kukumbusha kuwa Mnyika Kikwete hamuwezi.

Msimtishe Mnyika, dhaifu ni dhaifu tu asiambiwe? jamani hata mitaani watu wote wanajua kuwa kikwete ni dhaifu, hili sio jipya labda jinsi ya kuliwakilisha ndio mnaliona ni dhaifu.
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.
Uamsho wanapomtukana marehemu Nyerere wanakuwa sahihi, Mnyika anapoongea ukweli kuhusu raisi dhaifu anakuwa amekosa adabu na heshima! huo ndio mtazamo finyu wa ustaadhi Zoba.
 
[h=6]USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.[/h]
 
Nasema hivi, nyinyi hamuelewi msemo wa Kiswahili unaosema "asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimengu", huyu kijana hajafudwa kwao, na sasa ulimwengu utamfunda. Kacheza na moto ambao haujuwi joto lake.

Kajiingiza kichwa kichwa pabaya sana, kavuka mipaka ya demokrasia, kashindwa kuleta hoja kaleta dharau na hilo hatuliwachi likapita ili iwe fundisho kwa wengine.

Wewe neno UDHAIFU linakukera nini kwani? Mtu anayepata PASS darasani utesema ni STRONG au WEAK? Hivi unaijua SWOT analysis? Ushawahi kuwa katika interview ya kazi na ukaulizwa weakness zako ni zipi? WEAKNESS ndio UDHAIFU kama hujui! Na ni neno la kawaida sana........Hata Museveni ni dhaifu kwa kudhani familia yake tu ndio ina uwezo wa kutawala. Kila binadamu (akiwemo Mnyika) ANA UDHAIFU WAKE.......sasa labda Kikwete ni jini na si binadamu basi atakuwa hana udhaifu!
 
Hivi mtu akikwambi wewe ni dhaifu, hilo ni tusi? Kila binadamu ana madhaifu yake bana...
 
[h=6]Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo aliyoyaahidi wakati wa kampeni, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo[/h]
 
[h=6]USHAURI: Namshauri Mnyika asitumie muda wa kuwa Bungeni kupiga mipasho kwani si muda mrefu Chadema wametoka ktk ziara za M4C huko wamesema maneno mengi na wanachi wamewaskia hivyo sioni mantiki kwake kurudia mipasho ya majukwani bungeni badala yake aige mifano ya wabunge wenzie ambao katika Mjadala huo hutumia muda huo kuitaarifu na kuimbusha serikali matatizo ya majimbo yao. Tunaikumbuka sana sera ya AMUA ya Mnyika na asipoitekeleza itamletea matatizo ya kisiasa mbeleni. Viongozi bora hutumia sapoti wanayoipata kutoka kwa wafuasi wao kuwaanzishia mikakati ya kimaendeleo, lakini ninachokiona kwa Mnyika anatumia bahati na fursa hiyo kufanya harakati za mamlaka ya DOLA. Hili linatakiwa kuangaliwa kwa umakini mkubwa kwani usipolifanyikisha impact yake itaingia hadi katika mamlka yako ya kibunge hapo mwaka 2015.[/h]
 
Wewe kweli zomba kabisa, yan hata unashindwa kukubali jk ni dhaifu basi na wewe ni dhaifu.

Narudia tena jk ni dhaifu,jk ni dhaifu kabisa.

Zomba kumbuka wewe huwezi vita na mnyika kabisa na wala usithubutu kusema.
Kwasababu unassema mambo hayataisha hivihivi tunasubiri tuone maneno yako ili moto uwake vizuri kabisa.

Kama wewe sio dhaifu kamwambie jk aanze kujibu mapigo,tena usije na uzi eti unatutishi huna lolote wewe!

Jk ni dhaifu ndio maana hawezi kumvua gamba lowasa.

Jk na zomba ni dhaifu kabisa.
 
Mnyika ameharibia watoto wetu wanaofuatilia kwa makini Bunge kwa lengo la kujifunza jinsi wawakilishi wetu wanavyoongea na kuijadili bajeti.

Pamoja na kufurahia bunge, watoto pia wanajifunza jinsi watakavyoongea wakikua iwapo wataamua kuingia kwenye siasa.

Walichojifunza kwa huyu mpuuzi Mnyika ni jinsi ya kuwatukana baba zao hadharani.

Aibu sana, nimewapiga marufuku wanangu kuangalia kipindi cha Bunge ....until further notice.

Huwatendei haki wanao, ina maana wewe ukikosea watoto wasikuambie? Huo pia ni UDHAIFU

kukejeli kuwa wabunge wote ni "wazembe", wana ccm wote ni "upuuzi" na Rais ni "dhaifu", kwako wewe si matusi hayo?
Sasa kejeli iko wapi hapo? Raisi anayeshindwa kabisa kuimarisha uchumi wa nchi yake wakati nchi ina raslimali zote zianazotakiwa tumwiteje?
 
Back
Top Bottom